Malengo yake ya kuanzisha hii Vita yamefeli.
Demilitarization of Ukraine, hii imefeli sababu bado haijaweza kuzuia Ukraine kupokea misaada kutoka nchi wahisani au kuzalisha silaha zake za ndani.
Kwani lengo la Urusi lilikua ni kuzuia Ukraine ispokee misaada ya kijeshi ama kulimaliza nguvu jeshi la ukraine?
Kwa hiyo Kwa mara nyingine Tena na ambayo ni mara ya pili unakubali Tena kua Ukraine imekwishaisha kijeshi isipokua ni nguvu ya wafadhiri TU?
Kwa hiyo unakubali kwamba bila wafadhiri Ukraine hamna kitu dhidi ya might Russia?
Na kwa muktadha huo wa misaada ya silaha na fedha kuendelea kuingia Ukraine,Sasa na kwa maneneo Yako ni kua Sasa hivi Urusi inapigana na wafadhiri wa Ukraine?
Na kwa ujumla wao wanaitwa NATO plus the whole west.?
Je bila misaada ya silaha na taarifa za kiitelijensia ya vita vinayoingizwa Ukraine,je Ukraine imeendelea kua kama mwanzo ama imekwisha anguka?
je hujasikia baadhi ya wafadhiri wameanza kusema wameishiwa silaha na fedha kwa ajili ya kunisaidia Ukraine?
Na pia huoni kama Urusi kaua ndege wengi kwa Jiwe moja?
Asante tena kwa kukubali kiaina kua Urusi hapigani na Ukraine peke yake,Bali anapigana na Ukraine na wafadhiri wake.
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
16 NOV, 05:58
Zelensky admits that Abrams tanks unable to reverse situation on battlefield
"Their numbers are too small," the Ukrainian president added
US-made Abrams tanks, delivered to Ukraine, did not become a game-changer on the battlefield, because their numbers were too small, Ukrainian President Vladimir Zelensky said at a meeting with African media.
"For better or worse, we have lots of different tanks," he said. "Abrams is not an exception. It’s a good tank, but, honestly, we don’t have too many of them."
"I hope that we will develop our relations and there will be more supplies, but I find it hard to tell that they are playing a significant role on the battlefield. Their numbers are too small," the Ukrainian president added.