President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hatari sana natamani Mali nao wafunge angaView attachment 2711590
🇹🇷🇧🇫A319-115(CJ) departed from Istanbul, Turkey descending to Ouagadougou, Burkina Faso
🔴
itapendeza mno kwa kweli.Hii ndio ndoto yangu kubwa. Hivi CDF phawezi pinduliwa na dada yake Kwa pamoja?
NATO wanachezea kiminyo cha kendeMfaransa anapigwa mtungo. Naona katika hili NATO wenzake wamemgomea
View attachment 2711589
🇬🇧 Protest in front of the French Embassy in London scheduled for Thursday.
🔴
Wanajua mtetezi si yupoWatu wanafunguka kinoma yani
Yaani unavyochanganya viingereza ndio unajiona unajuaaaaa eti.... Ni ujinga tu... Unaongea na mswahili mwenzako viingereza vya nini... Utwana huo...
Kwel, Victoria anapaswa kupunguza uzito
Hizi taarifa ni za kubumba, naona mpaka Tanzania kuna red. Ni rais yupi wa Tanzania aliuliwa na Ufaransa?View attachment 2710871
[emoji632] African nations whose presidents have been assassinated by France
- highlighted in red. [emoji632]
Or, where France has been involved[emoji845]
Remember Gaddafi [emoji35]