ECOWAS gani wapo members 15...tuanzie hesabu za kutoa Guinea, Burknabe, Mali, Niger wapo pamoja kijeshi ... Wanabaki 11, Nigeria kapigwa Pini wanabaki 10, Senegal ana shughuli yake Kule kamkamata mpinzani mkuu kampa makesi ya ajabu watu wapo mtaani hawezi kutoa jeshi wanabaki 9... Ivory coast nao Wana mbingu yao...wanabaki 8 Togo, Sierra Leone, Cape Verde,Gambia ,Ghana na Guinea Bissau ambao ndio wapo kimyaaa kama wanaaga maiti.... Kimbelembele ni Nigeria tu ... Tena anapigana Bomba la mafuta tu... Hakuna kitu hapo .... Deadline si imepita wanasubiri nini ... deadline si ni jana .... Au wanatumia masaaa ya Jupiter!!?