Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱
1697440884158.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa humu mbona kimya? au ndo mshahamia kwenye kichapo kipya cha Gaza?

Mi naona vita hii imechacha, cha msingi mzee mzima aachane nayo maana inamdhalilisha - leo ni siku ya 600 ila bado anahangaika.
Haijachacha, Vyombo vya habari vya West ndo vimefanikiwa kukuhamisha attention yako Gaza

Vimefanya hivyo baada ya kuonesha dalili ya kushindwa mazima katika vita ya Ukraine
 
Collabo ya Hamas na Israel ndio ina hit kwa sasa na kwa muda mfupi tayari inaongoza kwa viewers wengi zaidi. Watu wengi wameacha kufuatilia hip hop ya Ukraine.
 
Wazee wa humu mbona kimya? au ndo mshahamia kwenye kichapo kipya cha Gaza?

Mi naona vita hii imechacha, cha msingi mzee mzima aachane nayo maana inamdhalilisha - leo ni siku ya 600 ila bado anahangaika.
Mzee Putin angechutama tu, hii fedheha aliyoipata imempora hata ushawishi mkubwa kimataifa aliokuwa nao kabla ya Vita.
 
hv hii vita bado ipo au kila mtu karidhika na alichoshikilia kwa sasa, nahisi vita iko half time, waki refresh kidogo huku waki enjoy show mpya ya wana wa yakobo na wajukuu wa mja kazi RAHAB
 
[emoji722][emoji722][emoji722]In these minutes, a powerful shelling of enemy positions in Kupyansk and the region continues[emoji722][emoji722][emoji722]
Ngoja nieke kituo ila [emoji776] avdiivka tunapita nayo hivi ndugu yangu T14 Armata kaunta offensive imeleta matunda gani huko mpaka sasa
 
Mzee Putin angechutama tu, hii fedheha aliyoipata imempora hata ushawishi mkubwa kimataifa aliokuwa nao kabla ya Vita.
NATO wamevuliwa nguo vibaya sana na Putin.tena sio NATO TU,Bali west wote.
Maana hii inaitwa hybrid war.yaani vita ya moto na uchumi.
Hii imedunda pakubwa sana.
Yaani NATO wameshindwa kabisa kuingiza majeshi kama walivyokua wakifanya Kuwait, Afghanistan,Yugoslavia na Libya,wamebaki kutoa misaada ya silaha na kuingiza wanajeshi kwa vificho.
Putin kamega ardhi na anaendelea kumega.
NATO ni kikundi Cha wapigaji TU.
Putin ametuonesha rangi ya boxer zao .
 
Back
Top Bottom