Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Una upeo mdogo kwenye Geopolitics, mdogo sana. Lakini so mbaya sema jitahidi kutoweka kauli timilifu kwenye issue ambazo huzijui kiundani ili baadae usirejeshe maneno kinywani.

Nikuongeze 'hint' nyingine ya kukupevua kimawazo. Hakuna taasisi iliyo Imara inayofanya mambo "kuzunguka" mtu au kikundi cha watu. Bali mtu au watu hufanya mambo yao "kuizunguka" taasisi. Kama bado hujanielewa ni kwamba Taasisi sio Mtu au watu bali, Mtu as individual au Watu hufanya kazi katika Taasisi ambayo huishi either na wao au bila wao.

Hilo Moja, Pili upatie ubongo wako uhuru wa kufikiria kikamilifu. Wagner kama Taasisi, popote pale inapokua iko chini ya mwamvuli wa Taifa la Russia. That's why husikii ikihusishwa na Kenya wala Burundi. Geuka nyuma kutizama ilianzishwa vipi? Unafikiri ilikua ni swala la Prigo kuamka na kujiamulia leo namiliki Jeshi? Wakina nani walio nyuma yake? Unawajua?

Wao kufika Africa, na sehem zinginezo unafikiri walikua wakijiamulia tu twende pale store tukachukue Vifaa kadha wa kadha tuelekee Congo? Mali n.k Just kwa kujiamulia tu?

Think rationally, Wagner PMC ni Just "Chess Piece" inayotumiwa na Russia katika ukurasa wa mashirikiano ya kiulinzi na mataifa mengine. Kwanini Wagner? Yah kwasababu Sheria za Russia haziruhusu wanajeshi wake kufanya shughuli zingine nje ya mipaka ya Russia. That's why hata kuwaingiza Ukraine ilibidi Putin achukue kibali kutoka State Duma (Bunge la Russia) kuruhusu activities za kijeshi nje ya mipaka ya Russia F.

Ujue pia Kuna kurasa nyingi za mashirikiano yanayofanywa baina ya Africa na Taifa la Russia. Again, kama unaona influence aliyonayo kwa Africa ni just kwenye ukurasa huo pekee unathibitisha kauli yangu kwako kua unao upeo mdogo sana kwenye hizi mambo. Na kama pia una mawazo ya kijima kua asipokuepo flan hakuna kitu flan, inakazia tena uthibitisho ule ule wa kauli yangu kua una upeo mdogo saaaaana wa kufikiri.

Ishi tu na ule ushauri wa mwanzo, kama hujafanya tafiti kuzungumza sio lazima.
Wagner is no more na Russia yuko Busy na vita ya Ukraine ambayo ni worth to win kwa Russia kuliko kinachoendelea Africa.

Ndio maana Russia amekuwa tayari kumuua Prighozin kwa njia violent sana.

Russia is not that Influential, acheni kujipa upofu wa fikra.

Second, hatujajua mapinduzi haya yatapokewaje na Jumuiya ya kimataifa.

Pengine Jeshi la Gabon, limefanya mapinduzi baada ya uchaguzi hili kuweza kupunguza presha ya nje na kupata nafasi mapema ya kuunda serikali ya kiraia na kijeshi.

Reaction ya Ulaya na Marekani hata ECOWAS itakuwa tofauti kuliko Niger na pengine wanaweza kufadhili uchaguzi ujao...
 
Rejea kwenye ile kauli yangu, UNA UPEO MDOGO saaaaaaana kwenye hizi mambo. So better nikuache uendelee ku'fantasize kwenye huo ulimwengu mlioamua kuuishi.

Nikusihi tena, kama kitu hukijui ama kitu hujakifanyia tafiti usitumie mihemko kukijadili.

