Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,521
- 3,782
Ndivyo mlivyokaririshwa?? Mbona kwenye vita ya Ukraine wanaonekana mambo mengi sana hawayajuiHivi unailewa CIA wewe.Wana agents in all countries of the World!Serikalini,
kwenye vyama vya siasa,wafanyi biashara,vyombo vya habari,NGOs nk.nk..Na nia zao ni kama tatu au nne hivi:-
1.State capture
2.As a means of soft Power
3.Tool for causing chaos and if necessary war
4.Tool for moral,cultural,political and religious re-orientation.
FunAchana na Story za Vijiwe vya Bangi
Mrusi watamuwezaNdivyo mlivyokaririshwa?? Mbona kwenye vita ya Ukraine wanaonekana mambo mengi sana hawayajui
Msimu wa baridi mwaka jana haukuwepo?Pia Putin na Russia wasubiria msimu wa baridi upige hodi huko Ulaya Mashariki ndo waanze kumalizia kazi.
Pia msimu wa baridi utaleta zahama kubwa majumbani pale gesi itapohitajika kuleta joto majumbani.
Sawa,kaeni na ujinga wenu.Vijiwe vya bangi hawa-wezi kujua vitu nyeti namna hiyo!Mambo haya ni ya wajanza tu.Achana na Story za Vijiwe vya Bangi
🤣🤣🤣❗️Swedish FM could not participate in the foreign ministers’ meeting in Kiev because he forgot his passport.
Subscribe to RT