takwimu zako huwa zinaishia na sifuri,etc 400,300,500,800,1010Pole sana mkuu, warusi wanaendelea kulambishwa mchanga kila uchao..,hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2803446
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani USA inapigana na Urusi?Sio rahisi.....
Ila maseneta wa republic huko US wakigoma kuipa Ukraine misaada huenda ikawa na athari kwenye Vita yake.
Ndio wenye kuamua hatma ya misaada ya US kwa Ukraine.Kwani USA inapigana na Urusi?
Masenata wa USA wanahusiana Nini na Ukraine?
Kwani USA inapigana na Urusi?
Masenata wa USA wanahusiana Nini na Ukraine?
Kwa hiyo umekubali Leo kua Urusi inapigana na nchi zaidi ya moja?Ndio wenye kuamua hatma ya misaada ya US kwa Ukraine.
Urusi anapigana na Ukraine pekee.Kwa hiyo umekubali Leo kua Urusi inapigana na nchi zaidi ya moja?
USA akiwa ni kinara wa nchi zinazopigana na Urusi?
Leo kajaa kwenye wavuKwa hiyo umekubali Leo kua Urusi inapigana na nchi zaidi ya moja?
USA akiwa ni kinara wa nchi zinazopigana na Urusi?
Yeap!Unamaanisha hao ambao hawajasain makubaliano ya kusitisha mapigano nao wapo kwenye stalemate mpaka leo???
Utata wa sisi na malaw kuhusu ziwa Nyasa nao unahusiana na hiyo stalemate???Yeap!
Na Moja ya nchi hizo kama sikosei ni japani na urusi.., urusi Kuna maeneo anayamiliki hambayo Japan anadai ni Mali yake,na Japan muda wowote anaweza kuliamsha!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Je unaweza kuilinganisha kile unachokiita misaada ya kijeshi anayoipata Urusi kutoka kwa hao uliowataja yaani Iran,south Afrika na china?Urusi anapigana na Ukraine pekee.
Isitoshe hata Urusi anapokea misaada toka Iran (shaheed drone, Risasi kutoka South Africa, military chips kutoka China n.k), kama vile Ukraine anavyopokea misaada kutoka US na nchi za Magharibi.
Ha ha haa.Leo kajaa kwenye wavu
Wewe nae unazingua na hizo mchawi lugha zako, usipoelewa manake haujaandikiwa wewe. Unapotea wiki kadhaa kwenye uzi unakuta page za kutosha unajua kuna madini kumbe watu wanafundishana lugha."Stalemate" maana yake nin???
Mkuu kama hautojali tuutumie huu uzi kupata taarifa za vita na sio kufundishana kingereeza.Unamaanisha hao ambao hawajasain makubaliano ya kusitisha mapigano nao wapo kwenye stalemate mpaka leo???
Umenasa kwenye mtego at lastUrusi anapigana na Ukraine pekee.
Isitoshe hata Urusi anapokea misaada toka Iran (shaheed drone, Risasi kutoka South Africa, military chips kutoka China n.k), kama vile Ukraine anavyopokea misaada kutoka US na nchi za Magharibi.
Pole sana mdauWewe nae unazingua na hizo mchawi lugha zako, usipoelewa manake haujaandikiwa wewe. Unapotea wiki kadhaa kwenye uzi unakuta page za kutosha unajua kuna madini kumbe watu wanafundishana lugha.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Unapaswa ujue ktk mijadala mikubwa lazima mijadala midogomidogo iibuke na km ulikuwepo tangu uzi unaanza sitolazimika kukupa mifano miiing kuhusu tuliyoyajadiliMkuu kama hautojali tuutumie huu uzi kupata taarifa za vita na sio kufundishana kingereeza.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
[emoji28]Pole sana mdau
Ktk medan za udiplomasia wa kimataifa hupaswi kuwa na jazba
Mchawi lugha tu
Mkwamo yaani mambo hayaendi"Stalemate" maana yake nin???
AsanteeeeeeMkwamo yaani mambo hayaendi