Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Possible Coup in Ukraine

According to Zelensky, Russia is attempting to orchestrate a coup in Kiev. The Ukrainian dictator stressed that it's not safe anymore in the country and the west seems to have turned it's back.

Ukrainian "intelligence" claims that in the coming days, the Kremlin plans to create chaos in the country aimed at overthrowing Zelensky.
 
barua ya OSAMA naitafuta
1700236771255.png
 
Kusema kweli west walikuwa hawaamini kama Russia atavamia Ukraine

Coz walikuwa washampa alerts za kutosha za vikwazo ....mfano kupoteza bomba la gesi ( Nordstream) .na sanctions za kutosha ....nk

Inshort walifanya betting Kwa Russia ....but Baada ya mwanaume kuvimba .....wakawa frustrated kiasi walifanya maamuzi ambayo yanaua uchumi wao in return [emoji23][emoji23]
Kweli kabisa Mkuu maana Kuna siku chache kabla ya Urusi kuvamia USA /west waliwahi mtamkia kabisa Urusi kua kama atavamia achague kupoteza Bomba la gesi.yaani Nord stream 2.
Lkn mwanaume aka chagua heshima kuliko utumwa.kama angechagua NS2 Leo hii Ukraine Ingekua mwanachama wa NATO.
Na ukweli ni kwamba tukubali tusikubali NATO Haina Nia njema na Urusi.urusi wanalijua hili na USA Mkuu wa NATO analijua hili.
 
That's PUTIN
Kichwa kimoja kinatingisha vichwa zaidi ya arobainikwa maamuzi yenye hekima busara na akili.
Unaweza ukahusisha pengine Majina na matendo ya mtu.
Kuna watu wanapewa Majina makubwa na Majina hayo yakawatosha,na wengine wakapewa Majina makubwa yakawapwaya.
Lakini mwamba Putin jina lake limemtosha na linaendana na Hali halisi.
Jina lake la kwanza ni Vladimir,majina yake ya pili na Tatu ni Vladimilovich Putin.
Maana ya jina lake la kwanza la Vladimir ni hii hapo chini.

VLADIMIR.

Vladimir is a masculine name of Slavic origin, meaning “to rule with greatness,” “peaceful ruler,” and “ruler of the world.” Vladimir comes from the Old Church Slavonic name Volodiměrŭ and is incredibly popular throughout Slavic and Russian-speaking countries
 
Na hii ndio maana ya jina la kwanza la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.

Maana ya Volodymyr ni hii hapa chini.

Ni ukweli usio na chembe Jamaa huyu kajulikana sana Dunia nzima kwa kuichallenji Might Russia.
Kwa kusaidiwa na NATO wala asingefika hapa alipo Leo hii.

Ukitazama vizuri utaona Majina yote haya mawili Yana maama inayofanana.
Zelensky alikua mtu maarufu huko Ukraine kwa sababu ya Sanaa yake ya uigizaji na ndio iliyomuingiza ikulu.
Lakini ukiangalia vizuri utaona pia ana nguvu ya ushawishi na ndio maana anawaburuza 😃😁🤣😃Marais wa west,kwa kuomba silaha,fedha na misaada mingine,hutumika pia lugha ya kuomba ambayo mara nyingine huwakera wafadhili wake,ameruhusiwa na anaweza kuingia na kuhutubia mabunge Yao na kupewa air time za kutosha TU kwenye media za west.
Ukweli usio na chembe ya ubishi Putin na zelensky wametajwa zaidi duniani kwa miaka hii miwili kuliko Marais wengine.

Maana ya jina volodymyr

VOLODYMYR

Meaning. "ruler of the world", "ruler of peace" / "famous power", "bright and famous" Region of origin. Ukraine. Other names.
 
