kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Njia pekee ni mazungumzo.Hakika usilolijua ni kama usiku wa kiza, hutaona lolote zaidi ya giza totoro. Wakati Russia anatangaza SMO zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa wapo watu walioitabiria vibaya sana Russia, utabiri wao mbaya dhidi ya Russia, ulijengwa kwenye misingi ya West kua na nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi, hivyo kudhania kua Russia aliingia mwenyewe choo cha kike... lakini Russia intelligence agencies zilikua na macho na Eagle katika kutazama mbali na kua na plan B na C, how?
Vikwazo vizito sana alivyopewa Russia, havijawahi kutokea kwa nchi yoyote nyingine toka ulimwengu kuumbwa!!! Kifupi Russia alikua anawekwa mtegoni, akishaingia kwenye mtego (kuingia vitani) awekewe vikwazo vya kiuchumi, awe weak na apigwe kivita.
Hesabu za West zilikua nzuri sana kwenye karatasi, ila zimekuja kubumba vibaya sana kwenye uhalisia. Mfano rahisi ni wa ulaya kuacha kutegemea nishati ya Urusi, hili limeonekana kua gumu sana kwao, wanalazimika kununua nishati ya urusi kupitia mtu wa tatu (third part) kwa bei mara mbili ya waliyokua wananunua awali. Ukitaka ushahidi ni simple tu ingia Google angalia bei ya nishati na mafuta na gesi kwa ulaya kabla na baada ya vita.
West walikua smart kutafuta alternative ya nishati, na mda huu walitaka kuigeukia Africa, walitaka kutengeneza bomba litakalosambaza nishati kutoka Nigeria mpaka kwao, Urusi ni kama wanacheza Chess kwa kusukuma kete nzito nzito, nchi ambazo bomba litapita kumetokea mapinduzi ya kijeshi, na serikali hizo z kijeshi zina uhusiano mzuri sana na Moscow.
Katika kupalilia mahusiano hayo, Moscow inatuma 'military machine' yao ya PMC Wager Group kwenda kulinda amani kwenye nchi hizo... nini kinaweza kutokea?
Masilahi ya west yanaguswa pakubwa, wakikubali kile kilichotokea africa magharibi, wataonekana dhaifu na ushawishi wao utapungua sana... watakua na machaguo mawili, kuingia vitani kupitia nchi marafiki wao (vibaraka) kuivamia kijesh Niger, au kukaa na Moscow kwenye meza ya majadiliano. Kwa sasa tusubiri na kuona kinachotokea pale Africa magharibi.
Da watu mnajua kuchambua mambo Hadi mnatisha.Hakika usilolijua ni kama usiku wa kiza, hutaona lolote zaidi ya giza totoro. Wakati Russia anatangaza SMO zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa wapo watu walioitabiria vibaya sana Russia, utabiri wao mbaya dhidi ya Russia, ulijengwa kwenye misingi ya West kua na nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi, hivyo kudhania kua Russia aliingia mwenyewe choo cha kike... lakini Russia intelligence agencies zilikua na macho na Eagle katika kutazama mbali na kua na plan B na C, how?
Vikwazo vizito sana alivyopewa Russia, havijawahi kutokea kwa nchi yoyote nyingine toka ulimwengu kuumbwa!!! Kifupi Russia alikua anawekwa mtegoni, akishaingia kwenye mtego (kuingia vitani) awekewe vikwazo vya kiuchumi, awe weak na apigwe kivita.
Hesabu za West zilikua nzuri sana kwenye karatasi, ila zimekuja kubumba vibaya sana kwenye uhalisia. Mfano rahisi ni wa ulaya kuacha kutegemea nishati ya Urusi, hili limeonekana kua gumu sana kwao, wanalazimika kununua nishati ya urusi kupitia mtu wa tatu (third part) kwa bei mara mbili ya waliyokua wananunua awali. Ukitaka ushahidi ni simple tu ingia Google angalia bei ya nishati na mafuta na gesi kwa ulaya kabla na baada ya vita.
West walikua smart kutafuta alternative ya nishati, na mda huu walitaka kuigeukia Africa, walitaka kutengeneza bomba litakalosambaza nishati kutoka Nigeria mpaka kwao, Urusi ni kama wanacheza Chess kwa kusukuma kete nzito nzito, nchi ambazo bomba litapita kumetokea mapinduzi ya kijeshi, na serikali hizo z kijeshi zina uhusiano mzuri sana na Moscow.
Katika kupalilia mahusiano hayo, Moscow inatuma 'military machine' yao ya PMC Wager Group kwenda kulinda amani kwenye nchi hizo... nini kinaweza kutokea?
