Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

VIDEO
Baada Ya Ukrein kuishiwa Vijana na wanaume Kuwapeleka Vitani Ikabidi Waingie kwenye Zoezi la Kina Dada na wanawake
sasa Mwanajeshi wakike Kakutana Na Moto wa Urusi Analia Kama kondoo
anasema Kachoshwa na Vita Hataki Vita Wanakufa sana
ndani Ya masaa machache Wameuliwa Wanajeshi wengi
Anasema Wanakufa Sana sana
kashindwa Kupigana hataki

View attachment 2788182
Afrika kuna vijana wengi wanataka ajira za jeshi; walete mandenge yao waje wachukue vijana
 
Proxy War, abishae na aendelee na ubishi.
Marekani ndie kizuizi cha ukraine kufikia makubaliano na russia.

Hayo ndio maneno ya kiongozi wa zamani wa ujerumani

1697901655253.png
 
Joe Biden anajua sn kusukuma kete ya Chess board! Yaani anasukuma taratibu huku anagonga Blue label taratibu.


Sasa ktk haya majira ya baridi na masika Russia atakimbia ktk ardhi ya Ukraine. Ukraine watakua na F16, watakua na long ranges kibao kutoka US, France na Germany na Storm Shadow ambazo tayari ziko ktk uwanja wa mapambano

Russia Kwa sasa hawezi kupeleka mifumo yake ya ulinzi wa anga ktk ardhi ya Ukraine yaani taratibu wanafukuzwa na taratibu Crimea inakua ktk hatari ya kushambuliwa
Bwana Konte acha kutupanga, haiwezi kuwa kirahisi namna hii ulivoelezea
 
VIDEO
Baada Ya Ukrein kuishiwa Vijana na wanaume Kuwapeleka Vitani Ikabidi Waingie kwenye Zoezi la Kina Dada na wanawake
sasa Mwanajeshi wakike Kakutana Na Moto wa Urusi Analia Kama kondoo
anasema Kachoshwa na Vita Hataki Vita Wanakufa sana
ndani Ya masaa machache Wameuliwa Wanajeshi wengi
Anasema Wanakufa Sana sana
kashindwa Kupigana hataki

View attachment 2788182
Hii vita Ukraiine wangehirisha waweke recoding vizuri wajipange. Kama Russia hana mpanngo wa kuwua wote basi wataobaki hat wajukuu watakomboa nchi yao. Ukoloni una tabia ya kujisahau na kuwa weak.
 
Avdiivka coke plant

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Back
Top Bottom