Kilichopo duniani kwa sasa dogo sio Hollywood show ambapo utegemee utamuona huyo anae wa'brain wash akiji-character na kuji-brand as shujaa asie shindwa lolote. This is Geopolitics, It's not a Movie, so kama una akili ndogo ziache tu kama zilivyo. Rudi chumbani tu ucheze PS ungoje Mama aivishe chakula ukule ulale.
 
Hatari sana hii....

Familia ya Bongo imejimilikisha Gabon karibia nusu karne (miaka 50), bora wameondolewa tu, ukurasa mpya ufunguliwe.

Mtihani mwingine kwa AU ni huu.

Tungoje tuone kama ni anguko jingine la ushawishi wa France

zitto junior HIMARS dudus Yoda Aleyn Victoire
Mtu Chake
Hehehhe,kama ninaona Zimbabwe wanakuwa motivated na hili .Zimbabwe kuna wanajeshi kweli?
 
Rejea kwenye ile kauli yangu, UNA UPEO MDOGO saaaaaaana kwenye hizi mambo. So better nikuache uendelee ku'fantasize kwenye huo ulimwengu mlioamua kuuishi.

Nikusihi tena, kama kitu hukijui ama kitu hujakifanyia tafiti usitumie mihemko kukijadili.

Kilichopo duniani kwa sasa dogo sio Hollywood show ambapo utegemee utamuona huyo anae wa'brain wash akiji-character as shujaa asie shindwa lolote. This is Geopolitics, It's not a Movie, so kama una akili ndogo ziache tu kama zilivyo. Rudi chumbani tu ucheze PS ungoje Mama aivishe chakula ukule ulale.
Ndugu yangu ninaweza kukulipa mshahara mara mbili ya mbunge kwa mwezi...

Russia sio kama mnavoiongea
 
White House suggests Kremlin behind Prighozin death​

The White House has hinted the Kremlin may be responsible for the death of Wagner chief Yevgeny Prighozin.

"We all know that the Kremlin has a long history of killing opponents," said White House press secretary Karine Jean-Pierre.

For context: The mercenary leader and other senior Wagner officials died in a plane crash last week, according to Russia's investigative committee.

Mystery has surrounded the cause of the crash. Russia has launched an investigation but some experts have said their findings will be unreliable and we may never know exactly what happened.

https://news.sky.com/story/ukraine-...updates-12541713?postid=6358529#liveblog-body
White house?
Sawa bana.
Haya na Mimi nasema Kremlin wamesema hawahusiko na kifo Cha Prigozin.
Sasa tuamini ipi?
 
Una upeo mdogo kwenye Geopolitics, mdogo sana. Lakini so mbaya sema jitahidi kutoweka kauli timilifu kwenye issue ambazo huzijui kiundani ili baadae usirejeshe maneno kinywani.

Nikuongeze 'hint' nyingine ya kukupevua kimawazo. Hakuna taasisi iliyo Imara inayofanya mambo "kuzunguka" mtu au kikundi cha watu. Bali mtu au watu hufanya mambo yao "kuizunguka" taasisi. Kama bado hujanielewa ni kwamba Taasisi sio Mtu au watu bali, Mtu as individual au Watu hufanya kazi katika Taasisi ambayo huishi either na wao au bila wao.

Hilo Moja, Pili upatie ubongo wako uhuru wa kufikiria kikamilifu. Wagner kama Taasisi, popote pale inapokua iko chini ya mwamvuli wa Taifa la Russia. That's why husikii ikihusishwa na Kenya wala Burundi. Geuka nyuma kutizama ilianzishwa vipi? Unafikiri ilikua ni swala la Prigo kuamka na kujiamulia leo namiliki Jeshi? Wakina nani walio nyuma yake? Unawajua?

Wao kufika Africa, na sehem zinginezo unafikiri walikua wakijiamulia tu twende pale store tukachukue Vifaa kadha wa kadha tuelekee Congo? Mali n.k Just kwa kujiamulia tu?

