Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji845][emoji635][emoji3538][emoji1255][emoji631] Another American HMMWV added to the "Lend Lease Graveyard" after a meeting with a mine in Zaporozhye.
What is your opinion so far? Maana unalalamika sana.
Naona unanilalamikia tu. Dogo, I am not your parent. Nenda kawalalamikie wazazi wako.Ungekua unaelewa maana ya opinion, ungekua ushajijibu.
Upo sahihi kbsHalafu inshu ya Niger inahitaji Uzi wake. Tena uwe live updates kama huu wa Russia. Halafu habari mfanano zote kuhusu Niger ziwe ktk huo uzi.
Naona unanilalamikia tu. Dogo, I am not your parent. Nenda kawalalamikie wazazi wako.
Mdogo wangu mbona umeanza kutokwa povu? Usilazimishe mambo.Kheee😂! wazazi wangu wamefikaje tena hapa mkuu?
You damn sure are not my parent, blessed be the Gods. I would never hope to have a dumb fool like you for a parent. Nawahurumia watoto wako kuwa na mtu mzima kisheti for a parent.
Mdogo wangu mbona umeanza kutokwa povu? Usilazimishe mambo.
Kojoa ukalale.Umenizidi umri na matusi, nimekushinda busara na akili ndo maana umeamua kuwaingiza wazazi wangu ambao hawapo hapa.
Chukua ushindi wa mezani mkubwa.
Mwaka huu WEST wameyakanyaga#BREAKING [emoji298]️The Niger Military Council closed the airspace over the country and said a major foreign power is preparing to invadeView attachment 2711218
Mbaya zaidi wanaosaidiwa wala hawaonekani kujali lolote.Hiki ndo kilikuwa kipindi cha Marais wa Africa kuamka na kupinga mariba ya IMF na WB, kilikuwa kipindi cha Africa kuanzisha sarafu yetu, kupinga mikataba ya kilaghai kama ya Mtwara na Bandari nknk
Ila Waafrica tupo tupo kama hatuelewi tunataka nini. Dollar imekuwa shida ila sijaona kuna nchi ambayo imeanza kuchukua hatua juu ya hili.
Poor Africans