Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

FB_IMG_16909160832745093.jpg
FB_IMG_16909160896278701.jpg

Helicopter mbili za kivita zs jeshi la belarus ziliingia kwenye anga ya nchi ya Poland ambapo kuna maili mbili kutoka mpakani kati ya Belarus na Poland.

Helicopter hizo ziliingia ndani ya Poland karibu na mji wa Bialowieza. Helicopter hizo zilipaa chini chini bila mfumo wa ulinzi wa anga wa Poland kutambua helicopter hizo uwepo wake ndani ya anga ya Poland.
 
Tunaendelea na counteroffensive!!!!!!!!!!!


Ukraine claims Russia behind Niger coup - but US shuts down speculation again​


Mr Podolyak has also been tweeting about the situation in Niger, alleging it is "absolutely clear" that Russia is behind last week's military coup.


"It is a standard Russian tactic: to divert attention, seize the moment and expand the conflict," he wrote

There had been speculation that the military coup in Niger would suit Russia's interests in the region.

Source:Sky news:01/08/2023
Dunia yetu ina vioja sana, moja ya sehem ambazo inadhihirisha kua popote pale hakuna rafiki wala adui wa kudumu isipokua kwenye maslah ni hili swala la Niger.

Kwenye Geopolitics imekaa kwa sura hii, nitaieleza kisha wenzangu na mie mtaona kwanini United Shit State anapinga na kua kama anamtetea Russia kua hajahusika hapo Niger ilhali yeye na Russia ni kama Mafuta na Maji, hawachangamani pamoja.

Ni kwamba, the Weaker the EU the Stronger the US will be, EU inapokua na nguvu inaidhoofisha US, Inaidhoofisha dolali. So chochote kibaya cha kuikumba EU na kuidhoofisha hatutakaa tumuone US analalama kwasababu ina faida kwake.

France ni among top 5 biggest economy in EU, kabla ya Brexit, UK kujiondoa EU alikua wa tatu na sasa ni second only to German ndani ya muungano huo. So moja ya faida ya kuyumba kwa Ufaransa upande wa US ni kuyumba kwa Euro ambapo in turn inaipa nguvu Dollar. Hapa bila kusahau the top economy ambaye ni Germany hali ni mbaya kitaambo tu.

Kwa US, EU kaifanya kama mkewe yoyote anaejiweka hapo anaingia vita nae. Mifano ni rahisi tu, tutizame Russia jirani yao upande wa Nishati, tumtizame China pia upande wa Commerce wote hao ni mguu panda mguu kanyaga.

For anything that's beneficial kwa US haijalishi kimemkumba allies wake au nani hatuta kaa tushuhudie akifanya kubwa au kukemea.

Sasa huwa nashangaa wenzangu wanao enjoy kuhudumiwa, wanai enjoy misaada na kuiabudu as if they gah nothing to offer themselves. Mwisho wa siku wanakua na Upinde mentality ambayo haitizami fursa bali inatizamwa kama fursa yenyewe.

Kama EU kawekwa ndani ya Cage like this, kuna wakati tunaona kabisa wazi anavyohujumiwa ili aendelee kufanywa tegemezi, how about us? Tuendelee kujidanganya wanatupenda sana?
 
WAGNER WAINGIA POLAND NA KUTALII KANA KWAMBA WAKO NCHINI BELARUS

Wagner waliingia ndani ya Poland kilometer tatu kutoka mpakani kati ya Brlarus na Poland wakafika kwenye kanisa la St. Mikolaj na kusogelea jiji la Bialowieza na kurudi nchini Belarus na jeshi la Poland halikufanya chochote dhidi ya wagner.
 
The European Union accused Russia of attacks on Moscow.

"The EU has urged Russia not to use drone attacks in Moscow to escalate its military operation in Ukraine," the EU Foreign Service said in a statement.

[emoji23][emoji2357]
Alooooo!!!


Mnatuchanganya wadau


Aliyeshambulia ni Ukraine au urus kajishambulia???
 
