Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia mwaka huu kaamua sana kutuonesha ulimwengu kama yupo ila alikiwa buze katika kuzalisha siraha hili watu waingie mzigoni. Ndo tunayo yaona Maa kuna kauli putin alisha wai kuongea kuwa. Vita vya ukraine vitakuwa ndo vita za vita zote duniani. Sasa no ndo nanza kumuelewa sana jamaa na aliongea toka mda sana
Kwa kweli Russia safari hii wamesha kata shauri kua liwalo na liwe,ujinga wa kuwachekea west hawataki Tena.
Na baada ya vita hizi heshima duniani itarudi,hakuna nchi itakayokua na sauti juu ya nchi nyingine.
Ama uonevu usio na maana utakwisha kabisa.
 
Kama bado unaamini Russia ni taifa la kawaida basi unakosea. Russia anapambana na west pale Ukraine, Russia anamnyima raha US pale Syria, Russia anaanza kumsogelea US kule Quba ila pia Russia ana wavuruga west kule Afrika magaharibi. Na yote haya yanafanyika bado Russia wanaendelea na task zingine za kiulinzi na usalama kwao daily ni military exercises nk. West walitudanganya sana kuhusu uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Russia ya Putin, uhalisia tunaanza kuuona
Umeongea ukweli mchungu kabisa comrade.
Hakuna taifa dhaifu kijeshi na kiuchumi linaloweza kufanya kama afanyayo russia.sasa hivi.
Ukisikia supa pawa ndio huyu Sasa.
 
ECOWAS wameogopa kuingia Niger[emoji23], alafu Nigeria [emoji1184] kastuka, kaona mbona Chad [emoji1070] naye kagoma, ina maana akiingiza tu jeshi basi Nigeria [emoji1184] itashumbuliwa kila upade[emoji23][emoji23].
Hata wewe ungekuwa Nigeria ungeogopa. Cha kwanza ktk vita ni umoja. Hapo ECOWAS hakuna umoja. Tena nchi nyingi hapo zinasapoti coup ila hawasemi. Usione Mali, Butknafaso wamesema Wana back up ya nchi nyingine hapo. So vita ikianza. Utaona watu wengi wanaenda kujitolea kupigana dhidi ya ECOWAS. Wako watu wataenda kama mercenary
 
Jana nilitoa tathimini ndogo ya vita ya kiuchumi na kijeshi inayoendelea kati ya West na Russia. Tuliona jinsi vita inavyohama toka Syria, Venezuela, Ukraine (hapa pamekua pamoto zaidi) na sasa inanukia Africa ya magharibi.

Nilisema tusubiri tuone kama, west kupitia Ecowas na kinara wao Nigeria watathubutu kupeleka heshi pale Niger, ikumbukwe pale Niger Russia amepeleka washauri wa kijeshi kutoka kikundi cha Wagner PMC (military consultants) kwenda kuhakikisha serikali ya mpito ya kijeshi, haiondolewi na taifa lolote kutoka nje.

Tayari bunge la Nigeria limeonesha kutokukubali kupeleka jeshi pale Niger, je Togo na wenzie wataweza? Kwenye nchi kama Nigeria jeshi lao limemezwa na ufisadi na utenganifu wa hali ya juu, walishindwa kudhibiti Boko haramu je wataweza kupigana na jeshi kamili la Niger?

Kwa mtizamo wangu, Russia ameamua kufungua kucha zake. Nadhani kuna kitu anataka kuonesha Dunia kwa sasa, ni lazima watu wakumbushwe pale Niger kuna kambi kubwa ya kijeshi ya USA , sio hivyo tu... hata France ana wanajeshi maelfu pale.. kama haitoshi waasi wametoa serikali yenye ushirikiano mzuri na West, huku majeshi ya West yakishuhudia na sasa wameanza kupewa notice ya kuondoka.

Huu ni wakati wa West kutuonesha ukubwa wao wa kiuchumi na kijeshi, tutaona ikiwa watazirudisha serikali za vibaraka wao madarakani, tutaona kama wataendelea kubeba mamia ya rasilimali pale Africa magharibi.. ngoja tuone.
 
