T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Arrow 3 ina range kubwa kuzidi THAAD na yenyewe inafanya interception kwenye missile ikiwa flight kwenye space, wakati THAAD inafanya interception missile ikiwa kwenye terminal stage ndio inashuka kutoka kwenye space (reentry). Hivyo Arrow 3 ni nzuri zaidi kuzuia missile yenye mass destruction kama nuke, bio au chemical.Hii arrow-3 ina tofauti yoyote na Thaad ?
T14 Armata Sela Son
![]()
In its biggest defense deal, Israel gets US okay for $3.5b sale of Arrow 3 to Germany
Sale of anti-missile system will the largest in Israeli history, with Berlin expecting delivery of long-range interceptor in Q4 2025www.google.com
Pia THAAD iko hasa dhidi ya ballistic missiles za short na medium range ila ICBM kwa mbali, kwa Arrow 3 intercontinental ballistic missiles ziko considered.
Pia inawezekana Germany imeamua kufanya diversification maana inazo air defence systems nyingine za Marekani kama Patriot PAC-2 kutoka Raytheon na yawezekana ingeagiza THAAD ingesubiri derivery time ndefu zaidi kutokana na production ya sasa ilivyo. Arrow 3 ni mpya haina orders nyingi na Israel haiwezi kuiuza kwa wengi hata advanced radar yake mwanzoni haukuaminika kama Israel itaruhusu iuzwe Ujerumani, kwa mbadala inaweza tumia radar ya Marekani. Ila hizo radars watakazofunga zitakuwa zinacover detection mpaka Poland na Romania.
Mambo mengine zinafanana hasa ukizingatia Marekani ilitoa fund na testing kwa Israel ndio maana kabla mfumo haujauzwa Marekani inaridhia. Na kama Israel isingetaka kuuza radars basi Marekani ingetoa za kwake ambazo nadhani zina performance ndogo ila zinaendana.