Unaandika huku ukijinibu mwenyewe..,maandiko matakatifu yanatwambia kabla ya ule mwisho wa dunia kufika ni lazima shetani akae mahali patakatifu akitaka aabudiwe..,na hao watakaokataa kumwabudu wataishi kwa shida sana maana hawatakuwa na uwezo wa kuuza Wala kununua pasipo chapa ya huyo shetani.., ushindi wa Russia kwenye hii vita utakuwa unaenda kinyume na maandiko, maana tuko katika siku za mwisho,na shetani Hana budi kutawala kwa muda kabla ya Ile kiama,ningekuona wa maana sana kama ungejikita kuangalia jinsi ya kujilinda na amri za shetani na kutotii Sheria zake , lakini sio kuzuia ufalme wake kwa wakati huu, kufanya hivyo ni sawa na kuzuia kimbunga na kuchelewesha ujio wa ulimwengu ujao hambao mola aliwaaidi wote wampendao na kuzifuata amri zake bila kuteteleka!
Sent from my Infinix X660B using
JamiiForums mobile app