Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maamini kafa yule jamaa
Ndio....wenye dunia yao wamethibitisha hili.

US 'increasingly confident' Prigozhin was killed in plane crash​

The US is "increasingly confident" Yevgeny Prigozhin was killed in a plane crash in Russia last week.

The Wagner Group boss was reportedly one of 10 people killed when a plane was en route from Moscow to St. Petersburg went down more than 100 kilometers (60 miles) north of the capital.

It came two months after he led an armed rebellion against Russia's top military brass, sparking rumours his death was ordered by Vladimir Putin.
Initially, it wasn't clear if Prigozhin was dead, but tonight's statement from the White House suggests there is now more certainty.

https://news.sky.com/story/ukraine-...updates-12541713?postid=6354896#liveblog-body
 
Putin anajiita jasusi lakini nimegundua ni muoga kupindukia .Kipindi cha karibuni wakati yeye akiishi kwenye andaki kuogopa kifo,Zennesky yeye yupo hewani akisafiri huko na huko 😀
Alisafiri huko na huko wapi na alikimbilia Ulaya akiogopa Putin atamlipua baada ya kurusha vi-drone vyake Moscow.Ninyi mnadanywa kweli kweli!
 
Ndio....wenye dunia yao wamethibitisha hili.

US 'increasingly confident' Prigozhin was killed in plane crash​

The US is "increasingly confident" Yevgeny Prigozhin was killed in a plane crash in Russia last week.

The Wagner Group boss was reportedly one of 10 people killed when a plane was en route from Moscow to St. Petersburg went down more than 100 kilometers (60 miles) north of the capital.

It came two months after he led an armed rebellion against Russia's top military brass, sparking rumours his death was ordered by Vladimir Putin.
Initially, it wasn't clear if Prigozhin was dead, but tonight's statement from the White House suggests there is now more certainty.

Ukraine-Russia war latest: Speculation grows over Prigozhin funeral; Pope criticised for 'regrettable' comments
Mbona Urusi wenyewe wameshasema DNA analysis imeonyesha alikufa kwenye crash mkuu.Hata hivyo they fell short of saying who actually "fired the missile" which killed him!
 
Alisafiri huko na huko wapi na alikimbilia Ulaya akiogopa Putin asimlipue baada ya kurusha vi-drone vyake Moscow.Ninyi mnadanywa kweli kweli!
Zelensky anasafiri kila wakati. Majuzi tu alikuwa Uholanzi na Greece lakini kashaenda mpaka Saud Arabia na USA.
Putin kajificha shimoni Cremlin hata kwenye mazishi hataki kwenda
 
Kwa sasa Ukraine imekua kama "kiroja" cha kutolea mfano, Hapa kwa wenye akili ndio wanathitibitisha mtazamo wao kua Ukraine is just a Chess piece tena among Pawns mbele ya Maboss wao. Situation ambayo hakuna taifa ambalo lina viongozi werevu wanaotamani kutumika kwa namna hiyo.

🇹🇼 ❌ 🇺🇦 Taiwanese billionaire presidential candidate Terry Gow: Taiwan should not become Ukraine, and I will not let Taiwan become the next Ukraine. I beg the people of Taiwan to give me 4 years. I promise that I will bring 50 years of peace to the Taiwan Strait.

Do you understand what connotation Ukraine acquires in the world? Now the slogan "only not Ukraine" is used by politicians in campaigning.
 
Ukraine’s military reported on Aug. 29 that it made gains southeast of recently liberated Robotyne toward the village of Verbove, Zaporizhzhia Oblast.

Ukrainian soldiers are entrenching themselves at retaken territory and carrying out counter-battery fire, the General Staff of Ukraine’s Armed Forces said in its counteroffensive update.

The advance is part of Ukraine’s larger offensive operation in the direction of Melitopol, a strategically important city for cutting off the land bridge between Russia and occupied Crimea.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na kupoteza vifaa vingi vya kijeshi, Askari wa Putin watumia farasi kupeleka silaha na mahitaji mengine vitani🤔
....
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na kupoteza vifaa vingi vya kijeshi, Askari wa Putin watumia farasi kupeleka silaha na mahitaji mengine vitani🤔
....
Lete picha inayo-onyesha farasi na vifaa vya kijeshi,sio uhuni uhuni tu.
 
Taiwan should not become Ukraine, and I will not let Taiwan become the next Ukraine.
🤣🤣🤣
20230316_002327.jpg
 
Putin anajiita jasusi lakini nimegundua ni muoga kupindukia .Kipindi cha karibuni wakati yeye akiishi kwenye andaki kuogopa kifo,Zennesky yeye yupo hewani akisafiri huko na huko 😀
Ziara za Rais Vladimir Putin zinapangwa na watu wa usalama kwa kushirikiana na kremlin. Putin sio mwoga. Alipotembelea daraja la cremia na kule mariopul alienda baada ya kuhakikishiwa usalama .

Tena alienda huku akiendesha gari mwenyewe.
 
Kwenye Convetional War hakuna nchi inaweza kuishinda Marekani..

Huko Ukraine misaada ya Marekani ni sawa na 3% ya bajeti yake ya Jeshi kwa Mwaka, misaada kiduchu na ya awamu umeifanya Vita ya Ukraine kuchukua karibu miaka 2, katika Hii vita Russia imebidi wavunje sehemu ya Jeshi lao linalotumika Africa na sehemu zingine duniani (Wagner) kwa kuwaua viongozi wake wakuu, Kwa sasa Russia ana option moja kuendelea na vita ya Ukraine, na kuachana na makoloni ya Africa.

Anayeweza kuamua hii vita iendelee au isiendelee ni Marekani pekee na sio mtu mwingine
 
Back
Top Bottom