Piga haooMoscow imeanza pokea milipuko isiyo ya kawaida, wenyewe wanadai ni ajali za kawaida.
Drone zinapiga kila siku lazima sehemu iwake.
Ruble imefikia 98/$
Piga haoooMasikini Putin [emoji848][emoji848]View attachment 2712976
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa ufupi raia wa Urusi hawaamini kwamba sasa wanaweza pigwa.Piga haoo
Hii ndio maana Urusi inachokifanya ni kufurumusha makombora bila kujali kama anaua raia!Hii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱View attachment 2713427
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ule uzur wa rubi umeshapotea maana tulisikia iko vizur sana baada ya kuanza kwa vita???Moscow imeanza pokea milipuko isiyo ya kawaida, wenyewe wanadai ni ajali za kawaida.
Drone zinapiga kila siku lazima sehemu iwake.
Ruble imefikia 98/$
Germany kaongeza Patriot 2Hii ndio maana Urusi inachokifanya ni kufurumusha makombora bila kujali kama anaua raia!
Urusi ndiyo taifa pekee Kwa Sasa linalochochea vurugu za kijeshi Afrika.viva Russia
Embu tupe takwimu za unyonyaji Afrika kutoka kwa Urusi halafu tufananishe na Taifa moja tu la Ulaya MagharibiUrusi ndiyo taifa pekee Kwa Sasa linalochochea vurugu za kijeshi Afrika.
Na Urusi Kwa Sasa ndio taifa nyonyaji Afrika kuliko mengine.
Wanaharibu sana dili zetuUrusi ndiyo taifa pekee Kwa Sasa linalochochea vurugu za kijeshi Afrika.
Na Urusi Kwa Sasa ndio taifa nyonyaji Afrika kuliko mengine.
Dili zao ndiyo zinaharibika.Wanaharibu sana dili zetu
Takwimu zinapatikanaje kwa vitu vinavyochukuliwa kiharamu?Embu tupe takwimu za unyonyaji Afrika kutoka kwa Urusi halafu tufananishe na Taifa moja tu la Ulaya Magharibi
Kubadili mlaji mpyaTakwimu zinapatikanaje kwa vitu vinavyochukuliwa kiharamu?
Wewe Unadhani Wagner Group wamejazana Afrika kufanya Nini??