Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Game is Over for Clownensky [emoji1782]

“Biden should tell Zelensky that the game is over, he lost. We gave him almost everything he wanted, but he still lost. If the U.S. President does not say this, the Russians will continue to grind the Armed Forces of Ukraine until autumn, until next year,” former CIA analyst Roy McGovern.View attachment 2710895
Huyo ni mtaalamu wa masuala ya ujasusi,yaani jasusi wa CIA amenusa kushindwa kwa ukraine.na ameishauri nchi yake iiambie Ukraine ikubali kuwa imeshindwa .
Vituko Sasa,utakuta Kuna vijchambuzi panya buku humu vinasema Russia is overrated, Russia bila nuke si lolote, Russia ni supa pawa wa mchongo, Russia dhaifu na Kila aina ya utapiamlo.
 
Mayor Of German Town Wants To Hold Ukraine Peace Talks Citing Russian And Ukrainian Coexistence

Dietmar Spath, Lord Mayor of the Southern German city of Baden Baden, has proposed to hold peace talks between Moscow and Kiev.

The mayor said his city was an example of how local Russians and Ukrainians can coexist successfully, calling Baden Baden “a peaceful point of intercept.”
Na huu ndio mwanzo wa mwisho.
Ukisikia sauti nyingi zinaita amani,amani,amani,amani wakati wa vita ujue mwisho wa vita umekaribia.
 
PRO WEST huu mwaka mtaisoma namba uyu apa Rais wa Eritrea akitema madini mbele ya Mwamba Putin.View attachment 2711006
Msikilizeni...
Dah Dunia ilikua imechoka kabisa,watu walikua wanaumia kimyakimya,ndani kwa ndani hawana la kufanya,hawana pa kusemea,Sasa mtu mmoja TU aliezaliwa St Petersburg ndio aliechomoa betri.sasa watu wanapeleka malalamiko Yao kwa mtu huyo mmoja.
Ukitazma hapo mwamba wa st Petersburg ananote Kila point,Mhuni Sergei Lavrov anasikiliza kwa makini kabisa Tena kama anataka kulia kwa uchungu.

Aisee Dunia ilikua inapelekwa wanavyotaka mabeberu.

Lakini Sasa mwanga umeonekana na matumaini yameanza kunukia.

Mfano,ikiwa

Mahatma Ghadi aliikomboa India,

Nyerere aliikomboa Tanzania,

Jomo Kenyatta aliikomboa Kenya,

Nkurumah aliikomboa Ghana,

Mandela aliikomboa Afrika kusini,

Putin ataikomboa Dunia.
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸😂😆👍👍🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Tutazidi kuwachinja Kwa wingi kadri iwezekanavyo
Kumbe hii ni coded message!! Mnauza viungo vya askari wenu!!!! Unyama huu.
===

...cited media reports suggesting that the organs of killed Ukrainian soldiers, such as hearts, kidneys and livers, have been appearing on some of the biggest marketplaces of the dark net, with prices starting at €5,000 ($5,500). One dealer allegedly claimed that it takes 48-60 hours to receive any desired organ in a medical box, with deliveries limited to EU countries.
 
Siku hizi hatusikii tena zile habari za 6th Sanction Package

Hata kile kibibi kichawi - Ursula von der Leyen, hakisikiki kabisa siku hizi. Yaani tokea alivyotoka China na wakam-mistreat. Tokea hapo amepotea kabisa kwenye media

Yaani ilikuwa kila wiki lazima wakae vikao na watangaze Sanctions
Ha ha haa,
Propaganda hua Zina mwisho bro.
 
🇿🇦The BRICS summit will not be limited to the five member countries of the association: the President of South Africa invited the leaders of 67 countries of Africa and the "global South" to it.

34 countries have already confirmed their participation. The UN Secretary General and representatives of other organizations are also invited to the events. - South African Foreign Ministry

Emmanuel Macron was not invited to the BRICS summit. - South African Foreign Minister
Putin kawanukisha wa west,Kila sehemu wanakataliwa.
Macron anakataliwa Kila sehemu.
 
