Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si unaona sasa? Acha kuleta ujuaji kwenye mambo usiyoyajua kiundani. Nitakuelewesha na utaelewa wala usiwe na wasiwasi ndugu mjuaji.

U.S president Dwight Einsenhower ni kweli kabisa kuwa ali'order Patrice Lumumba auliwe ila attempt yao ilifeli. Walitaka kumuwekea sumu kwenye mswaki ama chakula, ndiyo ilikua initial plan. Chemist wa CIA kwa jina la Sidney Gottlieb alienda Congo mnamo mwezi wa 9 mwaka 1960 kwaajili ya kazi ya kum'poison Lumumba ila ma'station chief wawili wa CIA ( Larry Devlin na Justin O'Donnell) wote hawakulitekeleza hilo.

You are misinformed.
Mimi nimekuwa misinformed nithibitishie hilo lako kuwa ni ukweli wa 100%,
Kigezo gani umetumia kuwa hiyo habari ni uongo????
 
Hawajui cha kufanya!!!!!!!!!!!!!!!!


Western allies receive increasingly ‘sobering’ updates on Ukraine’s counteroffensive: ‘This is the most difficult time of the war’​


CNN —
Weeks into Ukraine’s highly anticipated counteroffensive, Western officials describe increasingly “sobering” assessments about Ukrainian forces’ ability to retake significant territory, four senior US and western officials briefed on the latest intelligence told CNN.

“They’re still going to see, for the next couple of weeks, if there is a chance of making some progress. But for them to really make progress that would change the balance of this conflict, I think, it’s extremely, highly unlikely,” a senior western diplomat told CNN.

Source:CNN:08/08/2023

​

Five-minute read: A stagnant counteroffensive - so what now?​


In the weeks since Ukraine launched its long-awaited counteroffensive on the eastern front, it's been hard to identify any substantial moments that you could call a turning point in the war.

It's led to a narrative that the counteroffensive isn't moving as quickly or successfully as it needs to, if it is to justify the West's expensive and growing support.

Source:Sky news:08/08/2023
 
This is another evidence to suggest how ailing your mind is. When Ukraine is fighting for its territorial integrity, you are siding with belligerent Russia purely on flimsy grounds pegged on rumours, lies and gossips.
When ECOWAS is threatening fire against thugs who have illegally toppled a constitutional government, we turn around and support the thugs on misplaced argument of territorial integrity.
More so to speak, we even involve the West on allegations that are unfounded.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app

Here goes someone with some sense, it's about time.
 
Ukraine [emoji1255] has 83% of its Modern NATO Tanks and IFVs remaining which have not been confirmed as damaged or abandoned, or up to 94% if accounting for restoration

Confirmed Losses:
8x Leopard 2A6 Tanks
6x Leopard 2A4 Tanks
47x Bradley IFVs
4x French AMX-10 RCs
2x Swedish CV90 IFVs
 
[emoji599][emoji1183][emoji1159][emoji635] Wagner Group soldiers were attacked by al-Qaeda terrorists on the border of Mali and Niger.

Al-Qaeda confirmed their fighters surrounded Wagner and will not let them enter Niger.

Hii taarifa ni ya kweli?, maana kuna route nyngi za kuingia Niger ikiwemo kupitia Algeria [emoji1026].
 
This is another evidence to suggest how ailing your mind is. When Ukraine is fighting for its territorial integrity, you are siding with belligerent Russia purely on flimsy grounds pegged on rumours, lies and gossips.
When ECOWAS is threatening fire against thugs who have illegally toppled a constitutional government, we turn around and support the thugs on misplaced argument of territorial integrity.
More so to speak, we even involve the West on allegations that are unfounded.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ukraine is fighting for its' territorial intergity?Really?This is a proxy war by the West against Russia using Ukraine with the aim of utterly destroying Russia brother,and you want Russia to sit idle,while it is being destroyed?How naive.Please understand that the war which Ukraine is fighting has nothing to do with the interests of Ukraine.

As for Niger,so you believe invading a country defending it's own resources against robbers a.k.a.the West is justified?What the West is doing in Niger is what I would call day light robbery.You take a gram of Uranium from Niger for $11 and sell it for more than $218 and there are many more examples like this,and you think that is fair?Isn't that day light robbery and you defend it?And when Niger says no to that kind of theft you defend the robbers? Aren't you crazy?You people are simply psycopaths,maniacs and lunatics,you have been completely blinded by the Devil and there is no more rationale and common sense left inside you,very sad.

Follow the following links and listen to the clips below,may be you will grasp what I am talking about.