Kama bado unaamini Russia ni taifa la kawaida basi unakosea. Russia anapambana na west pale Ukraine, Russia anamnyima raha US pale Syria, Russia anaanza kumsogelea US kule Quba ila pia Russia ana wavuruga west kule Afrika magaharibi. Na yote haya yanafanyika bado Russia wanaendelea na task zingine za kiulinzi na usalama kwao daily ni military exercises nk. West walitudanganya sana kuhusu uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Russia ya Putin, uhalisia tunaanza kuuona
.
IMG_20230225_010528_074521.jpg
 
Hello , Mbona warusi wanalalamika sana wakipigwa na ka drone ka kupiga picha tu , analalamika mpaka ananikera , aache huo upuuzi wa kulalamika vitu vya ajabu ,
Russia anafanya smo na target sio raia ingawa bahati mbaya Kuna raia wanajeruhiwa, Ukraine anafanya mashambulizi kutarget raia pamoja na ugaidi. Ikiwa Russia wataamua kulipiza kisasi madhara yatakuwa makubwa zaidi Kwa raia.
 
Jana nilitoa tathimini ndogo ya vita ya kiuchumi na kijeshi inayoendelea kati ya West na Russia. Tuliona jinsi vita inavyohama toka Syria, Venezuela, Ukraine (hapa pamekua pamoto zaidi) na sasa inanukia Africa ya magharibi.

Nilisema tusubiri tuone kama, west kupitia Ecowas na kinara wao Nigeria watathubutu kupeleka heshi pale Niger, ikumbukwe pale Niger Russia amepeleka washauri wa kijeshi kutoka kikundi cha Wagner PMC (military consultants) kwenda kuhakikisha serikali ya mpito ya kijeshi, haiondolewi na taifa lolote kutoka nje.

Tayari bunge la Nigeria limeonesha kutokukubali kupeleka jeshi pale Niger, je Togo na wenzie wataweza? Kwenye nchi kama Nigeria jeshi lao limemezwa na ufisadi na utenganifu wa hali ya juu, walishindwa kudhibiti Boko haramu je wataweza kupigana na jeshi kamili la Niger?

Kwa mtizamo wangu, Russia ameamua kufungua kucha zake. Nadhani kuna kitu anataka kuonesha Dunia kwa sasa, ni lazima watu wakumbushwe pale Niger kuna kambi kubwa ya kijeshi ya USA , sio hivyo tu... hata France ana wanajeshi maelfu pale.. kama haitoshi waasi wametoa serikali yenye ushirikiano mzuri na West, huku majeshi ya West yakishuhudia na sasa wameanza kupewa notice ya kuondoka.

Huu ni wakati wa West kutuonesha ukubwa wao wa kiuchumi na kijeshi, tutaona ikiwa watazirudisha serikali za vibaraka wao madarakani, tutaona kama wataendelea kubeba mamia ya rasilimali pale Africa magharibi.. ngoja tuone.
nchi nyingi za ECOWAS Zina matatizo ya ndani, Senegal wamemweka ndani mpinzani Mkuu WA serikali iliyopo madarakani pamoja na kuzima mitandao ya internet. Iwapo wataingia vitani na wakashambuliwa ni wazi washambulizi watapata sapoti kubwa Kwa wananchi wa Senegal.
 
Tusubiri avamie ndo tutajua.
Mlisema sana kuhusu iraq,leo ni vipi?
Afaghanistan walijinasibu kwamba osama ni mgeni wao,leo vipi?

Urusi mpaka sasa anapumua kwa sababu NATO walimwekea vikwazo Ukraine asipate silaha za masafa marefu
kuisalimia Moscow moja kwa moja kama urusi anavyofanya, sasa ngoja akiwashe tuona kama kwa mpalange tutakuwa na msaada.
Duh Ndio mana wakasema kipaumbele chetu iwe Elimu watu hamjui mambo kabisa..
 
Back
Top Bottom