lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Huyu muigizaji muda sio mrefu Kuna watu watamla kichwa.Poor Zelensky ametelekezwa na wahuni. Hana uchaguzi wowote ili kuficha aibu yake.
Lengo ni lilelile: kupigana hadi tone la damu ya Myukreni wa mwisho.