Sijajua basis ya swali lako ila Patrice Lumumba alipigwa risasi na askari wa Belgium. Mlolongo wote mpaka kuuawa kwake ambao umekua detailed, waliomkamata ni vibaraka waki'Congo kwa ushirikiano na serikali ya Belgium. Uhusika wa CIA sijauona popote ila kama walihusika kwenye ku'coordinate jambo hili, well and good, hatuthibitishi yasiyothibitika.

Hii haikuwa na ufanano wowote na case ya Gadaffi. Swali lako lina msingi gani?
Soma historia. Gavana wa kikongo alikuwa ana back up ya CIA. PL alikuwa anataka kuibadilisha Congo kwenda ktk ujamaa. Askari wa kikongo ktk Jimbo la kasabuvu km sikosei ndiye aliyemkamata PL. Huyo Kasabuvu alikuwa anafanya kazi na capitalists operatives in congo.
 
Dah Dunia ilikua imechoka kabisa,watu walikua wanaumia kimyakimya,ndani kwa ndani hawana la kufanya,hawana pa kusemea,Sasa mtu mmoja TU aliezaliwa St Petersburg ndio aliechomoa betri.sasa watu wanapeleka malalamiko Yao kwa mtu huyo mmoja.
Ukitazma hapo mwamba wa st Petersburg ananote Kila point,Mhuni Sergei Lavrov anasikiliza kwa makini kabisa Tena kama anataka kulia kwa uchungu.

Aisee Dunia ilikua inapelekwa wanavyotaka mabeberu.

Lakini Sasa mwanga umeonekana na matumaini yameanza kunukia.

Mfano,ikiwa

Mahatma Ghadi aliikomboa India,

Nyerere aliikomboa Tanzania,

Jomo Kenyatta aliikomboa Kenya,

Nkurumah aliikomboa Ghana,

Mandela aliikomboa Afrika kusini,

Putin ataikomboa Dunia.
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸😂😆👍👍🇷🇺🇷🇺🇷🇺
putin hawez kuikomboa dunia kumbuka putin nae ni beberu kama mabeberu wa western wote wapo kwa maslahi yao zaidi ndo maana viongozi w africa walioenda kwake juzi wamehidiwa msaada w chakula n wakaishia kupiga makofi na hapo wanakumbia wanataka kujitoa kwenye ukoloni, hakuna lolote sana sana wanambadilisha tu mkoloni kutoka mkoloni wa magharibi wanamweka wa mkoloni wa mashariki
 
putin hawez kuikomboa dunia kumbuka putin nae ni beberu kama mabeberu wa western wote wapo kwa maslahi yao zaidi ndo maana viongozi w africa walioenda kwake juzi wamehidiwa msaada w chakula n wakaishia kupiga makofi na hapo wanakumbia wanataka kujitoa kwenye ukoloni, hakuna lolote sana sana wanambadilisha tu mkoloni kutoka mkoloni wa magharibi wanamweka wa mkoloni wa mashariki

Mkuu unafikir mambo muhimu utayajua wewe wa kibaigwa? Yale yamebaki siri kwa waliohudhuria, Kichwa boga
 
View attachment 2711237

U.S Senator from Alaska, Dan Sullivan:

“The incursion by 11 Chinese and Russian warships operating together – off the coast of Alaska – is yet another reminder that we have entered a new era of authoritarian aggression led by the dictators in Beijing and Moscow.”

PS: The US dispatched now four destroyers and aircraft after 11 Russian and Chinese ships went close to Alaska state, according to a report by WSJ.

China and Russia conducted a joint naval operation near the coast of Alaska earlier this week in a “highly provocative” move amid the war in Ukraine.


Hawa watu walalamishi Hawa utadhani wanawake walioachika.
Wao kutwa kucha kuzunguka na mameli na madege kwenye nchi za wenzao,wenzao wakizunguka kwao malalamiko kibao.
USA ni walalamishi sana aisee.
 
