lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Aaaah ha hahaa aha haha a haaa haaaa,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukisikia Dharau ndio Hii
China Bwana Aliteka Ndege Vita Ya Marekani Ambayo Inasifiwa Yakisasa na Bora Sana F-35
China wameamua Kuirudisha kwa Marekani Huku wakisema Haina Jipya
yaani walijua Inakitu cha Maana Kwao Walipo Ikagua wakakuta Ni Ndege yakawaida sana na Haina Lolote View attachment 2759441
LoL !VIDEO
Vikosi Vya Ukrein Vyapokea Kipigo Kikali sana
waliachwa Waingie Kuteka Kijiji Kisha Kuzingirwa Na Kufyekwa Wote
View attachment 2759432
Sema polepole mwamba,pro USA wasisikie,habari hii sio nzuri kwao.Marekan Imeweka Rekodi Kubwa yakunua Mbolea Ya Urusi mwaka Huu
Yaani Tulidanganywa Sana Kuhusu Urusi
URUSI NI TEGEMEO LA DUNIA
US buying record amount of Russian fertilizers – official figures
Moscow has been Washington’s second largest supplier so far this year
😂😂😂 wachina ni noma, hii ndege imesakwa sana bila kujua ilipotea je. Walitangaza Hadi zawadi Kwa atakae Iona. Rubani aliokotwa akiwa hoi hajielewiUkisikia Dharau ndio Hii
China Bwana Aliteka Ndege Vita Ya Marekani Ambayo Inasifiwa Yakisasa na Bora Sana F-35
China wameamua Kuirudisha kwa Marekani Huku wakisema Haina Jipya
yaani walijua Inakitu cha Maana Kwao Walipo Ikagua wakakuta Ni Ndege yakawaida sana na Haina Lolote View attachment 2759441
"Kidadadeki"😁Mmesikia Hotuba Ya Lavrov Huko UN
Yaani Hotuba Kutoka Serilali ya Urusi moja yavitu Alivyo Zungumzia ni Kuwa
West wamekuwa Hawataki Kwenda na Ukweli Kuhusu Vita Ya Ukrein na Wao Kuamua Suluhisho liwe Uwanja wa Vita Sasa Urusi Inasema Wacha iwe hivyo Amewaalika Wakutane Uwanja wa Vita na Kwasasa Urusi ipo Tayari kwa Hilo
Mmesikia Hotuba Ya Lavrov Huko UN
Yaani Hotuba Kutoka Serilali ya Urusi moja yavitu Alivyo Zungumzia ni Kuwa
West wamekuwa Hawataki Kwenda na Ukweli Kuhusu Vita Ya Ukrein na Wao Kuamua Suluhisho liwe Uwanja wa Vita Sasa Urusi Inasema Wacha iwe hivyo Amewaalika Wakutane Uwanja wa Vita na Kwasasa Urusi ipo Tayari kwa Hilo
Unaeza kuwa na link?Mmesikia Hotuba Ya Lavrov Huko UN
Yaani Hotuba Kutoka Serilali ya Urusi moja yavitu Alivyo Zungumzia ni Kuwa
West wamekuwa Hawataki Kwenda na Ukweli Kuhusu Vita Ya Ukrein na Wao Kuamua Suluhisho liwe Uwanja wa Vita Sasa Urusi Inasema Wacha iwe hivyo Amewaalika Wakutane Uwanja wa Vita na Kwasasa Urusi ipo Tayari kwa Hilo
Mungu hahusiki na unyama wa Putin huko Ukraine.Wanaosapoti Ukraine mpo upande wa shetani.mnaona wenyewe wanavyowekana kwenye uongozi huku kina zelisky akifunga makanisa.tunaosapoti urusi tupo upande wa Mungu.View attachment 2759696
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app