 

Attachments

  • VID-20230808-WA0002.mp4
    42.1 MB
A photo taken during Belgium’s colonial rule of Congo: the girls’ father brought them a black child and caged her for entertainment
IMG_20230808_182401.jpg
 
Kwanza Algeria haihitaji msaada wa Urusi wala Iran kufanya intervention hapo Niger. Hakuna jeshi la kuizuia Algeria hapo ECOWAS hata wakijumlisha uwezo wao wote na Nigeria ikiwemo. Algeria ina jeshi kubwa la kisasa, mpinzani wake wanayechukiana sana kwa majirani hapo ni Morocco naye yuko vizuri na makini.

Pili, Algeria sijaona popote ambapo imeunga mkono serikali ya kijeshi ya Niger, mara ya mwisho nimeona FM wao anatoa kauli ya kutaka peaceful and civilian means na hakuna dalili wanatetea mapinduzi. Hiyo statement ya kwamba wataunga mkono utawala wa kijeshi inazushwa na Waafrika wanaodhani ama Urusi, Ufaransa ama Marekani inahangaika kwa ajili ya maslahi ya Afrika. Na hao wazushi ndio walewale walisema Burkina Faso imezuia uuzwaji wa Uranium kwa Ufaransa wakati B. Faso haina hata ores na haijawahi uza U kwa Ufaransa.

Kilichopo hapa ni kwamba Russia kupitia Wagner inataka kuondoa influence ya France kwa Afrika. Since 2020 kuna mapinduzi mara 9 yamefanyika. ECOWAS wameona mapinduzi ni mengi na wale maraisi wameamua kutishia majeshi yao kwamba mkifanya mapinduzi ECOWAS itawajia. Wanamapinduzi wanaijua ECOWAS ilivyo effective wameamua waungane mkono kuteteana sababu wote hao B. Faso, Niger na Mali hakuna majeshi ya maana pale, so kama ECOWAS ingeanzia Niger ingeweza kufuata hao wengine.

Wagner inaongezewa majukumu Afrika kuifanya busy na sababu huku ni kwepesi. Russia ina control kubwa ya fuel rods za nuclear reactors duniani hivyo inataka kubana hapo Niger flow inayoenda Ufaransa isiende. Hata hivyo Niger inauza 5% ya Uranium duniani, na mteja wake mkubwa ni Ufaransa. Na wakati huo Russia inajitosheleza kwa U hivyo haitokuwa mbadala wa Ufaransa kwenye ununuzi. Anayenufaika hapa ni Russia, wanaoumia ni France na zaidi zaidi Niger.

Ikitokea confrontation kweli, ECOWAS inaweza wadhibiti wote hao kama itakuwa na dedication ila it seems hata Nigerian officers hawapendi hiyo mission na ndio jeshi lao linategemewa. Uamuzi wa kisiasa wa Tinubu kuzima mgogoro wa uchaguzi kwake ndio unamtuma atake kupeleka jeshi Niger sababu hawatoweza mbadilisha akiwa vitani.

Wagner ya Afrika haina silaha za kutosha na wapiganaji, hapo Libya ndio wana silaha nyingi zaidi ila napo huwa wanapigwa na majeshi yanayoungwa mkono na UAE na Uturuki. Uko kwingine wanaishia kumlinda Rais, ofisi mbalimbali na kufundisha, wakitoa silaha kubwa basi ni MANPADS. Unless Wagner wakiongeza nguvu, sioni wataletaje upinzani dhidi ya ECOWAS armed with French & US intelligence.

Huu mgogoro utaiumiza zaidi Afrika, umalaya wa kisiasa haiwezekani wenzetu wanapigana sisi kiherehere kujihusisha na ugomvi wao. Afrika tunapigana miaka mingi ila Ulaya pale wanaishi maisha yao.

Ikiwepo vita hii na wahusika wote hapa wakawepo, itajirudia kama vita ya Biafra, USSR na Uingereza zote ziliiunga mkono Nigeria ila hasara waliyopata Nigeria hawatokaa wasahau hata kama walishinda kwa mbinde. Na mikataba ya chuma na mafuta waliyosaini wapewe silaha, na mikopo waliyopata vita ile. Afrika akili zimelala
Umeeleza uzuri lakini hii ya sasa ni "Scramble for Sahel".

Tulikuwa na "Scramble for Afrika" na kukawepo kikao cha Berlin 1884-1885

Sasa hivi hakuitajiki vikao ni maamuzi tu.

