Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zaidi ya elf walichinjwa Jana,duh 🥱🥱🥱🥱
1699514353492.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Marekani na Ulaya Ziko katika Mazungumzo na Ukreni kuhusu Uwezekano wa ^Makubaliano ya Amani^ na Urusi

Wakati Kiev ikiyumba kwenye harakati zake za mashambulizi-pinzani, uungwaji mkono wa kisiasa kwa ajili ya kuutegemeza utawala wa Volodymyr Zelensky unapungua polepole katika baadhi ya makundi ya kisiasa Marekani; wakati huo huo, vita vya Israeli dhidi ya Hamas vinachukua hatua kuu, vikizua uvumi kuhusu haraka kiasi gani uchovu wa Ukreni utashika kasi, na nini ambacho kinaweza kuwa matokeo yake.

Mazungumzo ya kimya kimya tayari yanaripotiwa kufanyika kati ya maafisa wa Marekani na Ulaya kwa upande mmoja, na serikali ya Ukreni kwa upande mwingine, kuhusu uwezekano wa mazungumzo ya amani na Urusi.

Majadiliano hayo yamegusia maafikiano ambayo pengine Ukreni ikahitaji kukubaliana nayo iwapo makubaliano yoyote hayana budi kuwezekana, kwa mujibu wa maafisa wakuu wa sasa na wa zamani wa Washington waliotajwa katika ripoti fulani ya Marekani.

Mkutano wa wawakilishi kutoka mataifa zaidi ya 50, wakiwemo wanachama wa NATO wanaounga mkono utawala wa Kiev, wajulikanao kama Kikundi Washirika wa Kuihami Ukreni, uliofanyika mwezi Oktoba, unadaiwa kwamba ndio ulitumika kama mahali pa baadhi ya mazungumzo haya ^makini,^ kulingana na ripoti hiyo.

^...Kuna hisia inayoshamiri kwamba mambo yamechelewa sana, na ni wakati wa kufanya makubaliano,^ afisa mkuu mmoja wa zamani wa Washington alinukuliwa akisema hivyo.

Kuhusu kwa nini mazungumzo haya yamekuwa yakishika kasi, vyanzo vya habari vya chombo hiki vilikiri kwamba yamechochewa na mienendo ya kijeshi kwenye uwanja wa vita, ambapo Ukreni inakabiliwa na mparaganyiko wa mashambulizi-pinzani, na hali ya kisiasa Marekani na Ulaya.

Mparaganyiko wa Mashambulizi-pinzani
Kwanza kabisa, kuna ongezeko la watu wanaokiri kwamba hakuna kiasi chochote cha msaada wa kijeshi kwa Ukreni ambao umesaidia juhudi zake za kupenya safu za ulinzi za Urusi. Hata jenerali mkuu wa Ukreni, Valery Zaluzhny, alikiri kwamba licha ya ^vitabu vya kiada^ na ^mahesabu ya NATO,^ Kiev ilihitaji kupiga hatua kubwa sana ya kiteknolojia ili kuvunja ^mkwamo^ wa sasa katika mashambulizi yake pinzani dhidi ya askari wa Urusi. ^Kuna uwezekano mkubwa zaidi kwamba hayatakuwepo mafanikio mazuri na ya kina,^ alisisitiza katika mahojiano na jarida la Economist la Uingereza.

Moscow, hata hivyo, kwa namna inayoeleweka haikuliafiki neno ^mkwamo,^ ikikataa kwamba haukuwepo mkwamo wowote kwenye uwanja wa vita, na kuthibitisha ukweli kwamba Urusi inaendelea kithabiti kufanya operesheni maalum za kijeshi ili kufikia malengo yake iliyojiwekea.

Ukreni ilipoteza wapambanaji zaidi ya 90,000 waliouawa na kujeruhiwa tangu kuanza kwa mashambulizi-pinzani kunako Juni 4, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergei Shoigu alisema Oktoba 30. Iliongezwa kwamba mashambulizi-pinzani ya Ukreni yalikuwa yameshindwa kupata mafanikio makubwa katika uwanja wa vita, huku wanajeshi wa Ukreni wakipoteza takriban vifaru 600 na magari ya kivita yapatayo 1,900. Jeshi la Urusi litaendelea ^kiutaratibu na kiujasiri^ kutekeleza majukumu waliyopewa katika eneo la operesheni maalum ya kijeshi, iliongeza wizara hiyo.

