lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Aaaha ha ha haa,aha ha haaJamaa wameona isiwe taabu, waseme ni yeye mwenyewe maana wanajua majibu yake.
Ukiwa mbabe Raha sana.
Yaani ukiwa mbabe halafu ukajikwaa mbele ya watu,wataanza kulia wao kwamba wameumia.
Ama wanaweza hata kukupongeza kwa kujikwaa.