President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
View attachment 2762871
☄️☄️☄️☝️Commander of the Black Sea Fleet Viktor Sokolov, “buried” by coats of arms, attends a meeting of the board of the Russian Ministry of Defense☄️☄️☄️
Dah!😥View attachment 2762864
💬Dmitry Medvedev: "1. Fraternizing between the Nazis and Canadian animals led by Prime Minister Trudeau in his parliament.
2. Deliveries of Abrams tanks from the NATO arsenals.
3. Promises to supply longer-range Army Tactical Missile System missiles to the Kiev authorities.
It seems that Russia is being left with less and less choice other than a direct conflict with NATO on the ground, which has turned into an openly fascist bloc like the Hitler Axis, albeit of a larger size. We are ready, although the result will be achieved at much greater cost to humanity than in 1945..."
Kwamba Ukraine imepoteza watu zaidi ya 17000 na vifaa vya kijeshi 2700 ndani ya mwezi September TU.❗️Ukrainian forces have lost more than 17,000 people and over 2,700 pieces of equipment in September, Russian Defense Minister Sergey Shoigu said.
Among the losses were seven Bradley infantry vehicles, two Leopards, and one Challenger tank, Shoigu said.
Nimekwambia tena kasome Rules of engagement.Ukraine anaposhambuliwa hana haki ya kujilinda na kupiga pale panapohitajika?
Au hiyo rules of engagement inataka mshambuliwaji akae tu?
Labda nikulize je! Tarifa unazoleta ww unazitoa wapi kama siyo hao western Countries wanaopotosha Dunia Huku maelfu ya watu wa Ukraine kukosa makazi ndani ya Nchi yaoNi wazi umeshikiliwa akili maana kama mpaka sasa miaka miwili umeshupaza shingo licha ya aibu yote hii ambayo Urusi imepitia, yaani mumepofushwa na yale mafundisho yenu.
Urusi ilidhulumu ardhi ya Crimea, lakini haikuwahi kuvamia Kyiv au kufanya aina ya huu uvamizi ambao walithubutu kuiparamia Ukraine yote, ni dhahiri hawakushauriwa vizuri, waliishia kuangukia pua na maelfu ya wanajeshi wa Urusi kufa kama senene.
Na mpaka wanaendelea kuuawa huku wakiachia maeneo waliyokua wamenyakua, Urusi ilitumia mbinu za kijinga sana, sote tumeshuhudia humu, nimekua nikileta taarifa kila siku za wanavyopelekeshwa, hivyo wewe kuandika andika hizi insha zako hakubadilishi na bado naendelea kuwahabarisha.
Labda nikulize je! Tarifa unazoleta ww unazitoa wapi kama siyo hao western Countries wanaopotosha Dunia Huku maelfu ya watu wa Ukraine kukosa makazi ndani ya Nchi yao
Kingine unajua kwann Russia aliivamia Ukraine sababu n zipi Kama unalijua hilo basi huwez sema Kuwa Russia kaingia kijinga Ukraine ule ulikua mpango toka zamani na Russia ni most powerful Country kijeshi huyo Ukraine Cha utoto, na ulitambue hili Kuwa Russia saiv ananpambana na Western country zote ikiwemo hao mashoga NATO, emu wajaribu kujitenga kidogo tu uone kitakacho tokea Ukraine.
Mpaka Sasa tunavyo zungumza Ukraine silaha zake alizokua nazo makambi ya kijeshi mengi yamefutwa na kuondolewa silaha wanajeshi wao wameuawa mno acha ubishi Mkuu usishikwe akili
Habari mbaya kwa Pro UpendoRussia’s Black Sea Fleet Commander Admiral Viktor Nikolayevich Sokolov participates in a meeting of the board of the Russian Ministry of Defense after Ukrainian claims that he was killed.View attachment 2763076
Yeye Putin anadai hakukimbizwa Kyv bali aliambiwa aondoke na akatii 😀Mvamizi Urusi kaja alitumia mbinu za kizamani sana, foleni la msafara wa vifaru liliwa na wanajeshi wake wameuawa tena wengi mno, unavamia nchi yenye teknolojia za kisasa ukitumia mbinu za kizamani, Mrusi hatokaa asahau huu ujinga alioufanya.
Background: During a meeting with African leaders, Russian President Vladimir Putin has said that Ukraine's "neutral status" is of fundamental importance to Russia.
Kile kikao cha usuluhishi umekisahau?Yeye Putin anadai hakukimbizwa Kyv bali aliambiwa aondoke na akatii 😀
Mytake:Jinsi Andunje alivyo mbishi na kupenda kujimwambafai angekubali ushauri wa mtu huyu?Asitutanie atuambie ule msafara wa vifaru wa kilometa 64 uliishia wapi?Na kwanini mpaka leo Zennesky bado ni raisi wa Ukraine na kwanini mpaka leo Kyv bado hajaichukua na wakati Special Ops alituambia ilikuwa siku 3 tu?
Putin says Russia withdrew army from Kyiv because it was "asked"
UKRAINSKA PRAVDA — SATURDAY, 29 JULY 2023, 01:59
209136
VLADIMIR PUTIN. SCREENSHOT FROM A VIDEO ON ASTRA’S TELEGRAM CHANNEL
At a meeting with African leaders, Russian dictator Vladimir Putin has said that Russia withdrew its army from Kyiv last year because it was "asked to do so to create conditions" for signing a peace treaty.
Source: Putin quoted by Russian Telegram channels Astra and Sota
Quote: "Essentially, a draft of this [peace – ed.] agreement was agreed upon. But after the withdrawal of our troops from near Kyiv, which we were asked to do to create conditions for the conclusion of the final agreement, the Kyiv authorities rejected all previous agreements."
Details: The Sota Telegram channel pointed out that the fragment with Putin's statements about the withdrawal of Russian troops from Kyiv had disappeared from the Kremlin's Telegram channel, although it was originally present in the video, and is not currently available in the textual transcript on the Kremlin's website.
In July 2022, Putin already claimed that the Russians withdrew from the Ukrainian capital "to create conditions for negotiations".
Background: During a meeting with African leaders, Russian President Vladimir Putin has said that Ukraine's "neutral status" is of fundamental importance to Russia.
Ukrainska Pravda is the place where you will find the most up-to-date information about everything related to the war in Ukraine. Follow us on Twitter, support us, or become our patron!
ADVERTISEMENT:
Putin says Russia withdrew army from Kyiv because it was “asked”.
Kila siku nasema Ukraine ni wapotoshaji wanajaribu kuidanganya Dunia iamini kuwa yeye n mshindi kumbe hamna kitu kabisa na wajinga tu wanaweza kukubali Kuwa Ukraine hii vita anashinda.
Juzi Ukraine walitoa tarifa Kuwa kamanda wa Urusi wa Bahari Nyeusi Kuwa amekufa kumbe Uongo Sasa Leo kaonekana live kule Russia ndugu yangu MK254 acha kumezeshaa na Western country Wana maneno mengi kuipotosha Dunia ila ukweli unaonekana.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi, imetoa video inayomuonyesha Kamanda wa Meli ya Bahari Nyeusi Admiral Viktor Sokolo, kwenye mkutano, licha ya Ukraine kudai kumuua.
Haijulikani ni lini video hiyo ilirekodiwa, ambayo Viktor Sokolov alionekana kwenye video na waziri wa ulinzi.
Wizara ilisema mkutano na maafisa wakuu ulifanyika Jumanne.