Uchovu wa Ukreni
Pia kuna ongezeko la mashaka kuhusu uwezo wa kuendelea kudumisha mtiririko wa msaada kwa Ukreni, maafisa wanaripotiwa kwamba walisema hivyo. Hivi karibuni tu, Baraza la Wawakilishi la Marekani lilipiga kura kuidhinisha mgao mkubwa wa msaada wa mabilioni ya dola kwa Israeli usiojumuisha mabilioni ya dola kama hayo ya ufadhili wa ziada kwa Kiev. Baada ya kutumia dola bilioni 43.9 kwa ajili ya msaada wa usalama wa Ukreni tangu Februari 2022, kwa mujibu wa Pentagon, utawala wa Biden inasemekana sasa una takriban dola bilioni 5 zilizosalia ili kupelekwa Kiev kabla ya pesa kuisha.

Hata hivyo, Idara ya Ulinzi ya Marekani ilitangaza mgao mpya wa msaada wa kijeshi wa dola milioni 300 kwa Ukreni siku ya Ijumaa pamoja na akiba ya dola milioni 125.

Mnamo Novemba 2, Bunge la Marekani liliidhinisha mgao wa msaada wa usalama wa dola bilioni 14.3 kwa Israeli sana sana kwa kuzingatia mirengo ya vyama, huku Seneti ya Marekani ikionesha tangu wakati huo kwamba itaainisha mgao wake wenyewe unaounganisha fedha kwa ajili ya Ukreni na Israeli.

Mswada huo unakabiliwa na mvutano mkubwa katika Seneti, na tishio la kura ya turufu kutoka Ikulu.

^Kuishiwa Nguvukazi^
Kadhalika, maafisa wa utawala wa Biden wanasemekana wana wasiwasi kwamba Vikosi vya Jeshi la Ukreni vinaishiwa nguvukazi. Ukreni imekuwa chini ya sheria ya kijeshi tangu Februari 24, 2022, huku Rais Volodymyr Zelensky akisaini amri ya uandikishaji wa wanajeshi katika nchi nzima. Huku wanaume wenye umri wa kati ya miaka 18 na 60 wakiwa wamekatazwa kuondoka nchini humo, waandikishwaji mara nyingi hupewa notisi katika maeneo mbalimbali ya umma, pamoja na mitaani, kwenye vituo vya mafuta, na mighahawani. Mara nyingi utumiaji wa nguvu unahitajika kutoka kwa vikosi vya usalama na wanajeshi waendeshao uvamizi kwa watu wanaotazamiwa kuandikishwa.

Hivi karibuni sana, yamekuwepo maandamano mengi katika miji ya Ukreni, huku watu wakidai kiwango cha juu cha miezi 18 kwenye utumishi wa sasa wa lazima jeshini usio na mipaka kwa waandikishwa. Vikosi vya jeshi la Ukreni vinavyopungua kwa kasi vimekuwa vikizidi kumtia wasiwasi Rais wa Marekani Joe Biden, wandani walikiambia chombo hiki cha habari.

^Nguvukazi ni kipaumbele cha wasiwasi wa utawala huu hivi sasa,^ chanzo kimoja kilinukuliwa kikisema, na kuongeza kuwa wakati ambapo msaada wa kijeshi unawasilishwa Ukreni, ^ikiwa hawana vikosi mahiri vya kuitumia, basi haitaweza kufanikisha kazi kubwa.^

Katika badiliko lingine lisilotarajiwa kwa utawala wa Zelensky, ongezeko kubwa la hivi karibuni la mzozo wa Palestina na Israeli kuanzia lile shambulio la kushtukiza lililoanzishwa na Hamas tarehe 7 Oktoba limefunika mgogoro wa Ukreni. Sambamba na uchovu wa Ukraine ambao umekua kwa kipindi kirefu, hii imezua hofu huko Washington kiasi kwamba kupata msaada wa ziada kwa ajili Kiev kunaweza kuwa changamoto zaidi.

Wakichambua mafanikio duni ya Ukreni kwenye uwanja wa vita, baadhi ya maafisa wa Marekani inaripotiwa walisema faraghani kwamba Kiev ina muda fulani hadi mwisho wa mwaka huu au zaidi kidogo kabla suala shinikizi la mazungumzo ya amani halijaanza. Maafisa wa Marekani wamedaiwa kufichua maoni yao juu ya ^muda^ huo kwa washirika wao wa Ulaya.

