passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Hivi wewe unaakili kweli? Marekani aende kumkamata kiongozi mwenye nguvu kama putin?kiongozi wa nchi inayoongoza kwa nuclear?PUTIN USITHUBUTU KUTIA MGUU, US WATAKUDAKA....
Putin accepts Kim’s invitation to visit North Korea
Kim has invited Putin to visit Pyongyang and Putin has accepted, North Korean state media report.
According to the KCNA news agency, Putin accepted the invitation during their meeting on Wednesday without mentioning when a visit might take place.
“At the end of the reception, Kim Jong Un courteously invited Putin to visit the DPRK [Democratic People’s Republic of Korea] at a convenient time,” KCNA said.
“Putin accepted the invitation with pleasure and reaffirmed his will to invariably carry forward the history and tradition of the Russia-DPRK friendship,” it ad
Putin baada ya Wagner kushindwa vita Ukraine sasa anawapeleka macho kuvimba, vijana wa mapanki frontline;Je,watavumilia mziki wa askari wazalendo na shupavu wa Ukraine?🤔‘I will always stand with Russia,’ says North Korean leader
Kim Jong-un is making a rare foreign trip to meet President Vladimir Putin
Russian President Vladimir Putin shakes hands with President of the State Affairs Commission of North Korea Kim Jong-un © Kremlin press service / Handout
unaandika hivi ukiwa na mzinga wa k vantPutin baada ya Wagner kushindwa vita Ukraine sasa anawapeleka macho kuvimba, vijana wa mapanki;Je,watavumilia mziki wa askari wazalendo na shupavu wa Ukraine?🤔
Inawezekana kukawa na majeruhi wengihiv mpaka wanawalazimisha raia kuwapa mafunzo ili wakawatoe kafara ina maana hata askari wa rezevu wailishawamaliza na mpaka kuanza kutafuta watu kwingine kote ulimwengun kwahiyo askari wa yukreini wameisha kabisa
PUTIN USITHUBUTU KUTIA MGUU, US WATAKUDAKA....
Hapa umeanndika mwenyewe?
Full of propagandaUrusi yaanza tena kukodisha Wagner mercenaries baada ya kupungukiwa Askari.Wagner nao hawakomi tu pamoja na kuuwawa kote 🤔
...
Weka ushahidi Kama ni propaganda, Mimi nimeweka habari ilipotokea 🤔Full of propaganda
Na wewe mwenye kunywa fanta orange weka bandiko lako basi.Una chekacheka kama mwa..ke mwenye ngenye!unaandika hivi ukiwa na mzinga wa k vant
pembeni?!
Alafu mtu anakuja anasema NATO hawashiriki.hao watamalizwa mapema.Kwa miezi 6 Makomandoo wa Uingereza wamekuwa wakiwapa mafunzo Makomandoo wa ukraine namna ya kufanya mashambulizi ya kikomandoo majini [emoji848]
.....
British commandos have trained hundreds of Ukrainian marines in the 'art' of amphibious raids
For six months, British Royal Marines have been training hundreds of Ukrainian marines in the art of conducting commando raids and complicated amphibious operationsafrica.businessinsider.com
Vikosi vya Jeshi la Ukraine havina uwezo wa kulifanya chochote jeshi la Urusi - hizi ngonjera zao za kila siku za kujifanya wamekomboa maeeo fulani ni ulaghai mtupu wa kutaka kuendelea kupewa fedha na silaha hasa fedha kutoka mataifa ya NATO kwa kujifanya kuna juhudi wanafanya kukomboa maeneo yaliyo twaliwa na Urusi - uongo mtupu.Vikosi vya Ukraine vyakomboa eneo jingine huko Donetsk Oblast 🤔
....
The Armed Forces of Ukraine have liberated Andriivka, Donetsk Oblast.
Glory to the Ukrainian military, who risk their lives to liberate every piece of homeland.
Source: Ministry of Defense.
Kwani kabla ya kufanya ulaghai wa kutaka wapewe hela kwa sababu yakusema wamekomboa kijisehem inakuwa ni siri hiyo kwamba haijulikani na hawo watoa hiyo misaada?Vikosi vya Jeshi la Ukraine havina uwezo wa kulifanya chochote jeshi la Urusi - hizi ngonjera zao za kila siku za kujifanya wamekomboa maeeo fulani ni ulaghai mtupu wa kutaka kuendelea kupewa fedha na silaha hasa fedha kutoka mataifa ya NATO kwa kujifanya kuna juhudi wanafanya kukomboa maeneo yaliyo twaliwa na Urusi - uongo mtupu.
Zelensky ahachane na jeuri na kiburi chake akae meza moja na Putin kumaliza tofauti zao, Merikani inampoteza kwa kumpatia ushauri mbaya - Urusi ni super power si Ukraine, USA wala ushirika wa NATO wanaweza kuifanya lolote Urusi wala wasijidaganye na ndoto zao za mchana, juzi juzi hapa tulishuhudia kilivho wapata wslipo jitia kufanya a massive counter offensive ya kijitia kukomboa majimbo yaliyo twaliwa na Urusi - walipewa cha mtema kuni na aibu tupu.
Kwahiyo hayo wanayofanywa na Ukraine ni usanii kama kuuliwa na mengine?Vikosi vya Jeshi la Ukraine havina uwezo wa kulifanya chochote jeshi la Urusi - hizi ngonjera zao za kila siku za kujifanya wamekomboa maeeo fulani ni ulaghai mtupu wa kutaka kuendelea kupewa fedha na silaha hasa fedha kutoka mataifa ya NATO kwa kujifanya kuna juhudi wanafanya kukomboa maeneo yaliyo twaliwa na Urusi - uongo mtupu.
Zelensky ahachane na jeuri na kiburi chake akae meza moja na Putin kumaliza tofauti zao, Merikani inampoteza kwa kumpatia ushauri mbaya - Urusi ni super power si Ukraine, USA wala ushirika wa NATO wanaweza kuifanya lolote Urusi wala wasijidaganye na ndoto zao za mchana, juzi juzi hapa tulishuhudia kilivho wapata wslipo jitia kufanya a massive counter offensive ya kijitia kukomboa majimbo yaliyo twaliwa na Urusi - walipewa cha mtema kuni na aibu tupu.