lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kwa hiyo Ukraine ni Jimbo la 51 la USA kiasi kwamba masenata wa USA ndio wanaoamua hatma ya vita baina ya Ukraine na Urusi?.Urusi anapigana na Ukraine pekee.
Isitoshe hata Urusi anapokea misaada toka Iran (shaheed drone, Risasi kutoka South Africa, military chips kutoka China n.k), kama vile Ukraine anavyopokea misaada kutoka US na nchi za Magharib
Je unazungumziaje michango mingine ya silaha kutoka nchi wanachama wa NATO kwenda kwa Ukraine?