D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kweli kabisa Mkuu maana Kuna siku chache kabla ya Urusi kuvamia USA /west waliwahi mtamkia kabisa Urusi kua kama atavamia achague kupoteza Bomba la gesi.yaani Nord stream 2.Kusema kweli west walikuwa hawaamini kama Russia atavamia Ukraine
Coz walikuwa washampa alerts za kutosha za vikwazo ....mfano kupoteza bomba la gesi ( Nordstream) .na sanctions za kutosha ....nk
Inshort walifanya betting Kwa Russia ....but Baada ya mwanaume kuvimba .....wakawa frustrated kiasi walifanya maamuzi ambayo yanaua uchumi wao in return [emoji23][emoji23]
Kabisa yaani.Nadhani Sasa west wanaelewa kuwa Russia sio Malawi [emoji23][emoji23]
barua ya OSAMA naitafuta
View attachment 2816745
Hatareee sana ...kama sa100 tu[emoji28]Oyaaa nipo huku
yaani jitu lisha Kata Netwerk Eti Bado LinaongozaView attachment 2816500
SMO Inazidi kuendelea kimya kimya [emoji23]Katika mji wa Avdiivka Urusi Anasongambele Baada yakuvunja ngome ya Ukrein kwasasa kafika Eneo la Viwanda
The Russians seem to have broken the fortified industrial sector on the southeastern approach to Avdiivka. They’re rolling right over it.
Kichwa kimoja kinatingisha vichwa zaidi ya arobainikwa maamuzi yenye hekima busara na akili.That's PUTIN
Shukrani sana mkuu,upewe maua yako[emoji119][emoji119][emoji119]Na hii ndio maana ya jina la kwanza la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.
Maana ya Volodymyr ni hii hapa chini.
Ni ukweli usio na chembe Jamaa huyu kajulikana sana Dunia nzima kwa kuichallenji Might Russia.
Kwa kusaidiwa na NATO wala asingefika hapa alipo Leo hii.
Ukitazama vizuri utaona Majina yote haya mawili Yana maama inayofanana.
Zelensky alikua mtu maarufu huko Ukraine kwa sababu ya Sanaa yake ya uigizaji na ndio iliyomuingiza ikulu.
Lakini ukiangalia vizuri utaona pia ana nguvu ya ushawishi na ndio maana anawaburuza [emoji2][emoji16][emoji1787][emoji2]Marais wa west,kwa kuomba silaha,fedha na misaada mingine,hutumika pia lugha ya kuomba ambayo mara nyingine huwakera wafadhili wake,ameruhusiwa na anaweza kuingia na kuhutubia mabunge Yao na kupewa air time za kutosha TU kwenye media za west.
Ukweli usio na chembe ya ubishi Putin na zelensky wametajwa zaidi duniani kwa miaka hii miwili kuliko Marais wengine.
Maana ya jina volodymyr
VOLODYMYR
Meaning. "ruler of the world", "ruler of peace" / "famous power", "bright and famous" Region of origin. Ukraine. Other names.
Wawaache Waende Wasiwalazimishe Wakati hawataki Kufa kijingaUkrainian border guards caught two men trying to swim to Romania using inflatable sleeves with a pink flamingo and a floral lifebuoy.
It was previously reported that since February 2022, over 40 thousand citizens called up for mobilization tried to escape from Ukraine. And almost half of them succeeded.
At the same time, about 20 people drowned in the border river during the year.
View attachment 2817358
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Tofauti ya Vladimir na Volodymyr, Volodimir ni athari za lugha ya kirusi na kiukrein ila yote yana maana moja kama ilivyokuwa kwa jina la Mohammed kiarabu/Mehmet kituruki na Mwamedi kiswahiliNa hii ndio maana ya jina la kwanza la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.
Maana ya Volodymyr ni hii hapa chini.
Ni ukweli usio na chembe Jamaa huyu kajulikana sana Dunia nzima kwa kuichallenji Might Russia.
Kwa kusaidiwa na NATO wala asingefika hapa alipo Leo hii.
Ukitazama vizuri utaona Majina yote haya mawili Yana maama inayofanana.
Zelensky alikua mtu maarufu huko Ukraine kwa sababu ya Sanaa yake ya uigizaji na ndio iliyomuingiza ikulu.
Lakini ukiangalia vizuri utaona pia ana nguvu ya ushawishi na ndio maana anawaburuza 😃😁🤣😃Marais wa west,kwa kuomba silaha,fedha na misaada mingine,hutumika pia lugha ya kuomba ambayo mara nyingine huwakera wafadhili wake,ameruhusiwa na anaweza kuingia na kuhutubia mabunge Yao na kupewa air time za kutosha TU kwenye media za west.
Ukweli usio na chembe ya ubishi Putin na zelensky wametajwa zaidi duniani kwa miaka hii miwili kuliko Marais wengine.
Maana ya jina volodymyr
VOLODYMYR
Meaning. "ruler of the world", "ruler of peace" / "famous power", "bright and famous" Region of origin. Ukraine. Other names.