Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikosi vya urusi vyatimuliwa na Makomandoo wa Ukraine,kwenye visima vya mafuta,karibu na Snake Island [emoji848]
.......
Na hivyo visiwa alikuwa anavishikilia tangu mwaka 2015 ..,ama kweli mtaka yote kwa pupa [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vladimir Putin:
“I remember Prince Potemkin’s letter to Empress Catherine II.
When it came to the annexation of Crimea, he wrote the following:

“Time will pass and future generations will blame you for the fact that you could have annexed Crimea and did not do so, and you will be ashamed.”
We are, first of all, guided by the interests of the Russian state, we are definitely not ashamed of this!”

1694548587866.png
 
Mpaka jana Putin kasema Ukraine imeshapoteza askari 71,000 kwenye counteroffensive yao, sijui kufikia mwisho wa mwaka itakuwaje kama wameanza kusajiri vipofu na wasio na viganja vya mikono kwa Sasa ha, ha ,ha ...!
Kuna mzazi moja Tz alisema walibaki watoto wake wawili huko khakiv,wakike na wakiume sasa alikuwa amekata tamaa maana ilibaki miezi michache mtoto wa kiume kutimiza miaka 18 maana wanaweza kumlazimisha kupigana vita
 
hao ukreine ni mpaka ufie vitani ndo wakuache ila ukitoka huko front hata kama hauna viganja vya mikoko utarudishwa tu
 
Natarajia Leo uzi utajaa "akina Fulani" kwa tukio la Leo
===
Russia’s Defense Ministry later confirmed the strike, saying the Ukrainian forces fired ten cruise missiles at the Sevastopol Shipyard overnight.

Air defenses shot down seven of the incoming projectiles, but three made it through, damaging two vessels undergoing repairs at the facility, the statement said.

An attack was also attempted with the use of naval drones on a group of Russian warships in the Back Sea. All three UAVs were destroyed by the Vasily Bykov patrol ship, according to the ministry.
 
Ni mwendo wa kipigo tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Unacho Sahau nikwamba Uturuki bado ni NATO member lakini Turkey ilikasirishwa ilipotolewa kwenye project ya F-35 jet fighter, kisa eti kwa nini Uturuki inataka kunumua S-400 kitoka Urusi badala ya Patriot, USA wakasahau kwamba Waturuki wako techically advanced kwa hiyo wanajua weakness za Patriot ADS inside out, haya Madai ya USA za kusema eti the systems cannot be interfaced ni ulaghai mtupu ndio maana Waturuki walisema madai hayo ya USA hayana u kweli wowote..
Unachosahau ni kwamba Uturuki ilienda kununua S-400 ili kuikomoa Marekani baada ya US kukataa kuiuzia Uturuki Patriot.
 
‘I will always stand with Russia,’ says North Korean leader​

Kim Jong-un is making a rare foreign trip to meet President Vladimir Putin
‘I will always stand with Russia,’ says North Korean leader

Russian President Vladimir Putin shakes hands with President of the State Affairs Commission of North Korea Kim Jong-un © Kremlin press service / Handout
 
Jamaa watawamaliza wanaume nadhani siku za mbele wataenda kuwakamata wakimbizi wa kiukr huko ulaya
hiv mpaka wanawalazimisha raia kuwapa mafunzo ili wakawatoe kafara ina maana hata askari wa rezevu wailishawamaliza na mpaka kuanza kutafuta watu kwingine kote ulimwengun kwahiyo askari wa yukreini wameisha kabisa
 
Back
Top Bottom