India na Saudi Arabia wameanza mazungumzo ya kufanya biashara kwa kutumia pesa zao, taratibu nchi zinaanza kuachana na dola
Naona France anatafta kwa nguvu sababu ya kumchakaza Niger [emoji1787]Rais was Ufaransa analalamika balozi wake Niger kuwekwa matekwa, anadai chakula kimezuia Sasa hivi anakula ratio ya kijeshi. Amesema hayo akiongea na waandishi wa habari akiwa ivory coast. Balozi huyo no mtu asiyetakiwa na serikali iliyopo madarakani baada ya kufuta visa yakeIla kwa kiburi cha Ufaransa wamesema hawatambui amri hiyo, bado wanamtambua rais aliyeondolewa madarakani.
Nyie wanazi wa buzaTutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298]The Ukrainian military eliminated another 530 Russian invaders over the past day, according to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Atapigwa kama ngomaNaona France anatafta kwa nguvu sababu ya kumchakaza Niger [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wew unachekesha sanaHii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2752070
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kina:Drone ya Ukraine yenye thamani ya dollar 500 yalipua kifaru chenye thamani ya mamilioni ya dollar cha Russia, chapa T-72🤔
....
![]()
A $500 Ukrainian FPV drone made a neat landing inside a T-72B and burned a Russian tank
The Ukrainian Defence Forces have demonstrated an unusual way of destroying a Russian T-72B tank. An FPV drone operator from the Birds of Madyara aerial reconnaissance group managed to do this.gagadget.com
Ni kweli hizi nchi ni kizingiti cha USA na washirika kuitawala dunia kisiasa sababu ya utofauti wao kiitikadi na hizi ni nchi zenye nguvu kiuchumi. Hapa nakukubalia. Ila hata wao nia yao ni hiyo hiyo, utawala.Nyie Watu wachache mnaoisapoti NATO/Ukraine mnatakiwa kujua kwamba Marekani anaiona urusi na china kama kizingiti katika kutawala dunia.
China huenda kuna mashoga, Urusi huenda kuna mashoga, ni nani aliwashawishi mashoga waliopo huko? USA? Ushoga ni tabia ya binadamu. Yapo enzi na enzi. USA kosa lake ni kiherehere cha kutaka kuamulia nchi nyingine namna ya kudeal na hili suala ila sidhani kama ndo sababu ya Urusi kupigana na Ukraine.kwa mfano kwenye masuala ya agenda ya ushoga ya Marekani.urusi anapinga ushoga wakati Marekani anataka kila nchi kukubali ushoga.
Urusi imeivamia Ukraine. Hivi ni vita vya urusi kuthibitisha ukubwa wake kijeshi na USA na washirika zake wakimprove wrong. Binadamu tuna hii tabia ya kuonyeshana ni nani mbabe. Ni mfumo wetu wa maisha.vita vya Ukraine imeanzishwa na Marekani ili kuidhoofisha urusi na mpaka sasa hivi tumeona Marekani ameshindwa kwenye hilo.
Hizi ni hisia za kiimani.Na Mungu hatakubali urusi kushindwa kwa sababu anajua Marekani akishinda shetani ataiumiza dunia sana kwa kupitia Marekani.Marekani atasambaza agenda ya kishetani kwa urahisi zaidi.Russia will be victorious.
Hii habari Yahoo wamerudia,lisemwalo LiPo🤔Tabia ya Urusi ya kudanganya na kutoa ripoti ya uongo kuhusu vita yao na Ukraine,imesababisha washindwe kupata ushindi Kwenye vita hivyo-Kamanda wa Vikosi vya Urusi wa Zamani-Andrey Gurulev
....
![]()
ISW: Russian official says Moscow's culture of lies prevents victory in Ukraine
Russian lawmaker and former military commander Andrey Gurulev complained that a culture of lying is holding Russia back from achieving victory in Ukraine, the Institute for the Study of War (ISW) wrote in its Sept. 15 report.kyivindependent.com
Sasa wewe unabishana na kamanda wa Urusi?Amakweli ukiwa ProRussian,mrusi wa mchongo,akili inakuwa haifanyi kazi 🤔Ushindi gani wewe unazungumzia?Watu wamechukua asilimia karibu 30 ya Ukraine na kusababisha counteroffensive ya Ukraine kufeli.
u mmoja waoUnaandika huku ukijinibu mwenyewe..,maandiko matakatifu yanatwambia kabla ya ule mwisho wa dunia kufika ni lazima shetani akae mahali patakatifu akitaka aabudiwe..,na hao watakaokataa kumwabudu wataishi kwa shida sana maana hawatakuwa na uwezo wa kuuza Wala kununua pasipo chapa ya huyo shetani.., ushindi wa Russia kwenye hii vita utakuwa unaenda kinyume na maandiko, maana tuko katika siku za mwisho,na shetani Hana budi kutawala kwa muda kabla ya Ile kiama,ningekuona wa maana sana kama ungejikita kuangalia jinsi ya kujilinda na amri za shetani na kutotii Sheria zake , lakini sio kuzuia ufalme wake kwa wakati huu, kufanya hivyo ni sawa na kuzuia kimbunga na kuchelewesha ujio wa ulimwengu ujao hambao mola aliwaaidi wote wampendao na kuzifuata amri zake bila kuteteleka!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We kweli huna akili kupata ushindi haimaanishi kwamba upinzani haupoSasa wewe unabishana na kamanda wa Urusi?Amakweli ukiwa ProRussian,mrusi wa mchongo,akili inakuwa haifanyi kazi [emoji848]
.....
![]()
ISW: Russian official says Moscow's culture of lies prevents victory in Ukraine
Russian lawmaker and former military commander Andrey Gurulev complained that a culture of lying is holding Russia back from achieving victory in Ukraine, the Institute for the Study of War (ISW) wrot...news.yahoo.com
Kauli iyo imetoka kwa mwanamgambo mtiifu toka MwarusembeKina:
passioner255
Venus Star
green rajab
kimsboy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Warusi wa mchongo toka buza[emoji848]
The Russian Aerospace Forces strike on the Ukrainian Dolgintsevo airfield destroyed two MiG-29 fighters and three Su-25 attack aircraftSasa wewe unabishana na kamanda wa Urusi?Amakweli ukiwa ProRussian,mrusi wa mchongo,akili inakuwa haifanyi kazi [emoji848]
.....
![]()
ISW: Russian official says Moscow's culture of lies prevents victory in Ukraine
Russian lawmaker and former military commander Andrey Gurulev complained that a culture of lying is holding Russia back from achieving victory in Ukraine, the Institute for the Study of War (ISW) wrot...news.yahoo.com