Think rationally, Wagner PMC ni Just "Chess Piece" inayotumiwa na Russia katika ukurasa wa mashirikiano ya kiulinzi na mataifa mengine. Kwanini Wagner? Yah kwasababu Sheria za Russia haziruhusu wanajeshi wake kufanya shughuli zingine nje ya mipaka ya Russia. That's why hata kuwaingiza Ukraine ilibidi Putin achukue kibali kutoka State Duma (Bunge la Russia) kuruhusu activities za kijeshi nje ya mipaka ya Russia F.

Ujue pia Kuna kurasa nyingi za mashirikiano yanayofanywa baina ya Africa na Taifa la Russia. Again, kama unaona influence aliyonayo kwa Africa ni just kwenye ukurasa huo pekee unathibitisha kauli yangu kwako kua unao upeo mdogo sana kwenye hizi mambo. Na kama pia una mawazo ya kijima kua asipokuepo flan hakuna kitu flan, inakazia tena uthibitisho ule ule wa kauli yangu kua una upeo mdogo saaaaana wa kufikiri.

Ishi tu na ule ushauri wa mwanzo, kama hujafanya tafiti kuzungumza sio lazima.
JF asilimia kubwa ni waelewa sana. Hivyo kama una mada, maoni au ujumbe jitahidini kuwa BRIEF. Mnapoandika makala ndefu hivi huwa hatusomi. Yanini kuchoshana bhana
 
Rejea kwenye ile kauli yangu, UNA UPEO MDOGO saaaaaaana kwenye hizi mambo. So better nikuache uendelee ku'fantasize kwenye huo ulimwengu mlioamua kuuishi.

Nikusihi tena, kama kitu hukijui ama kitu hujakifanyia tafiti usitumie mihemko kukijadili.

Kilichopo duniani kwa sasa dogo sio Hollywood show ambapo utegemee utamuona huyo anae wa'brain wash akiji-character as shujaa asie shindwa lolote. This is Geopolitics, It's not a Movie, so kama una akili ndogo ziache tu kama zilivyo. Rudi chumbani tu ucheze PS ungoje Mama aivishe chakula ukule ulale.
Una point ila una maneno mengi yasiyo ya lazima. Mara Dogo, mara upeo. Nenda straight kwenye hoja tusome tujifunze.
 
Hata Urusi anatumia silaha kutoka Iran, je na wao ni 'demilitarized' ?....

isitoshe Urusi imeshindwa kabisa kuzuia misaada ya silaha isiifikie Ukraine huku ikiwa na wakati mgumu kulinda maeneo waliyoyateka huko mashariki, Sasa hapo demilitarization imefanikiwa vipi?

Hata Urusi nayo imepoteza elites wengi tu mpaka kugeukia msaada wa Wagner, hiyo 'forced recruitment' ipo kote hata raia wa Urusi waliikimbia nchi yao.

Manazi wapo hata ndani ya Urusi, UK, Germany, Poland, Baltic states mpaka USA, hata yule msaidizi wa marehemu Prigozhin mmoja wa waanzilishi wa Wagner aliyeitwa 'Utin' yeye pia alikuwa Pro-nazi.

isitoshe Rais Zelensky wa Ukraine ni myahudi, hivyo denazification ni propaganda tu za Putin zisizo na ukweli.

T14 Armata
The bad thing ni kwamba Putin he knows what he is doing, the good thing ni kwamba NATO+ Ukraine they don't know what they are doing
 
Pole sana ndugu yangu [emoji28][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Ukraine is maximizing the production of domestic weapons, - Zelensky

"Guns made in Ukraine. Shells made in Ukraine. Drones, missiles, armored vehicles. We are maximizing production volumes. Ukraine can do it. We have the funding. Our defense industry will produce more results," Zelensky said.

Earlier, the president said that Ukraine is striving to improve its defense industry to the point where it can produce Western-style weapons on its territory.

