passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
NonsenseJoe Biden anajua sn kusukuma kete ya Chess board! Yaani anasukuma taratibu huku anagonga Blue label taratibu.
Sasa ktk haya majira ya baridi na masika Russia atakimbia ktk ardhi ya Ukraine. Ukraine watakua na F16, watakua na long ranges kibao kutoka US, France na Germany na Storm Shadow ambazo tayari ziko ktk uwanja wa mapambano
Russia Kwa sasa hawezi kupeleka mifumo yake ya ulinzi wa anga ktk ardhi ya Ukraine yaani taratibu wanafukuzwa na taratibu Crimea inakua ktk hatari ya kushambuliwa
Tatizo wanapigana na mtu aliyewashinda kila kituUmeona kazi ya ATACMS pale Berdyanks airfield? Superpower uchwara kapoteza helicopters nane hizo ni visually confirmed, pamoja na zana nyingine.
Kazi ya HIMARS ilikuwa ya maumivu, sasa zimeanza ATACMS mtalia na kusaga meno.
Superpower gani anapoteza helicopter nane kwa pamoja zikiwa zimelala tu uwanjani, si mna S-400, S-300, Pantsir, TOR na EW systems. Au ni dhaifuView attachment 2784687
Yaani mpk mwakani mtasikia milio mingine.Nonsense
Wamerudisha eneo kiasi ganiYaani mpk mwakani mtasikia milio mingine.
Sasaivi anga la Ukraine Kwa kiasi kikubwa liko vzr Russia anafanya mashambulizi Kwa kutokea mbali kabisa ata ndege za Russia haziwezi kuzurura hovyo ktk anga la Ukraine.
Hakuna Cha Iskandar Wala Cha Kinza yaani Wala takataka ya S400 na 500
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mpk mwakani mtasikia milio mingine.
Sasaivi anga la Ukraine Kwa kiasi kikubwa liko vzr Russia anafanya mashambulizi Kwa kutokea mbali kabisa ata ndege za Russia haziwezi kuzurura hovyo ktk anga la Ukraine.
Hakuna Cha Iskandar Wala Cha Kinza yaani Wala takataka ya S400 na 500
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaelewa unschoandika?!Yaani mpk mwakani mtasikia milio mingine.
Sasaivi anga la Ukraine Kwa kiasi kikubwa liko vzr Russia anafanya mashambulizi Kwa kutokea mbali kabisa ata ndege za Russia haziwezi kuzurura hovyo ktk anga la Ukraine.
Hakuna Cha Iskandar Wala Cha Kinza yaani Wala takataka ya S400 na 500
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji35]Hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2782566
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimeisikiliza kwa umakini sana. Hizo ni moja ya propaganda za kusifia mauaji ya wazayuni.Umesikiliza vizuri kweli, mkuu?
Soma kuhusu:Umesikiliza vizuri kweli, mkuu?
Basi ni wazi hujui tofauti kati ya historical fact na propaganda.Nimeisikiliza kwa umakini sana. Hizo ni moja ya propaganda za kusifia mauaji ya wazayuni.
Palestina haijawahi kuwa nchi katika maana ya sasa kama ilivyo Israeli. (YOU MAY LISTEN AGAIN TO THE FACTS PRESENTED!)Palestine ndiyo ilikuwa nchi kabla ya Israel.
Really? Haiwezekani? Where should they have gone? Or, stay there while they watch their avowed enemies slaughter them mercilessly?Haiwezekani Wayahudi wachinjwe Ulaya halafu uje uwatafutie eneo Palestine.
So what? Stack them in Poland and Germany, right? I hope you're thinking!Germans and Polish are responsible for the Killing of Jews not Palestine.
Sijataka haya maneno yako...nimeomba unitumie hayo makabrasha na Mimi nipitie then tujenge hoja...au kiswahili nacho kigumu kulielewa mkuuSilaha za nyuklia hazitumiki kiholela. Lakini nchi yoyote yenye silaha za nyuklia haiwezi kusita kuzitumia pale inapotishiwa uwepo wake. Ndiyo maana nikakuambia yale siyo mapambo. Misri ikiivamia Israeli na Israeli ikiona uwepo wake upo mashakani lazima itatumia mabomu ya Nyuklia. Lakini Israeli haiwezi kutumia silaha za Nyuklia kwa Hamas. Pia Kuna strategic na tactical nuclear weapons. Hizo tactical zinatumika kama convetional weapons ila moto wake ndiyo balaa. startegic ndiyo hizo za kuangamiza miji mizima mizima. Kwa hiyo Misri haiwezi kushambulia Israeli yenye Nuclear kwa sababu hizo. Maana hata kama israeli haitatumia strategic nuclear wepaons, na kutumia tactical, moto wake ni mkubwa mno.
Sababu hizi hizo ndizo zinafanya Urusi isitumie Nuclear dhidi ya Ukraine, Ukraine haitishii uwepo wake. Hizi ni silaha zinazotumika nchi kiona uwepo wake upo hatarini. Lakini zinatumika, siyo mapambo.
Makabrasha yanauzwa, nenda kanunue.Sijataka haya maneno yako...nimeomba unitumie hayo makabrasha na Mimi nipitie then tujenge hoja...au kiswahili nacho kigumu kulielewa mkuu
Basi tuishie hapa🤠🤠🤠...kumbe naongea na mpiga sogaMakabrasha yanauzwa, nenda kanunue.
Mmerudi?Umeona kazi ya ATACMS pale Berdyanks airfield? Superpower uchwara kapoteza helicopters nane hizo ni visually confirmed, pamoja na zana nyingine.