Wapige na hiyo spiral hapo pembeni waone moto
Mpumbavu ni aliyesababisha ukakimbia DsmPumbavu,jibu swali langu, sijawahi sikia drones zimeua Toka zianze kufika Moscow Sasa hapa Zina Msaada gani ikiwa mabomu ya Russia yanakuja watu Kila siku Ukraine?
Ushauri wa jamaa usifanyiwe kazi.Acha ujinga sasa kama wamepiga jirani tu ya hilo jengo na hakuna lililotokea unahisi wakipiga hapo kitatokea nini?
Ndo maana nimewatafuna dada zakoHuna hoja wewe Mwambukusi
Mkuu mnajenga nyumba Moja,ya nini kugombania fito?..,kama mna tofauti zenu zilizotoka huko kwenye majukwaa mengine si vema kuzileta hapa..,Ndo maana nimewatafuna dada zako
Japo mimi sio Pro NATO lakini kitendo tu cha Drone kuingia hadi Moscow ni mafanikio makubwa kwa NATO kuwa Russia inafikika na inapigika. Wanachokifanya NATO wakiongozwa na Marekani ni ku identify nguvu na weakness ya Russia ili watakapoamua kuingia full squad wajue la kufanya. Kinachoendelea katika vita ya Ukraine NI MAANDALIZI YA KUIMALIZA RUSSIAPumbavu,jibu swali langu, sijawahi sikia drones zimeua Toka zianze kufika Moscow Sasa hapa Zina Msaada gani ikiwa mabomu ya Russia yanakuja watu Kila siku Ukraine?
Putin ni mshamba fulani hivi mwenye kutia umasikini nchi ya Russia
Kuna hasara akiuwawa?
Swali zuri sana hili...Lakini sijawahi sikia drones zimeua Toka zianze kufika Russia ,Sasa Kwa staili hii mbona haziwasaidii kimkakati?
Ufafanuzi mujarabu sana huuπSwali zuri sana hili...
Attacks on Russia's capital 'sending a powerful message'
Attacks on Moscow aren't achieving much tactically but are "sending a powerful message", says military analyst Sean Bell.
He tells Sky News millions of people in the Russian capital will be "increasingly concerned" about repeated drone strikes, which will in turn "raise questions about Putin's ability to protect the population".
"People will be getting increasingly angry," he explains.
Moscow separately claimed it had repelled an attack on its Black Sea fleet hours before the alleged drone attack on its capital.
"Russia claims that it shot their drone out of the water. But as ever at sea, there's no independent verification," Bell says.
"Russia always claims that it's destroyed the drones. If you remember the last two attacks, they said they hadn't caused any damage. The next day, two ships were limping back into port, listing heavily to one side."
Though we don't know the exact details of last night's attack, Russia advising of another drone attack "show this is quite widespread," Bell adds.
Ukraine war latest: Huge fire breaks out at Russian port; why 'drone attack' on Moscow sends powerful message to Putin
Urusi inaungua π₯π₯π₯π₯ shingo yako imebeba mzigo wa bure kabisa,utani samehe lakini