Until just two days ago, the Western politicians were crying 24 hours a day on all media and social networks that because of Russia and the ban on the export of grain from Ukraine, all of Africa and half the world will starve and that Russia's actions are genocide against humanity and so on...

Today the West has imposed sanctions on Niger, banning flights, imports, exports, humanitarian aid, money transactions with the intention of starving them to death.

And they still don't understand why the majority of the world supports Russia
 
Why does France[emoji632], the EU[emoji1099] and the US[emoji631] want to see ECOWAS arguable vassal states invade Niger[emoji1183] to depose the military regime?

France has between 1000-1500 troops in Niger

The US has 1100 troops in Niger and the $110 million Agadez Air Base

Italy has 300 troops in Niger

Niger supplies the EU with over a fifth of its uranium and Niger’s uranium is crucial for French nuclear reactors. Niger’s new authorities have banned uranium exports to France.

Despite Niger being used as a foreign military base and its resources robbed through neocolonial exploitation, 80% of Niger’s citizens have no access to electricity and 80% live on less than $2 a day-causing popular support for the military coup.
IMG_20230801_230749.jpg
 
[emoji1183][emoji1119]Guinea’s Junta also supports Niger military coup leaders

Guinea’s ruling junta, which toppled President Alpha Conde in a 2021 coup, said it backs the soldiers who seized power last week in Niger.

The junta, known as the CNRD, is convinced that the new authorities will make every effort to guarantee stability and harmony in Niger and in the sub-region, the chief of defense staff, General Ibrahima Sory Bangoura, said in a statement.

Sanctions and military force “cannot be a solution to the current problem,” Bangoura said. “Therefore, the CNRD refrains from applying these illegitimate and inhuman sanctions against the brotherly people and the Nigerien authorities."
IMG_20230801_231253.jpg
 
Putin is playing chess with the Western leaders and has once again played them like little children

If you remember the beginning of SMO, in the first 6 months NATO tried in every way to open new fronts against Russia and tear their army apart in multiple conflicts.

First they provoked and ignited the conflict between Azerbaijan and Armenia, then they tried through their NGO mercenaries in Georgia to provoke a new conflict with Russia.

So they tried to inflame Syria.
Then they tried to push Moldova into a war with the Russian population in Transnistria.
They also staged and caused a brief conflict between Kyrgyzstan and Tajikistan.
Putin had a hard time with all this but managed to stabilize the situation.

None of this worked and now the NATO countries got their own problems.
The US, which is currently stealing oil in Syria, is coming into conflict with pro-Iranian militias in the region.
France is slowly entering conflicts in several countries across Africa. Poland got Wagner on its border. Germany got itself a recession and gradual deindustrialization.
Japan and South Korea have always had the DPRK.
 
[emoji273] Amidst the escalating tensions between NATO and Moscow over Ukraine, Russia has characterized NATO's actions as a terrorist attack, while the West warns of potential consequences, including the risk of pushing Russia towards a nuclear confrontation. It is crucial that cooler heads prevail in this situation, considering the potential ramifications for all parties involved. Finding a diplomatic resolution is of utmost importance for the safety and well-being of everyone affected by these hostilities.
 
France ni among top 5 biggest economy in EU, kabla ya Brexit, UK kujiondoa EU alikua wa tatu na sasa ni second only to German ndani ya muungano huo. So moja ya faida ya kuyumba kwa Ufaransa upande wa US ni kuyumba kwa Euro ambapo in turn inaipa nguvu Dollar. Hapa bila kusahau the top economy ambaye ni Germany hali ni mbaya kitaambo tu.
Macron kishaanza kufunguka macho; Germany nao wakishtukia mchezo wa US, inaweza ikawa ndio mwisho wa NATO na mwanzo wa multipolar order.

Uchumi wa ujerumani ukiendelea kusinyaa, wananchi watailazimisha serikali, kupitia sanduku la kura au njia nyingine, kurudi kununua nishati rahisi toka Russia.
 
Back
Top Bottom