Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Afrika inalazimishwa kuwa undeveloped kwa maslahi ya Ulaya na wala sio kwamba hatuna akiLI kama wanavyotutaka tuwaze hivyo.

Kama kuna nafasi ya dhahabu tumeipata kujitoa kwenye makucha ya hawa weupe,basi ni sasa! Tuna back up ya Russia kiulinzi na kiuchumi na pia kuna aina flani ya muamko miongoni mwa Waafrika wenyewe dhidi ya viongozi vibaraka wa Ulaya. Ikitokea tukakosa kuitumia hii nafasi vizuri kujikwamua,itatuchukua karne nyingi kupata nafasi ya dhahabu kama hii.

Kipindi kama hiki ndio kingekuwa na Marais wachache wazalendo waliotangulia mbele ya haki,ingekuwa rahisi sana kutimiza jambo letu. Mungui tusaidie.

AFRCA UNITE.
 
💥💥💥"Ukraine has not yet joined the EU and has already damaged the common market"

Catastrophic consequences await the EU if Ukraine joins.

Already now 62 per cent of the EU's seven-year budget is spent on supporting the Ukrainian agricultural sector. The country's accession to the association with its vast farmland will devastate the European budget completely, Financial Times journalists said.💥💥💥
 

Ckua shabiki wa magu ila kwa hili najua angeunga mkono sera za russia
Maana alikua akiwaponda west hadharani na kuanika upumbavu wao
Napata wasi wasi na ile taarifa ya venus kuhusu rais aliye kua assassinated [emoji848]huenda ikawa kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…