Masilahi ya west yanaguswa pakubwa, wakikubali kile kilichotokea africa magharibi, wataonekana dhaifu na ushawishi wao utapungua sana... watakua na machaguo mawili, kuingia vitani kupitia nchi marafiki wao (vibaraka) kuivamia kijesh Niger, au kukaa na Moscow kwenye meza ya majadiliano. Kwa sasa tusubiri na kuona kinachotokea pale Africa magharibi.
Hakika usilolijua ni kama usiku wa kiza, hutaona lolote zaidi ya giza totoro. Wakati Russia anatangaza SMO zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa wapo watu walioitabiria vibaya sana Russia, utabiri wao mbaya dhidi ya Russia, ulijengwa kwenye misingi ya West kua na nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi, hivyo kudhania kua Russia aliingia mwenyewe choo cha kike... lakini Russia intelligence agencies zilikua na macho na Eagle katika kutazama mbali na kua na plan B na C, how?
Vikwazo vizito sana alivyopewa Russia, havijawahi kutokea kwa nchi yoyote nyingine toka ulimwengu kuumbwa!!! Kifupi Russia alikua anawekwa mtegoni, akishaingia kwenye mtego (kuingia vitani) awekewe vikwazo vya kiuchumi, awe weak na apigwe kivita.
Hesabu za West zilikua nzuri sana kwenye karatasi, ila zimekuja kubumba vibaya sana kwenye uhalisia. Mfano rahisi ni wa ulaya kuacha kutegemea nishati ya Urusi, hili limeonekana kua gumu sana kwao, wanalazimika kununua nishati ya urusi kupitia mtu wa tatu (third part) kwa bei mara mbili ya waliyokua wananunua awali. Ukitaka ushahidi ni simple tu ingia Google angalia bei ya nishati na mafuta na gesi kwa ulaya kabla na baada ya vita.
West walikua smart kutafuta alternative ya nishati, na mda huu walitaka kuigeukia Africa, walitaka kutengeneza bomba litakalosambaza nishati kutoka Nigeria mpaka kwao, Urusi ni kama wanacheza Chess kwa kusukuma kete nzito nzito, nchi ambazo bomba litapita kumetokea mapinduzi ya kijeshi, na serikali hizo z kijeshi zina uhusiano mzuri sana na Moscow.
Katika kupalilia mahusiano hayo, Moscow inatuma 'military machine' yao ya PMC Wager Group kwenda kulinda amani kwenye nchi hizo... nini kinaweza kutokea?
Masilahi ya west yanaguswa pakubwa, wakikubali kile kilichotokea africa magharibi, wataonekana dhaifu na ushawishi wao utapungua sana... watakua na machaguo mawili, kuingia vitani kupitia nchi marafiki wao (vibaraka) kuivamia kijesh Niger, au kukaa na Moscow kwenye meza ya majadiliano. Kwa sasa tusubiri na kuona kinachotokea pale Africa magharibi.
ECOWAS wameogopa kuingia Niger[emoji23], alafu Nigeria [emoji1184] kastuka, kaona mbona Chad [emoji1070] naye kagoma, ina maana akiingiza tu jeshi basi Nigeria [emoji1184] itashumbuliwa kila upade[emoji23][emoji23].
Hapo unajiona umeongea bonge la point mwenyewe [emoji28][emoji1787]Hakika usilolijua ni kama usiku wa kiza, hutaona lolote zaidi ya giza totoro. Wakati Russia anatangaza SMO zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa wapo watu walioitabiria vibaya sana Russia, utabiri wao mbaya dhidi ya Russia, ulijengwa kwenye misingi ya West kua na nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi, hivyo kudhania kua Russia aliingia mwenyewe choo cha kike... lakini Russia intelligence agencies zilikua na macho na Eagle katika kutazama mbali na kua na plan B na C, how?
Vikwazo vizito sana alivyopewa Russia, havijawahi kutokea kwa nchi yoyote nyingine toka ulimwengu kuumbwa!!! Kifupi Russia alikua anawekwa mtegoni, akishaingia kwenye mtego (kuingia vitani) awekewe vikwazo vya kiuchumi, awe weak na apigwe kivita.
Hesabu za West zilikua nzuri sana kwenye karatasi, ila zimekuja kubumba vibaya sana kwenye uhalisia. Mfano rahisi ni wa ulaya kuacha kutegemea nishati ya Urusi, hili limeonekana kua gumu sana kwao, wanalazimika kununua nishati ya urusi kupitia mtu wa tatu (third part) kwa bei mara mbili ya waliyokua wananunua awali. Ukitaka ushahidi ni simple tu ingia Google angalia bei ya nishati na mafuta na gesi kwa ulaya kabla na baada ya vita.
