Ngoja kidogo Russia aendelee kunyooshwa. Mizoga yao ipo kustawisha ngano huko Ukraine wewe unaleta habari za eti hawezi kumfanya chochote?Vikosi vya Jeshi la Ukraine havina uwezo wa kulifanya chochote jeshi la Urusi - hizi ngonjera zao za kila siku za kujifanya wamekomboa maeeo fulani ni ulaghai mtupu wa kutaka kuendelea kupewa fedha na silaha hasa fedha kutoka mataifa ya NATO kwa kujifanya kuna juhudi wanafanya kukomboa maeneo yaliyo twaliwa na Urusi - uongo mtupu.
Zelensky ahachane na jeuri na kiburi chake akae meza moja na Putin kumaliza tofauti zao, Merikani inampoteza kwa kumpatia ushauri mbaya - Urusi ni super power si Ukraine, USA wala ushirika wa NATO wanaweza kuifanya lolote Urusi wala wasijidaganye na ndoto zao za mchana, juzi juzi hapa tulishuhudia kilivho wapata wslipo jitia kufanya a massive counter offensive ya kijitia kukomboa majimbo yaliyo twaliwa na Urusi - walipewa cha mtema kuni na aibu tupu.
Jamaa ana uchungu kweli [emoji2]Ngoja kidogo Russia aendelee kunyooshwa. Mizoga yao ipo kustawisha ngano huko Ukraine wewe unaleta habari za eti hawezi kumfanya chochote?
Hala huo uandishi wako unaonyesha unaandika huku unatetemeka na kulia kwa wakati mmoja. Nyamaza usilie.
Kwani Kuna mtu aliwakataza urusi kukodi Vagner?Urusi yaanza tena kukodisha Wagner mercenaries baada ya kupungukiwa Askari.Wagner nao hawakomi tu pamoja na kuuwawa kote 🤔
...
Kila siku SK inafanya mazoezi na mahusiano ya kijeshi na USA Dunia kimya,ila Noko ikifanya mazoezi na mahusiano ya kijeshi na RF Dunia nzima kelele.🇷🇺🤝🇰🇵 = 🇰🇷🇯🇵😭 North Korea's neighbors are concerned about the meeting between Putin and Kim Jong-un in the Russian Federation, CNN reports.
South Korean Unification Minister Kim Yun-ho said the two countries appeared to be making "some kind of military deal."
He mentioned Shoigu's recent visit to Pyongyang, Kim Jong Un's visits to North Korean munitions factories, his visit to Russia with top military officials and Moscow's offer to support North Korea's satellite development.
“I cannot help but feel deeply concerned about the military cooperation and arms deal,” Kim Yun Ho said.
He called on Pyongyang and Moscow to stop “illegal actions” that would lead the two countries to “self-isolation and regression” and to comply with international norms.
Warned that North Korea would face a “stronger response” from South Korea, the United States and Japan “the more it clings to its nuclear developments.”
The country's Defense Ministry spokesman Chung Ha-kyu said that they are "closely monitoring" rumors about possible military exercises between North Korea and the Russian Federation in the future.
Japan also spoke out:
Tokyo says that any arms deal between North Korea and Russia could violate UN Security Council resolutions.
Tokyo is “closely monitoring the situation with concern”, fearing the supply of North Korean weapons to the Russian Federation, Foreign Minister Yoko Kamikawa said at a press conference.
At the same time, the head of the Main Intelligence Directorate Budanov claims that the Russian Federation has been receiving shells and missiles from North Korea for a month and a half.
🐻 Surprise, surprise the U.S. slaves are yapping…
Mchina sasa hivi ameshaanza kuhamisha vipaombele, mwelekeo wa uchumi wake umeshakamata mkondo wa kuporomoka, na muda si mrefu hata huyo Russia watazinguana, maana atataka amvune kiboya kama Afrika. BRICS inaenda kujifia kabla ya kuanza.Jamaa ana uchungu kweli [emoji2]
Na ukiangalia eneo la luhansik na Donetsk lilivyo kubwa,bado unaona kabisa kwamba fimbo zipo za kutosha za kuendelea kumnyoosha huyu super pawer bado zipo.
