Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Hiki kisehem tu kinaonesha we ni mtu wa aina gani. Naamini Upumbafu sio tusi so nikikuita mpumbafu sijakutukana. Ni sifa au hali uliyo nayo kwa sasa. Hufaham jambo ila unajifanya kulijua kwa Mapana.Huko Ukraine misaada ya Marekani ni sawa na 3% ya bajeti yake ya Jeshi kwa Mwaka, misaada kiduchu
Mind you, US Annual Millitary budget iko around $877 billions (2022 data). Na kiasi ambacho washatumia kupigana na Russia kupitia Mgongo wa Ukraine ni Over $100 billions. Sasa kama kwa mtazamo wako kwamba Over 100 out of 877 ni Just 3% hili jukwaa limekuzidi uwezo. Rudi vidudu ujifunze kujumlisha na kutoa kwa weledi kabla hujaingia kujadili mambo mazito kama haya.
FIY, kama unafikiri budget kubwa ndio ushindi ngoja tukupe hints za kukupevua akili. Up to date, all western aid kwa Ukraine zina'amount to almost twice of Russian Annual Millitary budget iliyo around $60+ billions. Nirudie tena kunyoosha kiswahili, Jumla ya Misaada ya kifedha na kivita iliyotolewa na Umoja wa nduguzo kwa Ukraine ni karibu mara 2 ya budget ya ulinzi ya mwaka upande wa Urusi. Can you tell us achievements walizopata in a year and half?
Dogo (nadhani hili jina pia linakufaa, kwasababu umetuonesha utoto ulio nao kwenye maelezo yako). Elewa kwamba ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi wala ukubwa wa kichwa sio wingi wa maarifa na Kama hujafanya tafiti huna haki ya kuzungumza.