Mkuu mbona unahamaki, maana kuna muda mlisema Urusi si mamber ya hiyo mahakama kwa hiyo hiyo warrant labla ni ya Biden...Hili siyo swali la kijinga tu Bali pia la kipumbavu kabisa...Wewe hujui kuwa Putin anawindwa mno na mabeberu wakiongozwa na USA na NATO?! Swali lako ni la kipumbavu kabisa...unataka Putin asafiri ili iweje?!?!
Yaani mimi muda mwingi siwezi kuingia kabisa yaani inakera sana. Muda huu nimebahatisha tuu lakini zaidi mwezi mzima no acces sijui error occurred..Nilijua ni mie pekee yangu
Sasa unashangaa Nini?! Upeo wako wa uelewa uko chini Sana....Yaani unashangaa Putin kutosafiri?!?! Putin ameleta changamoto kubwa kwa West na vibaraka wao...Putin ni kiongozi hatari kwa West na maslahi yao...amesema wazi West ni lazima waache kuinyonya dunia....Sasa wewe unataka awe anasafiri kifala...stupidMkuu mbona unahamaki, maana kuna muda mlisema Urusi si mamber ya hiyo mahakama kwa hiyo hiyo warrant labla ni ya Biden...
Sasa ndo nashangaa safari mbili zote Mzee mzima chini ya meza - sijaamini bado mwamba aogope kitu hapa Duniani.
Huwa inanijibu hivyoYaani mimi muda mwingi siwezi kuingia kabisa yaani inakera sana. Muda huu nimebahatisha tuu lakini zaidi mwezi mzima no acces sijui error occurred..
Hata Urusi haijaamua kupigana na Ukraine kwa 100% ! Siku wakiamua kupigana nadhani patachimbika!Nato wenyewe hawaja ji commit 100%
siku NATO watakapo peleka vikosi vyao direct ndio hapo uwezo utapimwa. Hii misaada ya kivita wanayotuma bado sana…
Mchawi wako wa lugha bado anakusumbua, ukiona hivyo click hapo palipoandikwa ""open in browser""..,ukishafanya Hivyo browser itafunguka kisha itakudai password [emoji360][emoji360][emoji360] yako unayotumia kuingia jamiiforum..,ukishaweka password yako unaendelea kuinjoi Uzi kama kawaida!Huwa inanijibu hivyoView attachment 2734581
Ha ha ha asante Braza ha ha haMchawi wako wa lugha bado anakusumbua, ukiona hivyo click hapo palipoandikwa ""open in browser""..,ukishafanya Hivyo browser itafunguka kisha itakudai password [emoji360][emoji360][emoji360] yako unayotumia kuingia jamiiforum..,ukishaweka password yako unaendelea kuinjoi Uzi kama kawaida!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Imerudi mahala pake.....Huwa inanijibu hivyoView attachment 2734581
Kuna wakati huwa waongea points tupu sidhani kama unakuwa watania au?🙂
Muandishi wa magharibiAnalysis: Anger builds over Prigozhin's burial - and it may come back to haunt Putin
By Dominic Waghorn, international affairs editor
It is not quite Prigozhin speaking from beyond the grave. It was recorded a week or two ago in Africa. But did Wagner loyalists release this video to troll his enemies after his death?
It was put out on a Wagner-affiliated channel. There remains plenty of evidence of resentment and anger within what remains of Prigozhin's mercenary group.
Either way, the legend and myth of Prigozhin is likely to endure well beyond his death, and the final fate given to him by Vladimir Putin adds to all that.
Prigozhin was seen as the common soldier's general: The man who came from nothing to acquire great power and wealth but who was always an outsider among the corrupt sycophants in the court of Tsar Vladimir.
In the last days before his ill-fated mutiny, Prigozhin articulated what many soldiers on the front will feel. He said they'd been sent to war on a lie without enough training and the right weapons.
He launched his rebellion at the defence establishment, not Putin, he said - but the Russian leader chose the latter over him.
He was buried this week in a hushed-up ceremony without any honour in a working-class cemetery. That will be seen as fitting for a man who will remain a hero to some on the bottom rungs of Russia's military.
It will only add to the resentment among them about this war. That probably won't speed up Putin's toppling but if or when it comes, it could make that downfall all the more precipitous.
NonsenseMother Russia is Burniiiiing
burn Moderfucccccckerrrr
Burnnnnnnnnnnnnnnnnnn
i like Vawlence
Mie kwenye iphone na access vizuri chamgamoto ilikuwa baadhi ya videos tu ila picha na sometimes videos zinafunguka vizuri maana kunakuwa na links mbili moja inafanya vizuri kwa android na nyingine inafunguka kwa ios ila upande wa picha na kurefresh kwenda next page upande wa android app kuna shida kubwa sana.Yaani mimi muda mwingi siwezi kuingia kabisa yaani inakera sana. Muda huu nimebahatisha tuu lakini zaidi mwezi mzima no acces sijui error occurred..
Mbona Magufuli hakusafiri huko mavikaoni mpaka kufa kwake!!?? ....Mkuu mbona unakasirika hovyo? Kwani Marais wengine wanasafiri ili iweje? Si wanahudhuria mikutano?
Ume mu attack mwenzio ila wewe ndio mpumbavu wa mwisho unakirika kwani putin babako?
.Sasa unashangaa Nini?! Upeo wako wa uelewa uko chini Sana....Yaani unashangaa Putin kutosafiri?!?! Putin ameleta changamoto kubwa kwa West na vibaraka wao...Putin ni kiongozi hatari kwa West na maslahi yao...amesema wazi West ni lazima waache kuinyonya dunia....Sasa wewe unataka awe anasafiri kifala...stupid