Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nnavyomjua dogo kiduku wa NK hii habari ya BURERVESTINIC ameshaipata na ameshavurugwa sidhani kama mwaka utaisha hajaenda tena Moscow.Yaani habari za 🚀 na Nukes zinamtia sana mzuka
🤣😂😂😂🤣🤣 Aaaah ha hahahaa.
Kwamba mwamba ameingiwa na tamaa ya kumiliki mdude kama wa Vladimir.
Aah ha haaa.
Aisee watu mna mawazo makali sana.
Trump alizoea kumwita Rocket man.
 
 
Dunia uliibadilisha wewe? Zaidi ya miaka 60 nchi za Africa bado zinapambana na malaria na kipindu pindu na ulivyo kimeo unasema dunia imebadilika?
 
Eneo walilochukua hamas ndani ya siku moja ni kubwa zaidi kuliko eneo walilochukua Ukraine ndani ya miezi minne ya kaunta offensive
RIGHT NOW: Iran’s parliament is chanting “Death to Israel! Death to America!” as their terror cells massacre Israeli women and children This is the regime that JOE BIDEN just gave $6BILLION & a pathway to nuclear weapons too.
 
Mchawi lugha
 
Kwa kilichotokea leo jeshi la Israel limedhalilika pakubwa sana aisee.Ebu fikilia hao ni Wanamgambo wa Hamas na mashine gun tu je ingekuwa Wagner mixer vifaru na air defence.Story za Hollywood zimeharibu sana vichwa vya watu. Nasimama na palestina maana Israel imeamua kuitumikia Marekani Sasa wamechagua kipigo.
 
Mtanange wa sasa unafanyika ndani ya Israel na wazir wa ulinzi alishatangaza hali ya hatar ndan ya masaa48 ili kujipa muda wa usafishaj

Na km ndan ya muda huo usafishaj usipoleta tija na ukizingatia uharibifu unazid kuongezeka bila shaka makubaliano ya aman yatafikiwa lkn km usafishaj utaleta tija inamaana ukanda wa Gaza utapata uharibifu na mbinyo mkubwa zaid ya ule wa mwanzo
 
Kuna kitu ambacho nilikuwa sikielewi.wakati west wanazidi kusogea kwenye nchi zinazopakana na urusi kwanini urusi haifanyi chochote kuikaribia marekani na washirika wake???

Nimekuja kupata majibu kwenye hili kombola yaani kutokana na uwezo wa kombola hili urusi haiitaji nchi yeyote iliyo jirani na marekani Bali anaweza kulirusha kombola hilo hadi usawa wa marekani kwenye anga la kimataifa, halafu likawa linazunguka hapo juu ya marekani Kwa miaka na miaka likidubiri amri ya wapi likapige, na Kwa namna moja ama nyingine anakuwa kaepusha malumbano yasiyo ya lazima na mataifa rafiki waliopakana na USA

BRAVO URUSI
 
Ukitazama Kwa hicho la tatu hivi vikundi vya kipalestina ni kama wanafanya kazi na marekani na Israel Kwa namna moja au nyingine nasema hivi Kwa sababu,

Ukifatilia Kwa umakini toka mwaka 1947 taifa la Israel linaundwa limekuwa linaongeza maeneo ya mipaka yake ya nchi kila siku, lakini ukiangalia njia ambayo anaongeza maeneo ni Ile Ile, (tofauti ni Ile tu vita ya mwaka 1967 ambayo waarabu waliungana) yaani kuna kikundi cha kipalestina kinaanza kushambulia Israel halafu muisrael anajibu Kwa kipigo kikali na kuua raia wengi na kuchukua maeneo mapya Kwa lengo kama kuweka buffer zone lakini mwisho wa siku Israel analifanya ni ardhi yake,
Sasa huwenda marekani na Israel wanataka kumega eneo jingine ndani ya Palestina sasa wanatafuta sababu ya kuchukua eneo hilo,
Nasema hivi sababu sioni mafanikio watakayoyapata Palestina baada ya kushambulia Israel Jana, matokeo yake yatakuja kutokea mauaji makubwa Kwa Palestinian na sidhani kama wanaweza kuwazuia waisrael kwenye battlefield, labda kama wanasapoti ya waarabu lakini kinyume na hapo naona kuna damu nyingi za wapalestina zinaenda kumwagika Kwa kisingizio cha Israel inajibu mapigo au inajilinda,

Kitu pekee ninachojiuliza kama hiki kikundi kinajua nini kitafata Kwa kuishambulia Israel kwanini wanaanzisha ugomvi ambao wanajua kabisa watashindwa????

Hapa ndipo napata hisia kuwa kwenye vikundi vya wanamgambi wa kiPalestina kuna mamluki wa Israel na marekani,

Labda kuna kitu sikielewi naomba mnifahamishe
 
Vikosi vya Ukraine vyaharabu vifaru 6
Vikosi gani hivyo wakati tuna taarifa hizi?
====
According to a Chinese newspaper, the Ukrainian Armed Forces (UAF) are grappling with a surge in desertions caused by increasing casualties and mental exhaustion among soldiers.

The news outlet cited “emerging reports of ever-increasing stress and mental health issues, with soldiers reluctant to take to the battlefield as they feel they do not have enough time to recover from their traumatic experiences.”
The newspaper added that “numerous” UAF servicemen “have gone the entire year with only a handful of days spent at home, with many being thrust back onto the front line, leading to a spike in suicides.”

 
Naunga mkono hoja
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1696760151628.jpg
    74.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…