Kushindwa kupiga hatua kwa Ukreni kwenye uwanja wa vita kumesababisha pia kupungua kwa uungwaji mkono wa umma kwa ajili ya kupeleka misaada zaidi kwenye jengo hilo tupu, walisema maafisa hao. Kura ya maoni ya hivi karibuni kwenye taasisi ya Gallup ilidhihirisha kwamba asilimia 41 ya Wamarekani wanaamini kuwa nchi yao inafanya kupita kiasi katika kuisaidia Kiev -- kutoka asilimia 24 miezi mitatu tu iliyopita.

Hata hivyo, afisa mkuu wa utawala wa Marekani aliyenukuliwa katika ripoti hiyo alikanusha uvumi kwamba Washington ilikuwa ikijaribu kuishawishi Kiev kuelekea kwenye mazungumzo, akiongeza kwamba Waukreni, ^wako kwenye shinikizo kwa mantiki ya hali ya hewa, lakini hawako kwenye shinikizo kwa mantiki ya athari za siasa kijiografia.^

Marekani imeshiriki pamoja na Ukreni katika majadiliano ya muundo wake wa ^mkutano wa amani,^ afisa wa utawala wa Biden alitajwa kusema hayo akijibu ripoti hiyo, akiongeza kwamba Ikulu ^haijui mazungumzo yoyote na Ukreni kuhusu maafikiano kwa sasa.^

Kuhusu mazungumzo ya ^amani^ na Ukreni, Moscow imeonesha mara kwa mara kwamba iko tayari kwa maafikiano, lakini Kiev imepiga marufuku mazungumzo hayo katika ngazi ya bunge. Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov alisisitiza katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Septemba kwamba Moscow haingezingatia mapendekezo yoyote ya kusitisha mapigano, ^kwa sababu wakati fulani tulipozingatia hilo, Kiev ilitudanganya.^

Akizungumzia ^Kanuni ya Amani^ ya Rais wa Ukreni Volodymyr Zelensky yenye dondoo 10, Sergey Lavrov alibainisha kwamba si jambo lisilokuwa na chembe za uhalisia, ingawa nchi za Magharibi hulichukulia kama msingi pekee wa amani nchini Ukreni.

^Tunaongozwa na uhalisia mbaya, na huo ndio ambao Zelensky na kila mtu anayemwongoza kutoka Washington, London na Brussels wanasema kwa dhati kwa sauti moja, Hakuna msingi mwingine wa amani isipokuwa ile kanuni ya Zelensky.^
Nimeshiba pasipo Shaka.
Afya ya akiri imeimarika.
 
Yemen's Ansarullah said it shot down an American MQ9 drone over Yemen's territorial waters. Finally, countries are standing up for themselves. The US has no right to carry out hostile, surveillance and espionage activities over any sovereign nation's airspace.
 
Russian State Duma Deputy Pyotr Tolstoy: "The United States has already lost the conflict in Ukraine. And the question is how to get out of it. You can get out along the Dnieper, along the border with Poland. There are different ways and systems of exit. It all depends on how convincing Pentagon chief Lloyd Austin will be in Congress. This determines when they will be ready to start negotiations. I believe that negotiations can begin after we take Kiev."
View: https://t.me/vicktop55/18236
 
Russian State Duma Deputy Pyotr Tolstoy: "The United States has already lost the conflict in Ukraine. And the question is how to get out of it. You can get out along the Dnieper, along the border with Poland. There are different ways and systems of exit. It all depends on how convincing Pentagon chief Lloyd Austin will be in Congress. This determines when they will be ready to start negotiations. I believe that negotiations can begin after we take Kiev."
View: https://t.me/vicktop55/18236
 
Russian State Duma Deputy Pyotr Tolstoy: "The United States has already lost the conflict in Ukraine. And the question is how to get out of it. You can get out along the Dnieper, along the border with Poland. There are different ways and systems of exit. It all depends on how convincing Pentagon chief Lloyd Austin will be in Congress. This determines when they will be ready to start negotiations. I believe that negotiations can begin after we take Kiev."
View: https://t.me/vicktop55/18236
 
Russian State Duma Deputy Pyotr Tolstoy: "The United States has already lost the conflict in Ukraine. And the question is how to get out of it. You can get out along the Dnieper, along the border with Poland. There are different ways and systems of exit. It all depends on how convincing Pentagon chief Lloyd Austin will be in Congress. This determines when they will be ready to start negotiations. I believe that negotiations can begin after we take Kiev."
 