West walikua smart kutafuta alternative ya nishati, na mda huu walitaka kuigeukia Africa, walitaka kutengeneza bomba litakalosambaza nishati kutoka Nigeria mpaka kwao, Urusi ni kama wanacheza Chess kwa kusukuma kete nzito nzito, nchi ambazo bomba litapita kumetokea mapinduzi ya kijeshi, na serikali hizo z kijeshi zina uhusiano mzuri sana na Moscow.
Katika kupalilia mahusiano hayo, Moscow inatuma 'military machine' yao ya PMC Wager Group kwenda kulinda amani kwenye nchi hizo... nini kinaweza kutokea?
Masilahi ya west yanaguswa pakubwa, wakikubali kile kilichotokea africa magharibi, wataonekana dhaifu na ushawishi wao utapungua sana... watakua na machaguo mawili, kuingia vitani kupitia nchi marafiki wao (vibaraka) kuivamia kijesh Niger, au kukaa na Moscow kwenye meza ya majadiliano. Kwa sasa tusubiri na kuona kinachotokea pale Africa magharibi.
Wagner kuwasili jijini Niamey kesho Jumapili kwaajili ya kuwangoja mashoga ya NATO pamoja na vibaraka wao kina Nigeria.
Jeshi binafsi la Wagner linatarajia kuingia mjini Niamey nchini Niger siku ya kesho jumapili likitokea nchini Mali.
Utawala wa sasa wa Niger ulienda nchini Mali kwa ajili ya kuonana na jeshi la Wagner na kutaka jeshi hilo liingie nchini Niger ili kulinda amani kutokana na vitisho vya nchi za ECOWAS pamoja na Ufaransa ikiungwa mkono na Uingereza.
Ufaransa imesema kwamba, iwapo Wagner wataingia nchini Niger, basi nayo itaingiza jeshi lake na mapigano kati ya Wagner na Ufaransa yataanzia hapo.
Je, nato watadhubutu kwenda kuaibishwa tena pale Afrika Magharibi kama walivyoaibishwa pale Ukraine na kikundi cha ulinzi?
Nawaonea Wanigeria huruma sababu uchumi wao utaharibiwa kabisa iwe tena nafuu Tanzania
Sasa kama waliwapa ultimatum mpaka kesho ... Wametuma delegation ya nini kwenda Niger!!? Si wangesubiri tu ifike kesho wavamie!!? Haujiulizi Hilo!!?Imebaki siku moja tuone kama wataivamia niger
Wagner kuwasili jijini Niamey kesho Jumapili kwaajili ya kuwangoja mashoga ya NATO pamoja na vibaraka wao kina Nigeria.
Jeshi binafsi la Wagner linatarajia kuingia mjini Niamey nchini Niger siku ya kesho jumapili likitokea nchini Mali.
Utawala wa sasa wa Niger ulienda nchini Mali kwa ajili ya kuonana na jeshi la Wagner na kutaka jeshi hilo liingie nchini Niger ili kulinda amani kutokana na vitisho vya nchi za ECOWAS pamoja na Ufaransa ikiungwa mkono na Uingereza.
Ufaransa imesema kwamba, iwapo Wagner wataingia nchini Niger, basi nayo itaingiza jeshi lake na mapigano kati ya Wagner na Ufaransa yataanzia hapo.
Je, nato watadhubutu kwenda kuaibishwa tena pale Afrika Magharibi kama walivyoaibishwa pale Ukraine na kikundi cha ulinzi?
Nawaonea Wanigeria huruma sababu uchumi wao utaharibiwa kabisa iwe tena nafuu Tanzania
Mwanachama mmoja wa nato haendi kuiba peke yake hasa mazingira yakiwa magumu... Tutegemee Uingereza na Marekani kutoa saportMaana hapo ni France v Russia.
[emoji28]Mwanachama mmoja wa nato haendi kuiba peke yake hasa mazingira yakiwa magumu... Tutegemee Uingereza na Marekani kutoa saport
I second you.. ni muda wa AU kuonyesha it's presenceNjia pekee ni mazungumzo.
AU ilitakiwa iwe imeitisha kikao cha dharura kuhusu swala hili. Naona kimya( kama niko Sahihi).
Pia ni Wakati muafaka Africa kutumia huu mwanya kufanya marekebisho kwenye Mikataba ya kinyonyaji na diplomasia. WB inatuumiza sana
Imagine France, US, Russia wanaleta wapiganaji na vifaa halafu AU iko kama kondoo anataka kunyolewa kweli?I second you.. ni muda wa AU kuonyesha it's presence