Nchi za Russia, Ufaransa, Marekani na Ulaya ziondoke Niger na kila mtu akae kwake.

Ila Russia pamoja na kwamba wanataka rasilimali na kuwa na ushawishi sehemu hiyo lakini ni bora zaidi kuliko wizi wa Uranium ambao umefanywa Niger tangu mwaka 1968.

Baada ya hapo mambo yaanze upya na mikataba yote aloingia Bazoum na Ufaransa ifutwe na iandikwe upya yenye kulinda maslahi ya Niger.

Ni mikataba ya kinyonyaji ambayo ni serikali ya Bazoum pekee ilikuwa ikifaidi.

Demokrasia ya Ulaya na Marekani bado sana Afrika sisi tuna aina yetu ya demokrasia.
 
Umeeleza uzuri lakini hii ya sasa ni "Scramble for Sahel".

Tulikuwa na Scramble for Afrika na kukawepo kikao cha Berlin 1884-1885

Sasa hivi hakuitajiki vikao ni maamuzi tu.

Nchi za Russia, Ufaransa, Marekani na Ulaya ziondoke Niger na kila mtu akae kwake.

Ila Russia pamoja na kwamba wanataka rasilimali na kuwa na ushawishi sehemu hiyo lakini ni bora zaidi kuliko wizi wa Uranium ambao umefanywa Niger tangu mwaka 1968.

Baada ya hapo mambo yaanze upya na mikataba yote aloingia Bazoum na Ufaransa ifutwe na iandikwe upya yenye kulinda maslahi ya Niger.

Ni mikataba ya kinyonyaji ambayo ni serikali ya Bazoum pekee ilikuwa ikifaidi.

Demokrasia ya Ulaya na Marekani bado sana Afrika sisi tuna aina yetu ya demokrasia.
Ilipitishwa kidemokrasia hivyo sio ya kinyonyaji
 
View attachment 2711917View attachment 2711918

🇧🇫🇲🇱🇳🇪 Burkina Faso, Mali offer support in Niger trip

Delegations from Mali's and Burkina Faso's military governments have assured Niger’s military coup leaders of their full support in a solidarity visit to Gen Abdourahamane Tchiani in Niamey.

It comes as the regional bloc Ecowas is set to have a summit on Thursday to discuss the next move against Niger's junta.

Mali’s military government spokesperson Abdoulaye Maiga on Monday described the Ecowas sanctions on Niger as “illegal, illegitimate and inhumane”. He said Burkina Faso, Mali and Niger have been dealing with the “negative socio-economic, security, political and humanitarian consequences of Nato's hazardous adventure in Libya for over a decade”.

The Mali envoy also encouraged Nigeriens to be “resilient and stoic” through these “difficult times” and assured them of victory and their unwavering. 🇧🇫🇲🇱🇳🇪
Hapo Nigeria ndio anayelazimisha hiyo vita maana amekatwa ngebe vibaya sana. Alijifanya kumchunia mwamba Putin na kujipendekeza kwa west. sasa tuone hilo bomba lake la gesi la kwenda ulaya atalipitisha wapi. Nimekubali Putin ni akili kubwa saa
 

UKRAINE COUNTER-OFFENSIVE: THE HIDEOUS (UNSPOKEN) TRUTH​

07 AUGUST 2023
UKRAINE COUNTER-OFFENSIVE: THE HIDEOUS (UNSPOKEN) TRUTH

Today is August 7, 2023, and over the past two months, Ukraine has lost 43,000 SOLDIERS to re-capture the TEENY-TINY dark-blue-shaded areas on this map.
That is the unspoken, hideous, truth.
U.S. and European Officials who continue to claim that "more support is necessary for Ukraine" are either completely incompetent, are ignoring the utterly hopeless reality, or are actually TRYING to get more people killed for their hidden agenda.

Whatever the reason may be, all the military aid sent by the US to Ukraine, and all the BILLIONS of dollars sent as well, have have resulted only in the results you see on the map above.

EDITORIAL OPINION

Having watched the US and EU deliberately provoke Russia into the ongoing conflict in Ukraine, and being fully aware of all the reasons which lead up to Russia (rightly) entering Ukraine, it is my opinion that the US Military Leaders who thought Russia could be defeated in the battlefields of Ukraine are, in fact, personally and professionally incompetent.
Thus, it seems clear to me, that the military leadership of the United States, the United Kingdom, France, Germany, and the host of other "Hawks" who pushed this conflict, should be FIRED IMMEDIATELY for incompetence and dereliction of duty.
 
Back
Top Bottom