Urusi wanadai wanaingia kwenye vita kamili/major war kutoka kufanya operesheni maalum/special operations.
Kwa jinsi hali ilivyo Urusi ilishaingia kwenye vita kamili toka kitambo.Ukiacha matumizi ya nukes,Urusi imeshatumia kila aina ya silaha na askari kupigana na Ukraine.Tumeshuhudia majenerali wa kirusi zaidi ya 15 wakiuwawa Ukraine.Huwezi kupeleka majenerali kwenye operesheni maalum.Tumeshudia kila aina ya silaha za Urusi zikitumika,kuharibiwa na kutekwa Ukraine.Askdri Zaidi ya laki 2 na nusu wa Urusi wameuwawa Ukraine.Kwa haya maelezo machache Urusi tayari ipo kwenye vita kamili/major war.
Wakiendelea kufanya mobilization Askari Wake wataendelea kufa na kuendelea kupata hasara ya vifaa vyao vya kijeshi.
.....