Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Oneni kibabu kilivyoshikwa uno[emoji23][emoji23]
Oneni kibabu kilivyoshikwa uno[emoji23][emoji23]
Hii kauli nimeipenda Sana, watu wanabaka Katiba Halali halafu watu wapo kimya tuLiberia nao naona Mwelekeo wao ni upande wa Niger.
"As long as ECOWAS tolerates institutional coups that allow lifetime presidencies, and fraudulent declaration of election results, manipulation of judicial announcements there will always be military coups.
And we cannot condemn military coups when we do not condemn those who carry out institutional coups.
ECOWAS should work for the interest of our peoples
- Georges Weah, President of Liberia.
Huwezi wewe mwenyewe ukajitathmini kuwa eti una " busara na akili'...Watu wa nje ndio wanapaswa kufanya tathmini hiyo...otherwise hiyo ni bragging tu na ambayo ni tabia mbaya kabisa...yaani Watu wa misifa siku zote ni Watu wa hovyo kabisa...Umenizidi umri na matusi, nimekushinda busara na akili ndo maana umeamua kuwaingiza wazazi wangu ambao hawapo hapa.
Chukua ushindi wa mezani mkubwa.
Kuna mstari ulisema "or was involved" umeelewa je hapoTo put a long nail in the coffin, Gadaffi wasn't even assassinated by the French.
Get your facts straightened up.
Kuna mstari ulisema "or was involved" umeelewa je hapo
Ni kweli kabisa mkuuHuwezi wewe mwenyewe ukajitathmini kuwa eti una " busara na akili'...Watu wa nje ndio wanapaswa kufanya tathmini hiyo...otherwise hiyo ni bragging tu na ambayo ni tabia mbaya kabisa...yaani Watu wa misifa siku zote ni Watu wa hovyo kabisa...
Mdogo wangu tofautisha mambo ya darasani na Information Intelligence.Habari picha iliyotumwa haijaweka probability ya "either, or" , mstari ulioweka "or was involved" upo kwenye maandishi ambayo alieyaleta amegoma kutoa ufafanuzi pale alipoulizwa swali.
How can I be wrong to conclude when there's no clarification for my doubts?
Hata bob Marley ilijulikana kafa Kwa ugonjwa wa Kansa mpaka pale jasusi aliyemuuia alipokuja kujuta hadharani kuwa yeye ndiyo chanzo cha kifo cha bob Marley baada ya kumdunga sindano inayosababisha kabsaAlifariki kama wanavyofariki binadamu wengine na chanzo chake ni ugonjwa aliokuwa nao kwa muda mrefu.
Nini kingine?
Huwezi wewe mwenyewe ukajitathmini kuwa eti una " busara na akili'...Watu wa nje ndio wanapaswa kufanya tathmini hiyo...otherwise hiyo ni bragging tu na ambayo ni tabia mbaya kabisa...yaani Watu wa misifa siku zote ni Watu wa hovyo kabisa...
Information intelligence is a term used to describe the process of turning data into knowledge. This process involves the collection, analysis, and interpretation of information in order to make informed decisions.Habari picha iliyotumwa haijaweka probability ya "either, or" , mstari ulioweka "or was involved" upo kwenye maandishi ambayo alieyaleta amegoma kutoa ufafanuzi pale alipoulizwa swali.
How can I be wrong to conclude when there's no clarification for my doubts?
Wewe ndiye upo nje ya mada. Hapa tunaongelea update kuhusu yanayoendelea Ukraine.Umetoka nje ya mada ila usijali, nitakujibu.
Hakuna ubaya wowote kwa mtu ku'acknowledge sifa yake kama kweli anayo kwakuwa hakuna anayeweza kuubadili ukweli wake. Ni watu dhaifu pekee ambao huishi kwa kutegemea third party validation.
FYI, I't ain't bragging if you really got it. Na probably unawaona watu wenye misifa ni wa hovyo kwakua wewe huna chochote cha kujisifia.
Aliposema "ad verecundiam" yenyewe haikuwa bragging?
Mdogo wangu tofautisha mambo ya darasani na Information Intelligence.
Huwezi Kuelewa chocho. Ni wataalam wa information security pekee wanaweza ng'amua code zilizotumika hapo.
The closure of Niger’s airspace adds to the difficulties faced by airlines flying between Europe and southern Africa, adding 1000 kilometers and more than an hour of flight time to some routes. flightradar24.com/blog/niger-air…View attachment 2711220
Hata bob Marley ilijulikana kafa Kwa ugonjwa wa Kansa mpaka pale jasusi aliyemuuia alipokuja kujuta hadharani kuwa yeye ndiyo chanzo cha kifo cha bob Marley baada ya kumdunga sindano inayosababisha kabsa
So usipende kubishia vitu kwa kutumia emotions. Tafuta data kisha bisha kwa hoja.Anhaaa! sawa mkubwa wangu, sikujua kwamba wewe ni mbobezi katika information intelligence.
Wewe ndiye upo nje ya mada. Hapa tunaongelea update kuhusu yanayoendelea Ukraine.
Mzee issue za kuthibitisha huwa ni mahakamani. But sasa hivi dunia ipo mbali sana. Wewe ni kijana mdogo lakini bado unaishi na mawazo ya ujima.Mkuu nadhani jibu lipo ndani ya ujumbe wako mwenyewe. Elewa maneno "MPAKA PALE". Hivyo basi, mpaka pale itakapothibitishwa vinginevyo, hayati alifariki kwa ugonjwa.
Fuatilia uone tulifikaje. Na usipojua kuhusu Russia-Africa Summit basi wewe kichwa ngumu.Sawa sawa. Je, tumefikaje kwenye nchi za Africa zilizouliwa ma'rais wake na waFaransa?
So usipende kubishia vitu kwa kutumia emotions. Tafuta data kisha bisha kwa hoja.