So usipende kubishia vitu kwa kutumia emotions. Tafuta data kisha bisha kwa hoja.
Venus Star kwa heshima na taadhima nakuomba endelea na jukumu moja TU la kutulisha chakula Cha ubongo.
Achana na hoja nyingine.sisi wengine tuko na peni na note book tuna chukua madini Yako.
Usikubali kutolewa nje ya mstari.
 
Soma historia. Gavana wa kikongo alikuwa ana back up ya CIA. PL alikuwa anataka kuibadilisha Congo kwenda ktk ujamaa. Askari wa kikongo ktk Jimbo la kasabuvu km sikosei ndiye aliyemkamata PL. Huyo Kasabuvu alikuwa anafanya kazi na capitalists operatives in congo.

Elewa historia.

" Lumumba was driven to an isolated spot where, according to reports, three firing squads had been assembled and commanded by Belgian contract officer Julien Gat.[148] The orders to murder Lumumba were given by Katangese leaders, Belgian police inspection Frans Verscheure, and Gat. Sociologist Ludo De Witte, also supports the claim of involvement of Verscheure and Gat and the execution largely carried out by Belgian contractors.[148] This allowed the Belgians, Americans, and MI6 to file away their assassination plans. Allen Dulles, then the head of Central Intelligence Agency (CIA) supported the murder reportedly as he had heard Eisenhower wishing that Lumumba "fall into a river full of crocodiles." However, Eisenhower's involvement in the assassination remains speculative.[149]

Later, a Belgian commission of inquiry found that the execution was carried out by Katanga's authorities."

Majibu yote yapo kwenye paragraphs hizo. Acha upotoshaji.
 
Afrika inalazimishwa kuwa undeveloped kwa maslahi ya Ulaya na wala sio kwamba hatuna akiLI kama wanavyotutaka tuwaze hivyo.

Kama kuna nafasi ya dhahabu tumeipata kujitoa kwenye makucha ya hawa weupe,basi ni sasa! Tuna back up ya Russia kiulinzi na kiuchumi na pia kuna aina flani ya muamko miongoni mwa Waafrika wenyewe dhidi ya viongozi vibaraka wa Ulaya. Ikitokea tukakosa kuitumia hii nafasi vizuri kujikwamua,itatuchukua karne nyingi kupata nafasi ya dhahabu kama hii.

Kipindi kama hiki ndio kingekuwa na Marais wachache wazalendo waliotangulia mbele ya haki,ingekuwa rahisi sana kutimiza jambo letu. Mungui tusaidie.

AFRCA UNITE.
Uhakikaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha matendo ambayo CIA hawakufanya halafu wakasema wamefanya wao????

Sasa unataka uthibitisho upi ili ukubali???

Ndo kusema CIA wanajisingizia?????

Kweli nimeamini tz elimu ni Kansa mbaya kuliko ukimwi 😂😂😂😂😂😂😂

Toa akili ya ubishani na ufungue akili ya uelewa. Mfano mzuri upo kwenye thread hii hii. Takwimu zote za watu waliouawa kwenye hii vita unadhani ni sahihi? Agencies zinatoa takwimu zisizo sahihi muda mwingine ili kupotosha ama kutimiza malengo yao ambayo hayawekwi bayana.

Allen Dulles baada ya kuondolewa ofisini na JFK kwa tuhuma za kumlisha false intel na kumpelekea afanye maamuzi yaliyo sababisha vita, officials wengi wa kipindi hicho hawakufurahishwa. CIA waka'retaliate kwa kum'assassinate JFK, evidence zote zina'lead kwao ila wao wanakataa.

CIA wanachukua credit mara kadhaa kwa mambo ambayo hawakuwa mstari wa mbele kuyatekeleza ila kwakua walikua na sehemu tu katika kupelekea. Mfano mzuri wa hili ni kwenye mauaji ya Patrice Lumumba tunayemuongelea hapa.
 
Back
Top Bottom