President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Peace talks imekuwa mdomoni mwao nini kimewakumba, au kibubu chao kimeibwa maana hata vikao vimepotea siku hizi
Leo wamekufa eftatuAl Jazeera wanaripoti kwamba:
1. Ukraine imekubali ku discuss ile peace plan ilikuwa proposed na China, na mjumbe wa China for Euroasia, yupo kwenye hii negotiation
.
2. Ukraine hawajaweka any pre conditions za peace negotiation (ikiwemo hiyo ya vikosi vya Russia viondoke kwanza)
3. Ukraine wanatarajia peace treaty kuwa imesainiwa kabla ya December mwaka huu.
Kweli nimeamini vilianzia Cremia na vitaishia Creamia..... 🙂🙂
HahaaaaLeo wamechinjwa milioni 70
Naunga mkono hoja mmoja ajitolee atengeneze uzi wa NiGER.Halafu inshu ya Niger inahitaji Uzi wake. Tena uwe live updates kama huu wa Russia. Halafu habari mfanano zote kuhusu Niger ziwe ktk huo uzi.
Hii kitaalam tunaiita DeFrenchnization.[emoji1221]The BRICS summit will not be limited to the five member countries of the association: the President of South Africa invited the leaders of 67 countries of Africa and the "global South" to it.
34 countries have already confirmed their participation. The UN Secretary General and representatives of other organizations are also invited to the events. - South African Foreign Ministry
Emmanuel Macron was not invited to the BRICS summit. - South African Foreign Minister
View attachment 2710871
🇫🇷 African nations whose presidents have been assassinated by France
- highlighted in red. 🇫🇷
Or, where France has been involved‼️
Remember Gaddafi 😡
KGB wanajua. Za kuambiwa changanya na za kwako...Tanzania has also been highlighted on the map. Which Tanzania president has ever been assassinated?