In addition, Zelensky said that Ukraine is now producing even weapons that it has never had. The total number of weapons currently produced in Ukraine is ten times higher than before the full-scale war.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vita tangu imeanza inapiganwa ndani ya Ukrein.
Mrusi kazidi kuchukua maeneo ya Ukrein. Na kuonesha kuwa Russia ni super power sasa anazidi kuwafurusha Ufaransa Afrika
Yaani Russia ni km maji kote yupo. Alianzia Siria.
Kila anapotia mguu NATO wanakimbiana.
 
Hatari sana hii....

Familia ya Bongo imejimilikisha Gabon karibia nusu karne (miaka 50), bora wameondolewa tu, ukurasa mpya ufunguliwe.

Mtihani mwingine kwa AU ni huu.

Tungoje tuone kama ni anguko jingine la ushawishi wa France

zitto junior HIMARS dudus Yoda Aleyn Victoire
Mtu Chake
Gaboni ni Moja ya nchi zinazozalisha mafta Kwa wingi, makampuni makubwa ya uchimbaji mafta ya ufaransa ikiwemo TOTAL energy na mengineyo yalikuwa yanachimba mafta huko Gabon.., nasikia wamestisha operation zao baada ya tangazo la mapinduzi.., ufaransa anazidi kupata mapigo mbele na nyuma.., binafsi siwakingii kifua ufaransa kwa jambo hili..,kama waliwakingia kifua madkteta kama Hawa,basi wanastaili

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
JF asilimia kubwa ni waelewa sana. Hivyo kama una mada, maoni au ujumbe jitahidini kuwa BRIEF. Mnapoandika makala ndefu hivi huwa hatusomi. Yanini kuchoshana bhana
Si kila jambo lipo kwa ajili ya kila mtu. Wala sipo hapa kumridhisha kila mtu, na wala tusipangiane cha kuandika au cha kuteta kua kiwe kirefu au kifupi.

Sikuandika ili we usome niliandika kumjibu niliyemjibu, so kusoma kwako au kutosoma kwako mie hakunihusu. We kama umeona hakifit your taste kiache. Eti tunachoshana, Who TF you are? All in all hujalazimishwa na mtu kusoma nilichoandika.
 
Gaboni ni Moja ya nchi zinazozalisha mafta Kwa wingi, makampuni makubwa ya uchimbaji mafta ya ufaransa ikiwemo TOTAL energy BP na mengineyo yalikuwa yanachimba mafta huko Gabon.., nasikia wamestisha operation zao baada ya tangazo la mapinduzi.., ufaransa anazidi kupata mapigo mbele na nyuma.., binafsi siwakingii kifua ufaransa kwa jambo hili..,kama waliwakingia kifua madkteta kama Hawa,basi wanastaili

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuna wakati huwa waongea points tupu sidhani kama unakuwa watania au?🙂
 
Tuliza mshono ndugu, Si kila jambo lipo kwa ajili ya kila mtu. Wala sipo hapa kumridhisha kila mtu, na wala tusipangiane cha kuandika au cha kuteta kua kiwe kirefu au kifupi.

Sikuandika ili we usome niliandika kumjibu niliyemjibu, so kusoma kwako au kutosoma kwako mie hakunihusu. We kama umeona hakifit your taste kiache. Eti tunachoshana, WTF are yu? Umelazimishwa kusoma jomba? Unataka jumbe fupi tafuta jukwaa la mapenzi huko ukatulie.
Sijui ni kwanini tusi la Kizungu hasa cha Kimarekani huwa halina Vibe kama tusi la Kibongo.
Nimependa kipaji chako.
What The F...a'r y??
Tupia lingine tena
 
RIP Kamanda, Putin hanaga rafiki wa kudumu...ulisahau kwamba he is a serial killer !! Ukicheza na yeye anakumaliza - Ulionywa ukagoma

RIP, tumejifunza kitu sisi tunaobakia.

1693408220780.png
 
Back
Top Bottom