PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,776
- 26,168
Ngoja kidogo Russia aendelee kunyooshwa. Mizoga yao ipo kustawisha ngano huko Ukraine wewe unaleta habari za eti hawezi kumfanya chochote?Vikosi vya Jeshi la Ukraine havina uwezo wa kulifanya chochote jeshi la Urusi - hizi ngonjera zao za kila siku za kujifanya wamekomboa maeeo fulani ni ulaghai mtupu wa kutaka kuendelea kupewa fedha na silaha hasa fedha kutoka mataifa ya NATO kwa kujifanya kuna juhudi wanafanya kukomboa maeneo yaliyo twaliwa na Urusi - uongo mtupu.
Zelensky ahachane na jeuri na kiburi chake akae meza moja na Putin kumaliza tofauti zao, Merikani inampoteza kwa kumpatia ushauri mbaya - Urusi ni super power si Ukraine, USA wala ushirika wa NATO wanaweza kuifanya lolote Urusi wala wasijidaganye na ndoto zao za mchana, juzi juzi hapa tulishuhudia kilivho wapata wslipo jitia kufanya a massive counter offensive ya kijitia kukomboa majimbo yaliyo twaliwa na Urusi - walipewa cha mtema kuni na aibu tupu.
Halafu huo uandishi wako unaonyesha unaandika huku unatetemeka na kulia kwa wakati mmoja. Nyamaza usilie.