Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu kp kipanya44 atakuja na zile statistics zake za leo tumewachinja 850+
Uzuri ni kwamba namba hazidanganyi, Ukraine akiwachinja warusi anakuwekea kabisa takwimu..,na hii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🄱🄱🄱
1691311162385.jpg
 
- [emoji1183]/[emoji635] Wagner Source: The decision has been made to deploy combat troops of the Wagner PMC in and around the capital of Niger, in light of the current security situation and foreign threats

@Middle_East_Spectator

Kwahyo zoezi linalofuata ni kumuondoa Mfaransa na Mmarekani hapo Niger. Au itakuwa kma Syria watakubaliana wakae wote kwa pamoja?
 
Kama bado unaamini Russia ni taifa la kawaida basi unakosea. Russia anapambana na west pale Ukraine, Russia anamnyima raha US pale Syria, Russia anaanza kumsogelea US kule Quba ila pia Russia ana wavuruga west kule Afrika magaharibi. Na yote haya yanafanyika bado Russia wanaendelea na task zingine za kiulinzi na usalama kwao daily ni military exercises nk. West walitudanganya sana kuhusu uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Russia ya Putin, uhalisia tunaanza kuuona
 
Africa - New Battleground of the Imperial Powers to continue the loot and plunder - Part 2

Niger continues to be a global geopolitical potboiler.
With all global powers making a soup out of the present situation in West Africa, Africa is again on the edge with unprecedented western hostility and turmoil in African society, thanks to the Colonial Powers.

#Niger #ECOWASinNiger #France #Africa
IMG_20230806_140654.jpg
 
By the way, if NATO really wants to play these kind of games there's a ton of civilian ships carrying war materiel bound for Ukraine that are completely legitimate targets under the law of armed conflict.

I wonder if the Russian Navy still pays prize money...
IMG_20230806_141244.jpg
 
[emoji635][emoji1255]Russia is commencing what could be one of the largest assaults of the Special Military Operation.

- 16 TU-95ms in the air.

- The total number of X-101 / X-555 cruise missiles on all machines is 96 units.

- Kalibr launches reported

- Swarms of Gerans and cruise missiles spotted

- Ukrainian AD active

- Ukrainian monitoring channels report that, presumably, at least 7 missile carriers have reached the launch line.*

*The distance from the X-101/X-555 missile launch line to most of Ukraine, including Kiev, Nikolaev, Odessa, Zaporozhye, Sumy and Chernigov, is just over 1,000 kilometers. The flight time of cruise missiles to targets in Ukraine, depending on the course and flight mission, is approximately 2 hours.
 
Kwani niger ana vita na urusi? au hapo utemi upo katika nini?
ungesema ndege ya ufaransa ningekuelewa?
Ukiona mtu kabadili mabwana,huwa hapongezwi bali anabadilishiwa jina.
Nadhani hujaelewa hapo.
Ndege ya jeshi ya Urusi yenye vitu visivyojilikana ndani yake yatinga Niger kwa ajili ya kusapoti wanamapinduzi wa Niger dhidi ya vitisho vya NATO kupitia ECOWAS.
 
Nadhani hujaelewa hapo.
Ndege ya jeshi ya Urusi yenye vitu visivyojilikana ndani yake yatinga Niger kwa ajili ya kusapoti wanamapinduzi wa Niger dhidi ya vitisho vya NATO kupitia ECOWAS.
Russia mwaka huu kaamua sana kutuonesha ulimwengu kama yupo ila alikiwa buze katika kuzalisha siraha hili watu waingie mzigoni. Ndo tunayo yaona Maa kuna kauli putin alisha wai kuongea kuwa. Vita vya ukraine vitakuwa ndo vita za vita zote duniani. Sasa no ndo nanza kumuelewa sana jamaa na aliongea toka mda sana
 
Sio kuwa wana akili, unaona hvyo coz we ni mbumbumbu na unaona wanaendana na unachoamini

Duniani nilijifunza kufanya mambo kwa kutumia LOGIC, kuwa naongea kwa faida gan au lipi litatokea mbele au hasara gani, sio mtu anaongea kisa feelings zake na Pride yake
Kusema kweli wala sijaelewa ulichoandika,na naamini hata wewe mwenyewe baada ya nusu saa toka uandike ukiulizwa uliandika kumaanisha nini wala hutojua.

Maana umeandika kama unajifunza kufikiria.kwa sababu kufikiria TU hujui.
 
Back
Top Bottom