Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Collabo ya Hamas na Israel ndio ina hit kwa sasa na kwa muda mfupi tayari inaongoza kwa viewers wengi zaidi. Watu wengi wameacha kufuatilia hip hop ya Ukraine.
Sisi wengine hatupendi mauaji.
Vita zote ni mauaji.

Huo ni mgogoro mpya ndio hulka ya binadamu kufuatilia mgogoro mpya.
Watu wanafatilia migogogoro Kila mtu Kwa sababu au malengo yake,Kuna wanafurahia damu kumwagika (mimi simo),
Kuna wanaoumia damu kumwagika (mfano Mimi).
Kuna wanaofurahia waisrael kuuliwa,(mimi simo),
Kuna wanaofurahia wapalestina kuuliwa,(mimi simo).
Vivyo hivyo kwa Ukraine na Urusi ndio msimamo wangu.

Hata hivyo migogoro hii miwili haifanani hata kidogo.
Tofauti ni:

Israel ikiungwa mkono na USA inapigana na kikundi Cha Hamas,
Hakuna taifa au nchi inayoitwa hamasi.
Wakati Urusi inaipiga Ukraine inayosaidiwa na NATO.

Urusi imefanikiwa kuwakomboa watu wa Donbass kutoka makucha ya Ukraine, wakati Hamas inahangaika kutaka kuwakomboa watu wa Palestine ilibnao wawe na nchi yao kwa uchache ni hizo ndio tofauti za migogoro hii miwili
 
Hii nimeisikiliza but hii ni propaganda imetengenezwa kwa ustadi sana.
Kwanini uitambue Israel kwenye UN usiitambue Palestine?

Kama wanataka two nations they need to register Palestine in UN
Nchi za kiarabu kiufupi hazitambui hilo azimio wala hawatambui Israel, wao msimamo wao ni mmoja tu, wanataka Palestina moja bila Israel
 
Ni mia nane walichinjwa Jana 🥱🥱🥱🥱
1697543363079.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mzee Putin angechutama tu, hii fedheha aliyoipata imempora hata ushawishi mkubwa kimataifa aliokuwa nao kabla ya Vita.
Mkuu huo ni mtazamo wako tu lakini kiuhalisia ni tofauti.

Vita ya Ukraine imewafumbua macho watu wengi na kujikuta wanatambua mengine yaliyo kuwa yameficha.

(1) kwanza watu wengi wamejua ya kuwa mataifa ya Magharibi yameshapoteza udhibiti wa kiuchumi duniani hasa baada ya kushindwa kuusambaratisha uchumi wa Urusi.

(2) pia ime isaidia Urusi kutafuta washirika wengine wa kibiashara hivyo kujikuta ana jitoa kwenye makucha ya nchi za Magharibi kiuchumi , kwa hiyo siku za usoni hata ile hofu aliyo kuwa nayo dhidi ya nchi za Magharibi inaenda kuisha hivyo kufanya chochote anacho taka,kwa sababu mara nyingi Urusi ilikuwa na hofu juu ya wamagharibi kwa sababu ya kuhofia uchumi wake lakini sasa tiyari ishajua kuwa kumbe uchumi wake unaweza kuendelea bila ya wagharibi.

(3) vita ya Ukraine imetusaidia kujua ya kuwa silaha za kimagharibi sio bora pamoja na kuwa ni za gharama kubwa kwa sababu kipindi cha mwanzo wa vita kipindi jeshi la Ukraine linatumia silaha za kirusi lilionekana kuwa na pafomans nzuri ,lakini jeshi hilo tangu lianze kutumia silaha za kimagharibi limekuwa na pafomans mbovu kabisa kwenye uwanja wa vita na Offensive inayo endelea ni ushahidi tosha kabisa sina haja ya kuelezea.

(5)Pia ilitufanya tukajua nguvu na umuhimu wa Urusi ndani ya dunia hii hasa baada ya dunia kuingia kwenye mtikisiko wa kiuchumi kwa sababu ya yy kuingia vitani.

(6)kumbuka Urusi ndo sababu ya Ufaransa kufurushwa Africa Magharibi na kwa sasa nchi hizo ziko chini ya ushawishi wa Urusi kitu ambacho kilikuwa hakifikiliwi kabla ya vita.

Hayo nimeeleza kwa ufupi tu, kuhusu yanayo endelea kwenye uwanja wa vita bila shaka umeuona ugumu wa vita kupitia Hamas na Israel.

Mlikuwa mnaiponda Urusi ya kuwa hajui kupigana badala yake anaharibu majengo lakini cha kushangaza Israel mpaka sasa hajatuonesha huo utaalamu wa kupigana bila kuvunja majengo zaidi ya kuuwa watu hovyo.

Mlikuwa mna taka Urusi aiteke Ukraine ndani ya siku 3 lakini leo ni siku ya 10 ya vita Israel bado inajishauri iwapo ipeleke au isipeleke wanajeshi ili kuidhibiti gaza ambayo haifiki hata robo ya Dar.

