Mnajifanya Hamjui kama Urusi anapigana na NATO yote huyu Ukraine ni bendera hata majenerali wote wa Hiyo vita wanaopanga na kuratibu ni NatoPutin underestimated Ukraine now's getting what he deserves 🤔
Hivi mnaijua Slovakia jamani nchi zingine zihurumieni tu..Slovakia imechoka balaa..[emoji298]Tomorrow, Slovakia will officially hand over two 155-mm Zuzana 2 self-propelled artillery systems.
These are the first 2 out of 16 self-propelled artillery systems purchased by Germany, Denmark and Norway for Ukraine.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
#
Unadhani Urusi ni Zimbabwe....Wana vitu hata wao hawajavigusa unajua kelele za vikwazo mkidhani Urusi ingeanguka na haijaanguka..NATO IKISHAMBULIA Urusi moja kwa moja Iran ataingia...China ataingia North Korea ataingia hawa wote wana teknolojia kubwa ya kivita itapigwa Mbungi hamjawahi kuona hapa...Wanasahau kwamba Poland ni NATO,wakimgusa basi Urusi inaanza kuoga mabomu ya masafa marefu ambayo Ukraine imenyimwa na kupewa mabomu ya masafa mafupi ya kuoperate ndani ya ukraine.
Naamini mpaka sasa ndo maana hawajafanya uamzi wa kuigusa Poland ,hapo NATO na USA wataingia mazima na mrusi ameishatepeta ni kumalizwa kabisa,tupate mafuta maana tumeichoka hii vita.
Hizi ni propaganda za vijiwe vya kahawa tunachojua Russia anapigana na Ukraine.Kama mataifa mengine kusaidia Ukraine,hata Russia husaidiwa na marafiki zake kama Belarus,Iran na Africa kupitia Wagner mercenaries recruitments za wapiganaji!Mnajifanya Hamjui kama Urusi anapigana na NATO yote huyu Ukraine ni bendera hata majenerali wote wa Hiyo vita wanaopanga na kuratibu ni Nato
WanajikaushaUkraine leo usiku imefanikiwa kulipua meli kubwa ya Urusi Ropucha class ship.View attachment 2708159
OngoWhat is going on with the Niger situation right now.
Niger has suspended all diplomatic ties with France, the United States, Togo and Nigeria and is withdrawing its ambassadors.
A US C-17A military transporter arrived in Benin today, and within hours the Benin government has given support for a military strike on Niger.
Nigeria has deployed its air force to the Niger border.
Negotiations between ECOWAS (USA and France backed) and the new government of Niger have failed.
The US is dropping military cargo around Niger with its warplanes and preparing its vassals to attack Niger.View attachment 2708241
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pia sijaiona Afrika KusiniHii Ramani ina kasoro ndani yake na ni innaccurate
Huwezi kuiacha Central Africa Republic
Ili iweje?