VIDEO
Da video hii Imenisikitisha Sana Pia

Imenifurahisha Na KKuchesha sana
Wanajeshi Watatu wa Ukrein Waliamua Kwenda Kuchukua Maiti ya mwenzao Kuliko Kuiacha Kumbe Drone ya Urusi inawafuatilia
na Wakiwa Wamembeba kwenye Machela Wanaondoka Ghafla Kamikaze Drone Ikatua Wakaona Watupe Machela na Kukimbia Kila mmoja Njia yake kuokoa Maisha Bahati Mbaya Mmoja Akaenda Uelekeo Ule ule na Kupata Shambulizi la Drone Chalii Wakabiki Wawili Mmoja akaamka Kwaharaka kwenda kumuangalia Alie Pigwa akakuta bado Mzima Anahangaika Kuomba Msaada wakaona Waende Kutoa Maiti kwenye Machela Waje kumchukua Huyu Aliye Hai bado Wamefika wakamsukuma Aliyekufa nakuchukua machela Wakati wanarudi Wakasikia Drone Nyingine inakuja machela Ikatupwa kila mmoja Akala Mbio Na kumuacha majeruhi Akijigaragaza Mwenyewe

Na hii ndio maana ya jina la kwanza la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.

Maana ya Volodymyr ni hii hapa chini.

Ni ukweli usio na chembe Jamaa huyu kajulikana sana Dunia nzima kwa kuichallenji Might Russia.
Kwa kusaidiwa na NATO wala asingefika hapa alipo Leo hii.

Ukitazama vizuri utaona Majina yote haya mawili Yana maama inayofanana.
Zelensky alikua mtu maarufu huko Ukraine kwa sababu ya Sanaa yake ya uigizaji na ndio iliyomuingiza ikulu.
Lakini ukiangalia vizuri utaona pia ana nguvu ya ushawishi na ndio maana anawaburuza [emoji2][emoji16][emoji1787][emoji2]Marais wa west,kwa kuomba silaha,fedha na misaada mingine,hutumika pia lugha ya kuomba ambayo mara nyingine huwakera wafadhili wake,ameruhusiwa na anaweza kuingia na kuhutubia mabunge Yao na kupewa air time za kutosha TU kwenye media za west.
Ukweli usio na chembe ya ubishi Putin na zelensky wametajwa zaidi duniani kwa miaka hii miwili kuliko Marais wengine.

Maana ya jina volodymyr

VOLODYMYR

Meaning. "ruler of the world", "ruler of peace" / "famous power", "bright and famous" Region of origin. Ukraine. Other names.
Shukrani sana mkuu,upewe maua yako[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukrainian border guards caught two men trying to swim to Romania using inflatable sleeves with a pink flamingo and a floral lifebuoy.

It was previously reported that since February 2022, over 40 thousand citizens called up for mobilization tried to escape from Ukraine. And almost half of them succeeded.

At the same time, about 20 people drowned in the border river during the year.

Screenshot_20231118-100555.jpg

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2817358

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Wawaache Waende Wasiwalazimishe Wakati hawataki Kufa kijinga
 
Na hii ndio maana ya jina la kwanza la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.

Maana ya Volodymyr ni hii hapa chini.

Ni ukweli usio na chembe Jamaa huyu kajulikana sana Dunia nzima kwa kuichallenji Might Russia.
Kwa kusaidiwa na NATO wala asingefika hapa alipo Leo hii.

Ukitazama vizuri utaona Majina yote haya mawili Yana maama inayofanana.
Zelensky alikua mtu maarufu huko Ukraine kwa sababu ya Sanaa yake ya uigizaji na ndio iliyomuingiza ikulu.
Lakini ukiangalia vizuri utaona pia ana nguvu ya ushawishi na ndio maana anawaburuza 😃😁🤣😃Marais wa west,kwa kuomba silaha,fedha na misaada mingine,hutumika pia lugha ya kuomba ambayo mara nyingine huwakera wafadhili wake,ameruhusiwa na anaweza kuingia na kuhutubia mabunge Yao na kupewa air time za kutosha TU kwenye media za west.
Ukweli usio na chembe ya ubishi Putin na zelensky wametajwa zaidi duniani kwa miaka hii miwili kuliko Marais wengine.

Maana ya jina volodymyr

VOLODYMYR

Meaning. "ruler of the world", "ruler of peace" / "famous power", "bright and famous" Region of origin. Ukraine. Other names.
Tofauti ya Vladimir na Volodymyr, Volodimir ni athari za lugha ya kirusi na kiukrein ila yote yana maana moja kama ilivyokuwa kwa jina la Mohammed kiarabu/Mehmet kituruki na Mwamedi kiswahili
 
Back
Top Bottom