D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mpaka pale Russia atakapofanya yeye counter offensive ndipo uzi huu utakuwa na mvuto.Huu uzi ushaanza kupoteza maaana......
Punguza umbeya!! Unazijua siraha zote za Urusi wewe? Umeng'ang'ania tu kusema umeshuhudia kila siraha ya Urusi una uhakika umeshuhudia siraha zote za Urusi? Mkipigwa mnanung'unika mkihurumiwa mna tukana tukana hovyo! Tulizeni mshono, hili zigo lenu, Russia haina haraka! Ushindi ni "wetu"! Propaganda hazitawapeleka popote lazima mrambe mchanga!Urusi wanadai wanaingia kwenye vita kamili/major war kutoka kufanya operesheni maalum/special operations.
Kwa jinsi hali ilivyo Urusi ilishaingia kwenye vita kamili toka kitambo.Ukiacha matumizi ya nukes,Urusi imeshatumia kila aina ya silaha na askari kupigana na Ukraine.Tumeshuhudia majenerali wa kirusi zaidi ya 15 wakiuwawa Ukraine.Huwezi kupeleka majenerali kwenye operesheni maalum.Tumeshudia kila aina ya silaha za Urusi zikitumika,kuharibiwa na kutekwa Ukraine.Askdri Zaidi ya laki 2 na nusu wa Urusi wameuwawa Ukraine.Kwa haya maelezo machache Urusi tayari ipo kwenye vita kamili/major war.
Wakiendelea kufanya mobilization Askari Wake wataendelea kufa na kuendelea kupata hasara ya vifaa vyao vya kijeshi.
.....
Putin ni mshamba fulani hivi mwenye kutia umasikini nchi ya Russia
Kuna hasara akiuwaw
Urusi imeshindwaje kuvimaliza hivi Vita mpaka sasa?....Au sababu sio superpower ?Urusi wanadai wanaingia kwenye vita kamili/major war kutoka kufanya operesheni maalum/special operations.
Kwa jinsi hali ilivyo Urusi ilishaingia kwenye vita kamili toka kitambo.Ukiacha matumizi ya nukes,Urusi imeshatumia kila aina ya silaha na askari kupigana na Ukraine.Tumeshuhudia majenerali wa kirusi zaidi ya 15 wakiuwawa Ukraine.Huwezi kupeleka majenerali kwenye operesheni maalum.Tumeshudia kila aina ya silaha za Urusi zikitumika,kuharibiwa na kutekwa Ukraine.Askdri Zaidi ya laki 2 na nusu wa Urusi wameuwawa Ukraine.Kwa haya maelezo machache Urusi tayari ipo kwenye vita kamili/major war.
Wakiendelea kufanya mobilization Askari Wake wataendelea kufa na kuendelea kupata hasara ya vifaa vyao vya kijeshi.
.....
Nani amekuambia ameshindwa kumaliza vita?Urusi imeshindwaje kuvimaliza hivi Vita mpaka sasa?....Au sababu sio superpower ?
Ni mjinga tu anayesema urusi sio superpower kwa sababu Ukraine kwa kushirikiana na NATO nzima na ulaya wameshindwa kumtoa urusi Ukraine.Urusi imeshindwaje kuvimaliza hivi Vita mpaka sasa?....Au sababu sio superpower ?