Vita sio lele mama.
 
hiyo ni nuclear energy bro, nashukuru umesema hujui science

hiyo huenda kwa half life reaction, inayochukua muda kulingana na,kiwango cha hiyo enriched uranium
Japo si mtaalamu wa haya Mambo, lakini najua kombora Ili liweze kuruka na kukaa hewani,ni lazima linaotaji chaji au mafta,l
Kama gari lisivyoweza kuwaka bila mafta

Sasa sijui Hilo kombora linakuwa limewekewa mafta hambayo hayataisha milele?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kambi ya Urusi iliyopo Berdyansk imepata uharibifu mkubwa baada ya kushambuliwa Kwa makombora ya ATACMS.
Taarifa za awali zinasema helicopter 9 na miundombinu mingine ya kijeshi imeharibiwa.

Jarida la Washington Post Journal limeeleza kwamba Marekani ilipeleka makombora hayo kwa Siri.
 
Hii nimeisikiliza but hii ni propaganda imetengenezwa kwa ustadi sana.
Kwanini uitambue Israel kwenye UN usiitambue Palestine?

Kama wanataka two nations they need to register Palestine in UN
Umesikiliza vizuri kweli, mkuu?
 
Hatimaye kp kipanya44 akiri kwamba Marekani na washirika wake ni bonge la wanafiki.

Napendekeza jina la huyu mkuu lipendekezwe apokee tuzo ya Amani ya Nobel -- apelekwe pale Kyiv akamshauri Zelensky akubali kukaa meza moja ya mazungumzo na Putin ili wayamalize, watu wasio na hatia wasiendelee kufa.

Hongera sana kp kipanya44 kwa kuhamia rasmi Team Putin.

Mazungumzo yetu ya almost 4 hours yamekuwa na matunda mazuri.

Ushahidi huu hapa kutoka PM zetu 🙂 👇
 

Attachments

  • 20231017_175602.jpg
    20231017_175602.jpg
    102.3 KB · Views: 26
Ngoja nieke kituo ila [emoji776] avdiivka tunapita nayo hivi ndugu yangu T14 Armata kaunta offensive imeleta matunda gani huko mpaka sasa
Umeona kazi ya ATACMS pale Berdyanks airfield? Superpower uchwara kapoteza helicopters nane hizo ni visually confirmed, pamoja na zana nyingine.
Kazi ya HIMARS ilikuwa ya maumivu, sasa zimeanza ATACMS mtalia na kusaga meno.

Superpower gani anapoteza helicopter nane kwa pamoja zikiwa zimelala tu uwanjani, si mna S-400, S-300, Pantsir, TOR na EW systems. Au ni dhaifu
20231017_183514.jpg
 
Update;
Makombora (ATACMS) yaliyotumika yametengenezwa mwaka 1996 na 1997,Range 160km. Makombora haya yalishapita muda wake wa kutumika (expired) Marekani.

#Ukraine: Well, something extraordinary happened- the remains of M39 missiles (Made in 1996 and 1997) of the MGM-140A ATACMS Block I system used by Ukrainian forces against Berdyansk AB.

This variant has a range of ~165km, inertial guidance, and carries 950 M74 submunitions.

View: https://twitter.com/UAWeapons/status/1714286709654143332?t=QZyMbyEIbwmDUgUtdXZr_Q&s=19
 
Umeona kazi ya ATACMS pale Berdyanks airfield? Superpower uchwara kapoteza helicopters nane hizo ni visually confirmed, pamoja na zana nyingine.
Kazi ya HIMARS ilikuwa ya maumivu, sasa zimeanza ATACMS mtalia na kusaga meno.

Superpower gani anapoteza helicopter nane kwa pamoja zikiwa zimelala tu uwanjani, si mna S-400, S-300, Pantsir, TOR na EW systems. Au ni dhaifuView attachment 2784687
Joe Biden anajua sn kusukuma kete ya Chess board! Yaani anasukuma taratibu huku anagonga Blue label taratibu.


Sasa ktk haya majira ya baridi na masika Russia atakimbia ktk ardhi ya Ukraine. Ukraine watakua na F16, watakua na long ranges kibao kutoka US, France na Germany na Storm Shadow ambazo tayari ziko ktk uwanja wa mapambano

Russia Kwa sasa hawezi kupeleka mifumo yake ya ulinzi wa anga ktk ardhi ya Ukraine yaani taratibu wanafukuzwa na taratibu Crimea inakua ktk hatari ya kushambuliwa
 
Joe Biden anajua sn kusukuma kete ya Chess board! Yaani anasukuma taratibu huku anagonga Blue label taratibu.


Sasa ktk haya majira ya baridi na masika Russia atakimbia ktk ardhi ya Ukraine. Ukraine watakua na F16, watakua na long ranges kibao kutoka US, France na Germany na Storm Shadow ambazo tayari ziko ktk uwanja wa mapambano

Russia Kwa sasa hawezi kupeleka mifumo yake ya ulinzi wa anga ktk ardhi ya Ukraine yaani taratibu wanafukuzwa na taratibu Crimea inakua ktk hatari ya kushambuliwa
America means war
 
Back
Top Bottom