Hii vita bado ipo sana, urusi inabid ajisogeze pia kwa mchina maana north Korea haitatosha kwa vita iliyoko mbele!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nani kawambieni kampun ya wagner haupo tena ie umekufa - what a wishful thinking - wapo sana hata kama wamempotea jemedari wao - wapo wasaidizi wake wenye uwezo na akili hata za kumzidi yeye - wata endelea kuwayosha mabeberu ndani ya bara la Africa, Mashariki ya kati na mbali - mataifa mengi ambayo yaliwahi kunyanyaswa na mabeberu hapa zamani na hivi sasa kwa ku- plunder vast natural resources zao na kutajirisha Ulaya na Merikani mwisho wao unakaribia- Wagner Group ndio watakuwa kibiko yao.Putin baada ya Wagner kushindwa vita Ukraine sasa anawapeleka macho kuvimba, vijana wa mapanki frontline;Je,watavumilia mziki wa askari wazalendo na shupavu wa Ukraine?🤔
Lini mtajifunza kuwa serious kwenye masuala ambayo ni serious kama vita - majibu yako hapo yana kupa picha gani?? Childish mentality.Ngoja kidogo Russia aendelee kunyooshwa. Mizoga yao ipo kustawisha ngano huko Ukraine wewe unaleta habari za eti hawezi kumfanya chochote?
Halafu huo uandishi wako unaonyesha unaandika huku unatetemeka na kulia kwa wakati mmoja. Nyamaza usilie.
Acha utoto wewe, unaongeaongea tu kama vile umebeba makopokopo.Nani kawambieni kampun ya wagner haupo tena ie umekufa - what a wishful thinking - wapo sana hata kama wamempotea jemedari wao - wapo wasaidizi wake wenye uwezo na akili hata za kumzidi yeye - wata endelea kuwayosha mabeberu ndani ya bara la Africa, Mashariki ya kati na mbali - mataifa mengi ambayo yaliwahi kunyanyaswa na mabeberu hapa zamani na hivi sasa kwa ku- plunder vast natural resources zao na kutajirisha Ulaya na Merikani mwisho wao unakaribia- Wagner Group ndio watakuwa kibiko yao.
Lini mtajifunza kuwa serious kwenye masuala ambayo ni serious kama vita - majibu yako hapo yana kupa picha gani?? Childish mentality.
Haya mafunzo yameeleweka vizuri sana na matunda yanaonekana.Kwa miezi 6 Makomandoo wa Uingereza wamekuwa wakiwapa mafunzo Makomandoo wa ukraine namna ya kufanya mashambulizi ya kikomandoo majini [emoji848]
.....
British commandos have trained hundreds of Ukrainian marines in the 'art' of amphibious raids
For six months, British Royal Marines have been training hundreds of Ukrainian marines in the art of conducting commando raids and complicated amphibious operationsafrica.businessinsider.com
Baada ya HIMARS kumnyoa vya kutosha na yeye anataka awe na za kwake. Ampigie magoti US, anaweza mpa za misaada pia.North Korea may supply Russia with the latest KN-09 multiple launch rocket systems reference to British intelligence data. Russia may receive shells and new KN-09 multiple launch rocket systems from North Korea (similar to HIMARS, only better). In addition, the issue of ballistic missile supplies is being discussed. The North Korean MLRS KN-09 can also be called an analogue of our Tornado-S MLRS. The same projectile caliber – 300 mm. Maximum range 220 km. British intelligence believes that the issue of their supplies to the Russian Federation has already been resolved.
What reality are you talking about you dammed silly fool????Acha utoto wewe, unaongeaongea tu kama vile umebeba makopokopo.
Grow up and face the reality.
Hebu tulia kwanza, keti kitako, vuta ugoro then sokota gozo halafu ndiyo tujadiliane vizuri wakati akili yako ikiwa ime relax.What reality are you talking about you dammed silly fool????
Oshutame otekanile enaku zona.., urusi yatugoile, talio ekyo tukyayongelao!What reality are you talking about you dammed silly fool????
Labda hapo atakuelewa😀Oshutame otekanile enaku zona.., urusi yatugoile, talio ekyo tukyayongelao!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app