President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Militarily Russia is winning. Economically Russia is winning. Politically Russia is winning.
#StandWithPutin🇷🇺
#StandWithPutin🇷🇺
Tanzania nani mbna sijui hii jamani wana jf. NielekezeniView attachment 2710871
🇫🇷 African nations whose presidents have been assassinated by France
- highlighted in red. 🇫🇷
Or, where France has been involved‼️
Remember Gaddafi 😡
[emoji106][emoji106][emoji106]Militarily Russia is winning. Economically Russia is winning. Politically Russia is winning.
#StandWithPutin[emoji635]
Kuku anapulizwa na upepo kwahiyo sehemu za siri lazima zionekane,yaani sasa hivi usipokubali USA 🇺🇸 na Nato ni wauaji na waporaji peponi huingii ng'ooSo confirmed kwamba wanaoleta machafuko vikundi vya kigaidi Boko, alqaida and the likes ni mikono ya Mabeberu.... Haya wale vimbelembele wa kuwatetea Marekani na NATO nawaomba mbele niwatie mboko ....
Kama hujui KGB wanajuaTanzania nani mbna sijui hii jamani wana jf. Nielekezeni
Cha kusikitisha ni kuwa Russia anawajua A to Z Al-qaeda na ngedere wengine wa west ataenda kuwafyeka wote wawaulize ISIS syria pale walifanywa niniSo confirmed kwamba wanaoleta machafuko vikundi vya kigaidi Boko, alqaida and the likes ni mikono ya Mabeberu.... Haya wale vimbelembele wa kuwatetea Marekani na NATO nawaomba mbele niwatie mboko ....
Kile kibabu cha Nigeria kinataka kikafie uhamishoni..
Peace talks imekuwa mdomoni mwao nini kimewakumba, au kibubu chao kimeibwa maana hata vikao vimepotea siku hiziMayor Of German Town Wants To Hold Ukraine Peace Talks Citing Russian And Ukrainian Coexistence
Dietmar Spath, Lord Mayor of the Southern German city of Baden Baden, has proposed to hold peace talks between Moscow and Kiev.
The mayor said his city was an example of how local Russians and Ukrainians can coexist successfully, calling Baden Baden “a peaceful point of intercept.”