Burundi ya NYOKO YAKO au 🤣🤣🤣🤣Ukraine amashaonesha wazi dalili zote za kumchakaza urusi..,kinachofanyika Kwa Sasa ni kuendelea kumpigisha urusi danadana Ili atumie raslimali zote alizonazo
Urusi size yake kwa Sasa ni akina Burundi na Zambia may be!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiki kipigo anachochezea urusi kwenye hii vita atasimulia Hadi kizazi Cha 12Jeshi la drones laharibu vifaa zaidi ya 200 kwa Muda wa wiki moja 🤔
.....
Ukraine’s ‘army of drones’ hits 200 Russian military equipment in one week
Ukraine’s combat teams operating the “army of drones” have destroyed and damaged 201 Russian military equipment and weapons over the past week, Ukraine'senglish.alarabiya.net
Nakubaliana na wewe mia kwa mia.Mkuu hicho kioperation hakiwezi kumalizia silaha hapo Russia. FUTA kabisa Hilo wazo. Hicho ni sawa sawa na kioperation Cha Fields force unit, hapo mbagala mission Cha kuwafukunyua panya road.
Mzee ivi unaujua uadui wa west?, Yaani huyo Putin usimchukulie Ibrahim traole.
Russia imewatia kidole west, wanahaha. Sababu hawana Cha kufanya na kikaonekana.
Usije kushangaa mkutano unaofata BRICS+, North Korea inaomba uanachama.
Kweli kabisa.Vikwazo alivyowekewa mrusi vimekuwa na manufaa kwao zaidi ya kuwapa hasara.
Sasa hivi Urusi ameendelea kutengeneza ndege zake mwenyewe baada ya kumwelewa vikwazo vya kununua spare za Boeing alizonunua kwao. Wakati wanafikiri wamemkomoa kumbe wamesaidia kuzidi kujitegemea.
Halafu timu Putin, Warusi wa mchongo wanamsifu na kumkubali Putin,wakitoka hapo wanakwenda kula tende na urojo bila kusahau gahawa na kashata huku wakicheza bao🤔Hiki kipigo anachochezea urusi kwenye hii vita atasimulia Hadi kizazi Cha 12
Ukimuona hata Putin mwenyewe akiongelea hii vita kiukweli anatia huruma 😢
Warusi wanachakazwa mno 🥱