Hahahaa! Unaandika unakuta hakuna anaye comment ulichoandika, baadaye unajishtukia unaanza kukomenti mwemyewe ulichoakiandika, kweli umekuwa mtumwa wa mawazo yako mwenyewe, aibu! si ungeacha kipanya aje kukomentiKutokana na huo mlipuko,The Sun wameandika ,"Putin Under Siege".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
......
Mbaya ni mbaya tu hakuna mbaya nzuri[emoji123][emoji123]
Mauritania nao wameungana na waafrika wa kweli kupingana na matapeli ya us na vibaraka wao, wamesema kuivamia niger kijeshi ni sawa na kutangaza vita dhidi ya mauritania kwa hiyo wapo tayari kwa lolote lile.
"Mililitary intervention of ECOWAS. Mauritania decided.
mauritania believes that only the nigerian people are sensible decides of its leaders. So any intervention in Niger will be seen as an act of war. However, Mauritania supports the people of Niger and lets the EU know that any intervention will be seen as a declaration of war on Mauritania""
View attachment 2705142
Hali sio shwari kwa upinde.
Wakikimbilia UN Security Council, Russia & China wanapiga kura ya Veto.
Wakiingia uwanja wa vita, wanakutana na Wagner.
Wakikimbilia kuweka sanctions, jamaa wanahamia kwenye Local currencies....
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56][emoji56]
Hili movie linazidi kuwa Tamu daily
Jamaa yupo kikazi. Tatizo wazungu wana akili sana, hawapo hapo kwa bahati mbaya ni kutumia akili kuliko nguvu ndo tutawashinda au kuwa na win-win kwenye hii keki ya dunia. Tukumbuke Putin ni mzungu tu naye.