lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Tuko pamoja mpenda haki mwenzangu.Yah kweli 😂😂😂🚀
Tuko pamoja mpenda haki mwenzangu.Yah kweli 😂😂😂🚀
Vagner ni kama paka.Na palipo na vita Pana Vagner
Sio rahisi kuingia NigerMwisho wa kunukuu.
Wasiwasi waongezeka, saa chache zikisalia kabla ya Ecowas kuchukua hatua za kijeshi https://bbc.in/3rSSAFk
Sio rahisi kuingia NigerMwisho wa kunukuu.
Wasiwasi waongezeka, saa chache zikisalia kabla ya Ecowas kuchukua hatua za kijeshi https://bbc.in/3rSSAFk
Mabeberu wametuma kikosi cha hakiba kwa ajili ya kupambana na wagner usiku wa leo mpakani mwa nchi ya MALI
Kikosi hicho kinaitwa Alqaida
ECOWAS gani wapo members 15...tuanzie hesabu za kutoa Guinea, Burknabe, Mali, Niger wapo pamoja kijeshi ... Wanabaki 11, Nigeria kapigwa Pini wanabaki 10, Senegal ana shughuli yake Kule kamkamata mpinzani mkuu kampa makesi ya ajabu watu wapo mtaani hawezi kutoa jeshi wanabaki 9... Ivory coast nao Wana mbungi yao...wanabaki 8 Togo, Sierra Leone, Cape Verde,Gambia ,Ghana na Guinea Bissau ambao ndio wapo kimyaaa kama wanaaga maiti.... Kimbelembele ni Nigeria tu ... Tena anapigana Bomba la mafuta tu... Hakuna kitu hapo .... Deadline si imepita wanasubiri nini ... deadline si ni jana .... Au wanatumia masaaa ya Jupiter!!?Mwisho wa kunukuu.
Wasiwasi waongezeka, saa chache zikisalia kabla ya Ecowas kuchukua hatua za kijeshi https://bbc.in/3rSSAFk
Umetisha sana japo mi mrusi ila we nato sawaECOWAS gani wapo members 15...tuanzie hesabu za kutoa Guinea, Burknabe, Mali, Niger wapo pamoja kijeshi ... Wanabaki 11, Nigeria kapigwa Pini wanabaki 10, Senegal ana shughuli yake Kule kamkamata mpinzani mkuu kampa makesi ya ajabu watu wapo mtaani hawezi kutoa jeshi wanabaki 9... Ivory coast nao Wana mbingu yao...wanabaki 8 Togo, Sierra Leone, Cape Verde,Gambia ,Ghana na Guinea Bissau ambao ndio wapo kimyaaa kama wanaaga maiti.... Kimbelembele ni Nigeria tu ... Tena anapigana Bomba la mafuta tu... Hakuna kitu hapo .... Deadline si imepita wanasubiri nini ... deadline si ni jana .... Au wanatumia masaaa ya Jupiter!!?
Asante sana Medvedev🇷🇺⚔️🇺🇦 Dmitry Medvedev on the "Peace Talks" in Jeddah on his Telegram Channel
💬 "About Jeddah:
It's hard to condemn the desire to end the war. It's impossible to argue against references to the UN Charter while understanding that besides sovereignty, there's also the right of nations to self-determination.
However, any proposals for peace have chances of success if three key conditions are met:
1. Involvement of both sides of the conflict. And that's absent.
2. Consideration of historical context. It is such that Ukraine as a country did not exist before 1991. It's a fragment of the Russian Empire.
3. Consideration of current realities. These are: Ukraine is in a state of semi-collapse, and part of its territories have returned to Russia. The mediator who's ready to acknowledge these obvious things has a chance at success.
All others - none.
Moreover, negotiations themselves aren't needed for now. The enemy must crawl on their knees, begging for mercy."
🔴
Mfadhili wa Al-Qarda sasa amejukikana wazi wazi[emoji779][emoji1159][emoji635]Sources connected with Al-Qaeda report clashes between terrorists and PMC Wagner on the border between Mali and Niger.
Apparently the Americans gave the green light.[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️