kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Na hivyo visiwa alikuwa anavishikilia tangu mwaka 2015 ..,ama kweli mtaka yote kwa pupa [emoji28]Vikosi vya urusi vyatimuliwa na Makomandoo wa Ukraine,kwenye visima vya mafuta,karibu na Snake Island [emoji848]
.......
Ukrainian Troops Ejected Russians From Oil Platforms Near Snake Island
There’s a chance neither country fully can control the platforms unless the balance of power in the Black Sea significantly shifts. That, however, is a win for Ukraine.www.forbes.com
Kuna mzazi moja Tz alisema walibaki watoto wake wawili huko khakiv,wakike na wakiume sasa alikuwa amekata tamaa maana ilibaki miezi michache mtoto wa kiume kutimiza miaka 18 maana wanaweza kumlazimisha kupigana vitaMpaka jana Putin kasema Ukraine imeshapoteza askari 71,000 kwenye counteroffensive yao, sijui kufikia mwisho wa mwaka itakuwaje kama wameanza kusajiri vipofu na wasio na viganja vya mikono kwa Sasa ha, ha ,ha ...!
hao ukreine ni mpaka ufie vitani ndo wakuache ila ukitoka huko front hata kama hauna viganja vya mikoko utarudishwa tuKuna mzazi moja Tz alisema walibaki watoto wake wawili huko khakiv,wakike na wakiume sasa alikuwa amekata tamaa maana ilibaki miezi michache mtoto wa kiume kutimiza miaka 18 maana wanaweza kumlazimisha kupigana vita
Ni mwendo wa kipigo tuNatarajia Leo uzi utajaa "akina Fulani" kwa tukio la Leo
===
Russia’s Defense Ministry later confirmed the strike, saying the Ukrainian forces fired ten cruise missiles at the Sevastopol Shipyard overnight.
Air defenses shot down seven of the incoming projectiles, but three made it through, damaging two vessels undergoing repairs at the facility, the statement said.
An attack was also attempted with the use of naval drones on a group of Russian warships in the Back Sea. All three UAVs were destroyed by the Vasily Bykov patrol ship, according to the ministry.
Unachosahau ni kwamba Uturuki ilienda kununua S-400 ili kuikomoa Marekani baada ya US kukataa kuiuzia Uturuki Patriot.Unacho Sahau nikwamba Uturuki bado ni NATO member lakini Turkey ilikasirishwa ilipotolewa kwenye project ya F-35 jet fighter, kisa eti kwa nini Uturuki inataka kunumua S-400 kitoka Urusi badala ya Patriot, USA wakasahau kwamba Waturuki wako techically advanced kwa hiyo wanajua weakness za Patriot ADS inside out, haya Madai ya USA za kusema eti the systems cannot be interfaced ni ulaghai mtupu ndio maana Waturuki walisema madai hayo ya USA hayana u kweli wowote..
Jamaa watawamaliza wanaume nadhani siku za mbele wataenda kuwakamata wakimbizi wa kiukr huko ulayahao ukreine ni mpaka ufie vitani ndo wakuache ila ukitoka huko front hata kama hauna viganja vya mikoko utarudishwa tu
hiv mpaka wanawalazimisha raia kuwapa mafunzo ili wakawatoe kafara ina maana hata askari wa rezevu wailishawamaliza na mpaka kuanza kutafuta watu kwingine kote ulimwengun kwahiyo askari wa yukreini wameisha kabisaJamaa watawamaliza wanaume nadhani siku za mbele wataenda kuwakamata wakimbizi wa kiukr huko ulaya
walianza kwa babu wakaja kwa baba na sasa ni mjukuu wote wamewashindwaHuyu young rocket kid, anachokitafuta atakipata...ni suala la muda tu.
View attachment 2747883
Na south Korea ilizaliwa na nani vilee?!?walianza kwa babu wakaja kwa baba na sasa ni mjukuu wote wamewashindwa