Russian State Duma Deputy Pyotr Tolstoy: "The United States has already lost the conflict in Ukraine. And the question is how to get out of it. You can get out along the Dnieper, along the border with Poland. There are different ways and systems of exit. It all depends on how convincing Pentagon chief Lloyd Austin will be in Congress. This determines when they will be ready to start negotiations. I believe that negotiations can begin after we take Kiev."
View: https://t.me/vicktop55/18236

rusia taifa teule
 
Map of how controlled territories have changed since January 1, 2023, published by New York Times

The territories that Ukraine was able to capture are highlighted in blue, and the territories that the Russian Army took control of are highlighted in red.

Over the 5 months of the counter-offensive, the Ukrainian Armed Forces occupied less territory than the Russian Armed Forces.

@Slavyangrad
IMG_20231110_083548_702.jpg


Hawa ukraine watatoboa kweli kwa mwendo huu?
Hapo wana miezi mitano ya kaunta offensive
 

Kuna watu Kila siku tunawaambia kua Urusi haiwezekani kwenye uwanja wa mapambano.​

Russia can’t be defeated on battlefield – Kremlin​

Presidential spokesperson Dmitry Peskov said officials in Kiev and Washington must face up to reality
Russia can’t be defeated on battlefield – Kremlin

Servicemen of Russian Airborne Forces take part in a combat exercise at a training ground, in the course of Russia's Military Operation in Ukraine, in Russia. © Sputnik/Alexey Maishev
There is no way the Russian military can be defeated, Kremlin spokesperson Dmitry Peskov has insisted. His comments follow recent claims by President Vladimir Putin that Western governments were lowering their expectations regarding the outcome of the Ukraine conflict.
 
Hivi si tuliambiwa Putin kafa?
Huyu anaewatokea watu,Marais wenzake na wanajeshi ni nani?

Je inawezekana Putin akawa ndio binadamu pekee toka kuumbwa kwa Dunia akawa ndo mtu anaekufa na kufufuka mara nyingi?
Hii haiwezekani.

Putin visits Ukraine military operation HQ (VIDEO)​

The Russian president was briefed on the campaign against Kiev’s forces
Putin visits Ukraine military operation HQ (VIDEO)

© Gavriil Grigorov / Pool via Sputnik
President Vladimir Putin has held a closed-door meeting with high-ranking commanders during an unannounced visit to the headquarters of Russia’s Southern Military District, which oversees the military operation in Ukraine.
Putin made a stopover in Rostov-on-Don on his way back from a state visit to Kazakhstan, Kremlin Press Secretary Dmitry Peskov told reporters early on Friday morning.
 
Zelensky hajakata tamaa wakati wafadhiri wameshakata tamaa.
Anajipa matumaini kwa silaha za msaada.
Vijana wa Ukraine wanakufa yeye wala hajali.

Hajiulizi ni kwa Nini USA peke yake bila NATO imekua ya kwanza kupeleka silaha na meli vita zake mashariki ya kati kuihami Israel lakini imeshindwa kufanya hivyo kwa Ukraine?

MILITARY OPERATION IN UKRAINE
8 NOV, 20:58

Zelensky says Ukraine has plans for new counteroffensive​

The Ukrainian president admitted that "there are certain difficulties now," although "some people" were counting on the quick success of the Ukrainian counteroffensive
Ukrainian President Vladimir Zelensky said that Kiev will continue its counteroffensive in 2023 and 2024, despite the current difficulties.
"We have a plan, we have certain cities, certain directions, we have a goal, where we will go, in which direction we will conduct the offensive," Zelensky said, speaking via video link at a conference organized by Reuters and broadcast on Youtube.
The Ukrainian president admitted that "there are certain difficulties now," although "some people" were counting on the quick success of the Ukrainian counteroffensive. He blamed the West for the failure of Ukrainian plans, saying that the country had received fewer weapons than it had expected.
"We"ll try to show the result this year." Zelensky said. "We have a plan for next year, but I can't give you the details," he noted.
 
The Ukrainian president admitted that "there are certain difficulties now." He blamed the West for the failure of Ukrainian plans.
"We"ll try to show the result this year." Zelensky said. "We have a plan for next year, but I can't give you the details," he noted.
Poor Zelensky ametelekezwa na wahuni. Hana uchaguzi wowote ili kuficha aibu yake.

Lengo ni lilelile: kupigana hadi tone la damu ya Myukreni wa mwisho.
 
Back
Top Bottom