Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wagner is no more na Russia yuko Busy na vita ya Ukraine ambayo ni worth to win kwa Russia kuliko kinachoendelea Africa.

Ndio maana Russia amekuwa tayari kumuua Prighozin kwa njia violent sana.

Russia is not that Influential, acheni kujipa upofu wa fikra.

Second, hatujajua mapinduzi haya yatapokewaje na Jumuiya ya kimataifa.

Pengine Jeshi la Gabon, limefanya mapinduzi baada ya uchaguzi hili kuweza kupunguza presha ya nje na kupata nafasi mapema ya kuunda serikali ya kiraia na kijeshi.

Reaction ya Ulaya na Marekani hata ECOWAS itakuwa tofauti kuliko Niger na pengine wanaweza kufadhili uchaguzi ujao...
 
Rejea kwenye ile kauli yangu, UNA UPEO MDOGO saaaaaaana kwenye hizi mambo. So better nikuache uendelee ku'fantasize kwenye huo ulimwengu mlioamua kuuishi.

Nikusihi tena, kama kitu hukijui ama kitu hujakifanyia tafiti usitumie mihemko kukijadili.

Kilichopo duniani kwa sasa dogo sio Hollywood show ambapo utegemee utamuona huyo anae wa'brain wash akiji-character na kuji-brand as shujaa asie shindwa lolote. This is Geopolitics, It's not a Movie, so kama una akili ndogo ziache tu kama zilivyo. Rudi chumbani tu ucheze PS ungoje Mama aivishe chakula ukule ulale.
 
Hehehhe,kama ninaona Zimbabwe wanakuwa motivated na hili .Zimbabwe kuna wanajeshi kweli?
 
Ndugu yangu ninaweza kukulipa mshahara mara mbili ya mbunge kwa mwezi...

Russia sio kama mnavoiongea
 
White house?
Sawa bana.
Haya na Mimi nasema Kremlin wamesema hawahusiko na kifo Cha Prigozin.
Sasa tuamini ipi?
 
JF asilimia kubwa ni waelewa sana. Hivyo kama una mada, maoni au ujumbe jitahidini kuwa BRIEF. Mnapoandika makala ndefu hivi huwa hatusomi. Yanini kuchoshana bhana
 
Una point ila una maneno mengi yasiyo ya lazima. Mara Dogo, mara upeo. Nenda straight kwenye hoja tusome tujifunze.
 
The bad thing ni kwamba Putin he knows what he is doing, the good thing ni kwamba NATO+ Ukraine they don't know what they are doing
 
Vita tangu imeanza inapiganwa ndani ya Ukrein.
Mrusi kazidi kuchukua maeneo ya Ukrein. Na kuonesha kuwa Russia ni super power sasa anazidi kuwafurusha Ufaransa Afrika
Yaani Russia ni km maji kote yupo. Alianzia Siria.
Kila anapotia mguu NATO wanakimbiana.
 
Gaboni ni Moja ya nchi zinazozalisha mafta Kwa wingi, makampuni makubwa ya uchimbaji mafta ya ufaransa ikiwemo TOTAL energy na mengineyo yalikuwa yanachimba mafta huko Gabon.., nasikia wamestisha operation zao baada ya tangazo la mapinduzi.., ufaransa anazidi kupata mapigo mbele na nyuma.., binafsi siwakingii kifua ufaransa kwa jambo hili..,kama waliwakingia kifua madkteta kama Hawa,basi wanastaili

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
JF asilimia kubwa ni waelewa sana. Hivyo kama una mada, maoni au ujumbe jitahidini kuwa BRIEF. Mnapoandika makala ndefu hivi huwa hatusomi. Yanini kuchoshana bhana
Si kila jambo lipo kwa ajili ya kila mtu. Wala sipo hapa kumridhisha kila mtu, na wala tusipangiane cha kuandika au cha kuteta kua kiwe kirefu au kifupi.

Sikuandika ili we usome niliandika kumjibu niliyemjibu, so kusoma kwako au kutosoma kwako mie hakunihusu. We kama umeona hakifit your taste kiache. Eti tunachoshana, Who TF you are? All in all hujalazimishwa na mtu kusoma nilichoandika.
 
Kuna wakati huwa waongea points tupu sidhani kama unakuwa watania au?🙂
 
Sijui ni kwanini tusi la Kizungu hasa cha Kimarekani huwa halina Vibe kama tusi la Kibongo.
Nimependa kipaji chako.
What The F...a'r y??
Tupia lingine tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…